Ndugu Watanzania!
Usiku huu nimepokea ujumbe kutoka kwa mtu ambaye ni mmoja wa ndugu wa Mhe. Balozi Humphrey Polepole. Nimebadilisha initials au utambulisho wake kwa sababu za kiusalama. Suala la Polepole lina simanzi isiyoisha, hivyo hatuwezi kupuuzia minong'ono yoyote kuhusu wapi alipo.
Kwa...
Najua kuna wengi wa machawa wako wanakusifia kwa kila aina ya uzuri, msikivu, mpenda watu, mwenya maono, chaguo la Mungu, kiumbe bora na mengine.
Basi, kuonyesha ukweli wa sifa hizi waonee huruma ndugu wa wahanga wa utawala wa kinyama na kishetani uliotumia wasiojulikana kuwaua au kuwapoteza...
Kutoka Tanzanite Street, Ununio -Bahari Beach, Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam ndugu na jamaa wa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba Humphrey Polepole wakiongozwa na mama yake mzazi Mama Anna Marry Polepole leo, Jumanne Januari 06.2025 wamefika kwenye nyumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.