Ndugu wa Polepole ateta na Askofu!

Ndugu wa Polepole ateta na Askofu!

Wewe ni mjinga, Unapenda kumlaumu JPM hujui yote haya ni JK.
Utekaji wa kipindi cha JPM kililenga kumchafua na kama unaamini yeye alikuwa anaongoza hayo mambo kwa nini mpaka leo utekaji upo na unazidi kushamili.
JK alianza kumteka Kiongozi wa madaktari Dr Ulimboka na kupigwa sana.
Alimteka pia Dr Mvungi wa katiba mpya na kumuua wakati anaelekea nyimbanii kwake.
Sasa mtu akija hapa kusema JPM ni mwasisi naona hajui chochote juu ya remote inayoitesa nchi hii kwa sasa.
 
Jamaa bado yupo hai. Siku moja ulimwengu utashangaa
Ndio watu wanakosa matumaini wakiangalia ile video iliyochukuliwa baada ya tukio ya kwamba damu zilisambaa kutokea chumbani mpaka nje ya geti. Swali linakuaje, Je unajuaje zile damu kama za mtekwaji au mtekaji maana mtekwaji nae hakua mnyonge michezo anaijua, haikua raisi lazima palikua na vuta nikuvute nguo kuchanika mpaka kupotea kwake lazima ilikua kama ile movie ya "The hardway" niga analiwa na mamba haikua kinyonge lazima aliondoka na wachache. Yote yaliotokea yametoke lakin Trust me, the time must tell us one day na ukweli utakua wazi.
 
Maelezo ya familia ni kwamba alikua anakaaa na wasaidizi wawili, siku ya tukio mawasiliano yao hayakuweza kupatikana na hadi muda Polepole anatekwa hao watu wawili hawakuwepo na hadi leo hawajulikani walipo.

Tupunguze matumaini, inawezakuwa kweli Polepole alijaribu kupambana ila bado ukweli ni kwamba kwa nguvu waliyodeploy pale kwenda kumteka hiyo siku alihitaji nae pia nguvu kinzani kama ile ile ili kuweza kuokoa maisha yake hivyo haihitaji hesabu ngumu kufahamu walimzidi nguvu akiwa hana bavk up na hatimaye walimuua hata kama nae alikua na bastola akapig wachache ila hakuweza kumudu kuwamaliza wote.

Unaweza kuona kwamba familia iliachana na suala la mahakamani sababu ni moja CCM pale Polepole alikua na marafiki na maadui na pia wapo wanaojua tukio hili vizuri tu walishawaambia familia kilichotokea na pengine wahusika.

Kinachowaumiza famili ni watu ni kutopata mwili wake wakauzike kwa heshima na wafahamu wapi amezikwa maana kwa zile nondo alizokua anashusha hata yeye alikua anajua hatari iliyokua mbele yake hivyo ilikua ni nani kamuwahi mwenzake.

Polepole alishauwawa na hatutowahi kumuona tena na ndio nilikua nasema hivi maana imeshachukuliwa kawaida mkizubaa pia na kwa Nchimbi itakua hivyo hivyo maana CCM walishacross rubicon ya utu wao kumwaga damu ya mtu yoyote wanayepishana nae mtazamo ni jambo la kawaida na wana msemo wao mtalia mwezi mmoja baadae mtasahau.
 
kutokana na maelezo yako juu ya wasaidizi wake kutokupatikana kwenye simu pia kunaleta ukakasi. Japo kuna mabandiko mengi humu juu ya utekwaji wa balozi. kuna bandika linasema siku ya tukio mtandao ulizimwa pale alipokua anaishi pengine ndo mana wote pamoja na wasiadiz wake walishindwa kupiga simu ya msaada. sasa hapo wote tunakua tupo kwenye kitendawili, pengine zile damu ni za mmoja kati ya wasaidizi wake au wale wateka au hata yeye mwenyewe balozi. Kwa mazingira yale huwezi kusema kama balozi amekufa au yupo hai pengine waliokufa ni wasaidiz wake hatujui au walikufa ni kati ya watekaji hatujui pia. so hatuwezi kujiaminisha kwamba balozi amekufa maana kwenye ile nyumba alikua anaishi na wasaidiz wake. Yoyote atakaepatika kutoka kwenye ile nyumba ataweka bayana. Lakin pia kama kuna tetesi kua jamaa yupo mhala kahifadhiwa mara Ukonga mara Kigamboni taarifa kama hizi pia sio za kuzipuuzia kuna asilimia nyingi kua jamaa bado yupo hai.
 
Kwa siri alizokua nazo Polepole njia pekee waliyohitaji ni kumuua tu na walishafanikisha , hawawezi kuwa wamemtunza mahali kama mnavyozushiwa .
 
Back
Top Bottom