Ndugu yangu huyu ni gay?

Kwa mwendo huo atakuwa ni member wa cameroon in any way!!! Kula au kuliwa.
 
Pole ya nini?? wakati huyu mleta mada anataka kuingilia uhuru wa ndugu yake

Siku zote ngumi ya kurudishia huuma sana.
Mara zote anayelipa kisasi huonekana hana ustaarabu.
Wanachama wa Cameroon hutaka kuingilia uhuru wa wenzao lakini ukiguza wao ni dhambi kubwa.



mkonowapaka
! Iwapo unahisi huyo kijana ni Bwabwa kwanini usijipakulie japo mara moja Bana? Tena kwa raha zako japo upunguze gharama zako za kumlea hapo nyumbani. Ukimaliza kuzibua mtaro wa maji machafu, chafua hali ya hewa kwake kwa kumtimulia mbali kabla ubavu wako haujakustukia. Hakika nakushauri fanza hivyo fasta kwa kasi ya mwendokasi mtoroko.


Ndimi Bazazi! ninayekushauri.
 
Magay wapo wa aina mbili....'walaji' na 'waliwa', be careful...kama ni mlaji halafu una vitoto vya kiume hapo home!

na hii ndo hofu yangu.....
Watoto jamani watoto, waangalie sana kuwa nao karibu, waulilize anawaambia nini, anawashika wapo etc... Yaani ulinzi kwa watoto uzidi, tena heri umwambie hofu yako mkeo ili nae awe macho
 
huo sasa ni mtihani hasa kama ni ndugu yako maana ukimfukuza itakuwa lawama na ukimuuliza itasemekana unatafuta njia ya kumfukuza kwako.
 
Mawazo yako tu mkuu, huyo sio Gay but anawazingua tu magay humo kwenye ma site hayoo

Mhh, Manoa mbona unaongea kwa uhakika sana, kwa jinsi alivyoandika huyu bwana, nahisi kama huyo jamaa ameenda deep sana, manake jamaa kasoma hizo message huko inbox!! Nadhani amejiridhisha kuwa kijana anatabia hiyo...
 
Nyumbani kwangu, mgeni ni mpita njia. Nikiamua wakati wowote anaendelea na safari zake. Especially kama kuna indicators kwamba huyu mgeni kageuka zigo la misumali...


Binafsi nisingeongea naye ila ningefanya kila mbinu aondoke haraka iwezekanavyo!!

Babu DC!!
 
Mweeh! Haya mambo ya porn haya! Kuna mtu niliona ana cd za animal porn, niweke bata wangu mbali? Asije akaniwekea najisi nikakosa vitoweo.
 
kIJANA SIO GAY HUYO MAWAZO YA JAMAA NI MABAYA JUU MWENZAKE, TENA AKAMUOMBE MSAMAHA na akatubu kwa muhisia mwenzake mambo mabaya
Mhh, Manoa mbona unaongea kwa uhakika sana, kwa jinsi alivyoandika huyu bwana, nahisi kama huyo jamaa ameenda deep sana, manake jamaa kasoma hizo message huko inbox!! Nadhani amejiridhisha kuwa kijana anatabia hiyo...
 
kuna baadhi ya wanaume mashoga humu mtandaoni, wanatongoza sana wanaume wenzao kwa Inbox, Picha NA Video clip .Huenda huyu ndugu yako hana hataia, endelea kumchunguza!
 
Huyo ni binadamu kama wewe na ninakushangaa kama vile hujui dunia hii iko kwenye karne ya sayansi na tekinologia. wewe ndiyo unaiona dunia inaenda kubaya lakini wataalamu wanaiona dunia inaenda kuzuri tu ndiyo maana kwa sasa unaweza kuongea na kila mtu kwa haraka kama ulivyofanya na unaweza ukawa kama unavyotaka. It's free world ndiyo maana hata yeye hataki kufuta nyayo zake kwenye komputa yako kwa sababu haoni kama ni kitu cha ajabu.
 
Hahahaaa!( Its not a laughing matter n i am ashamed of myself!) Mjini saivi KESI BILA USHAHIDI SI KESI!!!! Weka TEGO tu umnase ndo umshauri. Tafuta LINE ya kimafia, alafu mtongoze kwa chatting ndo utajua kama ni bwabwa la kuliwa au linakula wenzie au RIJALI asiejielewa. Zile sms ndo ushahidi manake NDUGU LAWAMA, hakawii kukuitia kikao cha familia na kusema WEWE NDO BWABWA, alivogoma kukushghulikia ndo umemchafulia, na hivi ushahidi huna!!! MJINI HAKUFAI SIKU HIZI.
 
Back
Top Bottom