The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,882
- 48,002
Inaumiza sana mkuu. Ilianza Ben kama masikhara, wakamfikia Balozi, hapo hatujawaongelea wengine wengi ambao bado haijulikani walipo.hahahahaha ulimalizana nae kimyo moyo, ila tuache yote familia ya pole pole haiko sawa mpk sasa,bora hata wangepewa mwili kama kauwawa
Hii siongei kufurahisha genge, ni kwa vile tuna misingi ya kazi na ustahimilivu, nilitamani nimpige hata ndonga moja potelea mbali najua fwele boy atakabidhiwa ashughulike na mimi ila ntakua nimemwachia maumivu boss wao. Shida nikasema kama ningekua na uhakika nikipiga wanaweka maturubai kwao, ningeweza kushawishika adhma ya kimoyo moyo ijidhihirishe kwa vitendo.
Kwakweli nafikiri nimeathirika kisaikolojia, napata shida sana kuwa mtulivu kila nikikutana na polisi, inabidi nitumie nguvu ya ziada kuwa calm.