Ndugu yangu huyu ni gay?

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
767
huyu kijana of 25yrs nimemkaribisha nyumbani kwangu tangu amemaliza chuo mwka huu.......ni kijana mstaarabu,mcha Mungu,mtanashati,mwanaume kamili kabisa kimtazamo na kimatendo...anaendelea na job searching yake hapa nilipo mimi na familia yangu.Nyumbani hatushindi mimi n amke wangu tunahangaika wiki nzima isipokua jumapili au kwasababu maalum..kijana anashinda nyumbani kwa uhuru wa kutosha kabisa.........

majuzi alitumia compyuta yangu ya nyumbani kusurf internet na kuedit CV nilimruhusu ukizingatia hana computer..kwa sisi wataalamu kidogo wa IT nikakuta history hakuclear...sikupenda sana kufuatilia lakini nilikuta pages za mambo ya magay.....nikauchuna..nikaclear!! after 2 dayz akaacha facebook page yake chafu imejaa inbox ambazo kwa harakaharak akama 50ivi ila sikusoma,anatumia jina la kizungu na picha ya kizungu inayoashiria kabisa kuwa ni mwanachama wa mambo ya cameroon...hiyo ni cha mtoto!!baadaye wakat naendelea kutafakari janga hilo nyumbani kwangu nikakuta kaacha moviclip ya gay kwenye compyuta ya nyumbani..ivi anafanya makusudi au?!!nimefanya kosa kunyamaza?au ananitaka ndugu yake?am not a member wala sisapot uchafu huo ila tabia yake imeniudh ukizingatia mke wangu huwa hatumii compyuta hiyo maana ni kwa ajili ya kazi zangu tu na nimemruhusu atumie ili kuedit CV naona kaamua kunionyesha uchafu wake kabisa....nashindwa kumuelewa!!Hii dunia inaelekea wapi jamaniii!!!
 
aiseee, vumilia upate mwisho wake, ukimstua saiz utakoswa hiden details.
 
sema na ujue hali yake
, msaidie.....
 
kuedit CV lazima kuwe na access ya internet?...kama anataka kuedit CV yake tena mpe laptop/PC pasi modem...full stop
 
Maybe he is just curious..........we endelea kumfatilia zaidi, kama utajagundua for sure mshauri kuhusiana na tabia hiyo na kumkanya kama akiendekeza hizo tabia mwambie huezi ishi na sampuli hiyo
 
Pole ya nini?? wakati huyu mleta mada anataka kuingilia uhuru wa ndugu yake
Boflo nahisi kama naanza kuamini shutma dhidi yako,though huwa sipend kujugde mtu kwa mtazamo wa wengine ,sasa hapa ni uhuru gani amabo huyu jamaa ameiingilia na mtu anacha vitu vionekane ye mwenywe!
sidhani kama hyo mgeni kaingiliwa uhuru wake sanasana ye ndo anachafua halia ya hewa hapo kwa watu!mambo ya kuangalia porn za wanaume watupu ndo nini kama huyo jamaa sio chapati za maji na yeye!ah
 
Last edited by a moderator:
Lol! Pole. Mwambie wazi kuwa hupendezwi na tabia hizo hapo kwako.
Hapo usalama wa watoto umekaaje asije akawa Cameroon akikosa
wa kumcameroon.
 
Aisee pole sana. Ningekua ndani ya viatu vyako, ningetafuta namna ya yeye kuondoka mapema tu na kuendelea na maisha yake bila chuki yoyote. Kusema kuna lolote utasema eti abadalike MH ni ngumu. Msaidie apate kazi asepe!

Undugu wenu waki vipi if you don't mind me asking.
 
Duuuh hii inasikitisha sana! Ila fanya uchunguzi wa kina kabla ya kumjudge!
 
acha kumpa komputer, kama kuedit akafanyie internet kwisha habari....unajua ukiwa ktk miji ya watu unapaswa kujiheshimu siyo unakuja na vitabia vyako vya ajabu.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom