Ndugu yangu huyu ni gay?

Ndugu yangu huyu ni gay?

Bazazi, Bazazi, Bazaziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
hufai si kwa kutowezea ama kwa kurumangia lol! mi nazi kwa stail hii. unamshauri kabisa ale rujo????

kama anafededwa mbona ni rahisi sana wala huitaj nguvu yote hii kumjua.

Naomba uhame pwani naona si siku nyingi utakuwa Mzaramo kabisa...............................
Back to the topic;
Unajua huyo kijana inawezekana sio shoga labda pengine yupo kwenye mchakato wa kuingia huko Au anaperuzi hayo ma-website ya kishoga akitegemea kupata connection za kupata pesa!
Anyway hizi zote ni hisia la muhimu ni ndugu mtu kuwahi kabla Jahazi kuzama.
 
Hii njia itazui hiyo tabia?

nimemshauri kulingana na alivyoeleza...maana naye mleta mada anaonekana bado yu na mashaka. Kichwa cha bandiko hili kipo katika mfumo wa swali, maelezo yapo katika mfumo wa kushuku...na ushahidi mkubwa ambao mleta mada kautumia ni matumizi ya computer na mtandao...Sasa kama ataweza kuhakikisha mtandao haupatikani, huoni kama itakuwa rahisi kwa mleta mada kukusanya aina nyingine ya ushahidi ili kuondoa sintofahamu iliyopo?
 
kama ukichunguza na kukuta ni gay, tafuta njia ya kumsaidia. Kumfukuza cdhan kama ni soln tosha.
 
Naomba uhame pwani naona si siku nyingi utakuwa Mzaramo kabisa...............................
Back to the topic;
Unajua huyo kijana inawezekana sio shoga labda pengine yupo kwenye mchakato wa kuingia huko Au anaperuzi hayo ma-website ya kishoga akitegemea kupata connection za kupata pesa!
Anyway hizi zote ni hisia la muhimu ni ndugu mtu kuwahi kabla Jahazi kuzama.

binafsi as a psychologist naweza sema kijana yuko curious kutaka kujua what is in there na ka yeye kuwa na ID ambayo ni ya kizungu badi ni nzuri manake anataka kuasoma ila akiwa hidden ama akiwa na build rapport na wao. labda huyu ndugu angeanza kwa kumuuliza kwanii yuko interested na hayo mamabo. je is he reseaching something ambacho hajamweka wazi ama je is he one of them?

istoshe kumjua kama ni wa tabbia hizo ni rahisi pia kwani apart from kuangalia but mchana lazima atakuwa anatembelea na wenzie na pia hata kwenye simu yake utakuta ana mawasiliano na watu kama hao so the best thing amuulize wazi kisha aanze kuchukua hatua mara moja. bado haya hayatosh kumwona kijana anamakosa atii.
 
Anaweza akawa c gay ila ana matatizo kisaikolojia, na hili huwatokea sana vijana walio soma shule za dini kama SEMINARI.
 
Muombee kwa mungu ndugu yako aache tabia za kishoga na atabadilika! Mm naamini atakuwa na pepo huyo!

nonino likishaingia tu hakuna cha pepo hapo amfungulie shoe shine tu watu wajisevie kiulaini isije ikawa wateja wake wengi wakawa waarabu mara baada ya kufungua hiyo shoe shine..
 
hakuna cha gay hapo hyo ni njia tu yakukupumbaza ili ajilie wife wako kistarabu kabisa..
 
dalili zote hizo zinaonyesha yuko ivo hasa hiyo id yake ya facebook,nazani ni muhimu kumdadisi zaid na ikiwezekana kuongea nae ili ujue kimoja or a way of helping him,manake kama una mtoto wa kiume hapo nyumbani sio vizur anaeza kujifunza kupitia huyo mgeni,,Mungu tuepushe na haya mambo kwa watoto na ndugu zetu manake ni balaa.
 
