Ndugu yangu huyu ni gay?

Jamaa yangu Mwanaume kamaliza Chuo Kikuu mm nilizani Std 7 mpe Kiwi na brush afungue Shoe shine km huniamiww mwache ajaze mapicha humo kwenye Computer na akufundiishe km utaliza siku hiyo lesson notes hujamquir na ndio mwisho wa wife na ndugu watajua na utakuwa mwisho wa undugu kwenu
 
He wouldn't stay another hour in my House!

huyu kijana of 25yrs nimemkaribisha nyumbani kwangu tangu amemaliza chuo mwka huu.......ni kijana mstaarabu,mcha Mungu,mtanashati,mwanaume kamili kabisa kimtazamo na kimatendo...anaendelea na job searching yake hapa nilipo mimi na familia yangu.Nyumbani hatushindi mimi n amke wangu tunahangaika wiki nzima isipokua jumapili au kwasababu maalum..kijana anashinda nyumbani kwa uhuru wa kutosha kabisa.........

majuzi alitumia compyuta yangu ya nyumbani kusurf internet na kuedit CV nilimruhusu ukizingatia hana computer..kwa sisi wataalamu kidogo wa IT nikakuta history hakuclear...sikupenda sana kufuatilia lakini nilikuta pages za mambo ya magay.....nikauchuna..nikaclear!! after 2 dayz akaacha facebook page yake chafu imejaa inbox ambazo kwa harakaharak akama 50ivi ila sikusoma,anatumia jina la kizungu na picha ya kizungu inayoashiria kabisa kuwa ni mwanachama wa mambo ya cameroon...hiyo ni cha mtoto!!baadaye wakat naendelea kutafakari janga hilo nyumbani kwangu nikakuta kaacha moviclip ya gay kwenye compyuta ya nyumbani..ivi anafanya makusudi au?!!nimefanya kosa kunyamaza?au ananitaka ndugu yake?am not a member wala sisapot uchafu huo ila tabia yake imeniudh ukizingatia mke wangu huwa hatumii compyuta hiyo maana ni kwa ajili ya kazi zangu tu na nimemruhusu atumie ili kuedit CV naona kaamua kunionyesha uchafu wake kabisa....nashindwa kumuelewa!!Hii dunia inaelekea wapi jamaniii!!!
 
Muombee kwa mungu ndugu yako aache tabia za kishoga na atabadilika! Mm naamini atakuwa na pepo huyo!
 
Siku zote ngumi ya kurudishia huuma sana.
Mara zote anayelipa kisasi huonekana hana ustaarabu.
Wanachama wa Cameroon hutaka kuingilia uhuru wa wenzao lakini ukiguza wao ni dhambi kubwa.

mkonowapaka
! Iwapo unahisi huyo kijana ni Bwabwa kwanini usijipakulie japo mara moja Bana? Tena kwa raha zako japo upunguze gharama zako za kumlea hapo nyumbani. Ukimaliza kuzibua mtaro wa maji machafu, chafua hali ya hewa kwake kwa kumtimulia mbali kabla ubavu wako haujakustukia. Hakika nakushauri fanza hivyo fasta kwa kasi ya mwendokasi mtoroko.

Ndimi Bazazi! ninayekushauri.
Bazazi, Bazazi, Bazaziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
hufai si kwa kutowezea ama kwa kurumangia lol! mi nazi kwa stail hii. unamshauri kabisa ale rujo????
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa!( Its not a laughing matter n i am ashamed of myself!) Mjini saivi KESI BILA USHAHIDI SI KESI!!!! Weka TEGO tu umnase ndo umshauri. Tafuta LINE ya kimafia, alafu mtongoze kwa chatting ndo utajua kama ni bwabwa la kuliwa au linakula wenzie au RIJALI asiejielewa. Zile sms ndo ushahidi manake NDUGU LAWAMA, hakawii kukuitia kikao cha familia na kusema WEWE NDO BWABWA, alivogoma kukushghulikia ndo umemchafulia, na hivi ushahidi huna!!! MJINI HAKUFAI SIKU HIZI.

kama anafededwa mbona ni rahisi sana wala huitaj nguvu yote hii kumjua.
 