binafsi as a psychologist naweza sema kijana yuko curious kutaka kujua what is in there na ka yeye kuwa na ID ambayo ni ya kizungu badi ni nzuri manake anataka kuasoma ila akiwa hidden ama akiwa na build rapport na wao. labda huyu ndugu angeanza kwa kumuuliza kwanii yuko interested na hayo mamabo. je is he reseaching something ambacho hajamweka wazi ama je is he one of them?

istoshe kumjua kama ni wa tabbia hizo ni rahisi pia kwani apart from kuangalia but mchana lazima atakuwa anatembelea na wenzie na pia hata kwenye simu yake utakuta ana mawasiliano na watu kama hao so the best thing amuulize wazi kisha aanze kuchukua hatua mara moja. bado haya hayatosh kumwona kijana anamakosa atii.

Huyu mkubwa tumia physchology tu katika mazungumzo yako. Kwa mfano, jaribu kuzungumza naye kwa upande wa kusapoti huu ugay, uone anavyoingia kigi. Kuwa karibu naye kwa muda hivi ili aweze kukueleza historia ya maisha yake, rafiki zake na mahusiano ya kimapanenzi. Lakini mpaka anaID? Naona yupo daraja la juu.
 
ukimwendekeza hata kawia kudai haki zake ndani ya nyumba yako mwenyewe.
cha msingi ni kuchukua hatua ikiwa bado mapema na ajue msimamo wako kuwa huendekezi upuuzi.
 
Mueleze MUNGU haja za moyo wako kwasababu yeye ndiye muweza wa yote even to the extent of convert him if has proved is a gay on ur own you cant but THEE can!
 
Tabia ya kuangalia picha za ngono/gay thing, hupelekea vijana kuharibika na kuwa aidha bwabwa au mzibua vyoo. nina mfano live wa kijana mmoja jirani ambaye amekuwa bwabwa kwa sababu ya kuangalia mara nyingi picha hizo. wenzake waliomzidi umri wakaanza kumtania kwa kumshika makalio na baadae wakaanza kula bwabwa bila kipimo. Sasa hivi yuko Marekani Navy seal. pata picha sasa huko anafanywa nn. nadhani atakuwa anavaa nepi.
 
Hizi intanet zinajenga , zinabomoa, zzinafunza, zinharibu, sasa jamaa kaamua kuchukua side ya kubomoa na kuharibu.
Huo muda aliotumia kusurf matakataka ya mashoga si angetumia japo kusurf nafasi za ajira?
Hata kama ni udadisi tu. Udadisi mwengine una mipaka, yan mtu anakuazima computer muda mfupi lakini tayari usharukia site za mashoga??? si bure huyo atakuwa anajifunza kuwa mmoja wao.
 
Siku zote ngumi ya kurudishia huuma sana.
Mara zote anayelipa kisasi huonekana hana ustaarabu.
Wanachama wa Cameroon hutaka kuingilia uhuru wa wenzao lakini ukiguza wao ni dhambi kubwa.



mkonowapaka
! Iwapo unahisi huyo kijana ni Bwabwa kwanini usijipakulie japo mara moja Bana? Tena kwa raha zako japo upunguze gharama zako za kumlea hapo nyumbani. Ukimaliza kuzibua mtaro wa maji machafu, chafua hali ya hewa kwake kwa kumtimulia mbali kabla ubavu wako haujakustukia. Hakika nakushauri fanza hivyo fasta kwa kasi ya mwendokasi mtoroko.


Ndimi Bazazi! ninayekushauri.

Dah,kuna sampuli tofauti za binadamu.
wewe sijui nani ali "kuvumbua"
 
Mweeh! Haya mambo ya porn haya! Kuna mtu niliona ana cd za animal porn, niweke bata wangu mbali? Asije akaniwekea najisi nikakosa vitoweo.

ha ha ha,aisee.
JF ni refreshment nzuri sana.
 
Kwanza ni dharau anakufanyia bila heshima yoyote kwako.Nakushauri ufuatilie pole pole then ukigundua ni kweli mtimue kabisa hapo home.
Usipoangalia,atakuchafulia hali ya hewa asubuhi.
 
Back
Top Bottom