Hi pole sana mkubwa, nakushauri usiwe na papara kabisa, vuta subira na uchunguze kwa usiri mkubwa!! watu wengi huwa hatuwezi kupata taarifa kwa kuwa tunajuwa na papara sana! Uwe na Subira sana
 
huyu kijana of 25yrs nimemkaribisha nyumbani kwangu tangu amemaliza chuo mwka huu.......ni kijana mstaarabu,mcha Mungu,mtanashati,mwanaume kamili kabisa kimtazamo na kimatendo...anaendelea na job searching yake hapa nilipo mimi na familia yangu.Nyumbani hatushindi mimi n amke wangu tunahangaika wiki nzima isipokua jumapili au kwasababu maalum..kijana anashinda nyumbani kwa uhuru wa kutosha kabisa.........

majuzi alitumia compyuta yangu ya nyumbani kusurf internet na kuedit CV nilimruhusu ukizingatia hana computer..kwa sisi wataalamu kidogo wa IT nikakuta history hakuclear...sikupenda sana kufuatilia lakini nilikuta pages za mambo ya magay.....nikauchuna..nikaclear!! after 2 dayz akaacha facebook page yake chafu imejaa inbox ambazo kwa harakaharak akama 50ivi ila sikusoma,anatumia jina la kizungu na picha ya kizungu inayoashiria kabisa kuwa ni mwanachama wa mambo ya cameroon...hiyo ni cha mtoto!!baadaye wakat naendelea kutafakari janga hilo nyumbani kwangu nikakuta kaacha moviclip ya gay kwenye compyuta ya nyumbani..ivi anafanya makusudi au?!!nimefanya kosa kunyamaza?au ananitaka ndugu yake?am not a member wala sisapot uchafu huo ila tabia yake imeniudh ukizingatia mke wangu huwa hatumii compyuta hiyo maana ni kwa ajili ya kazi zangu tu na nimemruhusu atumie ili kuedit CV naona kaamua kunionyesha uchafu wake kabisa....nashindwa kumuelewa!!Hii dunia inaelekea wapi jamaniii!!!

Amemalizia chuo gani na maana kukuuliza hivi
 
ndugu mkonowapaka vunja ukimya, kaa chini na nduguyo mwambie ya kuwa hujapendezwa na tabia hiyo.
Pia km una watoto hapo nyumbani kuwa nao makini wasijenge urafiki na huyo nduguyo kwani anaweza kuwaharibu.
 
Last edited by a moderator:
ndugu mkonowapaka vunja ukimya, kaa chini na nduguyo mwambie ya kuwa hujapendezwa na tabia hiyo.
Pia km una watoto hapo nyumbani kuwa nao makini wasijenge urafiki na huyo nduguyo kwani anaweza kuwaharibu.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa!( Its not a laughing matter n i am ashamed of myself!) Mjini saivi KESI BILA USHAHIDI SI KESI!!!! Weka TEGO tu umnase ndo umshauri. Tafuta LINE ya kimafia, alafu mtongoze kwa chatting ndo utajua kama ni bwabwa la kuliwa au linakula wenzie au RIJALI asiejielewa. Zile sms ndo ushahidi manake NDUGU LAWAMA, hakawii kukuitia kikao cha familia na kusema WEWE NDO BWABWA, alivogoma kukushghulikia ndo umemchafulia, na hivi ushahidi huna!!! MJINI HAKUFAI SIKU HIZI.

af nilikumiss dogo
najua wewe ndo huwa unatoaga ushauri mzuri kwenye mada tata kama hizi!upo mdogo wangu!?
 
Siku zote ngumi ya kurudishia huuma sana.
Mara zote anayelipa kisasi huonekana hana ustaarabu.
Wanachama wa Cameroon hutaka kuingilia uhuru wa wenzao lakini ukiguza wao ni dhambi kubwa.

mkonowapaka
! Iwapo unahisi huyo kijana ni Bwabwa kwanini usijipakulie japo mara moja Bana? Tena kwa raha zako japo upunguze gharama zako za kumlea hapo nyumbani. Ukimaliza kuzibua mtaro wa maji machafu, chafua hali ya hewa kwake kwa kumtimulia mbali kabla ubavu wako haujakustukia. Hakika nakushauri fanza hivyo fasta kwa kasi ya mwendokasi mtoroko.

Ndimi Bazazi! ninayekushauri.

Lo lo lo lo...huu ushauri hapana..
 
Hahahaaa!( Its not a laughing matter n i am ashamed of myself!) Mjini saivi KESI BILA USHAHIDI SI KESI!!!! Weka TEGO tu umnase ndo umshauri. Tafuta LINE ya kimafia, alafu mtongoze kwa chatting ndo utajua kama ni bwabwa la kuliwa au linakula wenzie au RIJALI asiejielewa. Zile sms ndo ushahidi manake NDUGU LAWAMA, hakawii kukuitia kikao cha familia na kusema WEWE NDO BWABWA, alivogoma kukushghulikia ndo umemchafulia, na hivi ushahidi huna!!! MJINI HAKUFAI SIKU HIZI.

Wewe kweli mtoto wa mjini........Lakini naye atafute njia yeyote amtimue, hakuna msalie mtume na mashoga (liwe linliwa au linakula)
 
Back
Top Bottom