MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 10,003
- 14,723
Kwa uzoefu tu, mtu wa size ya Polepole hawawezi kukaa nae mpaka sasa hiviPengine bado hawajakubaliana wamfanye nini.. Kumbuka zile updates za Rachel Dangwa (Rip😪)

MmhNdugu Watanzania!
Usiku huu nimepokea ujumbe kutoka kwa mtu ambaye ni mmoja wa ndugu wa Mhe. Balozi Humphrey Polepole. Nimebadilisha initials au utambulisho wake kwa sababu za kiusalama. Suala la Polepole lina simanzi isiyoisha, hivyo hatuwezi kupuuzia minong'ono yoyote kuhusu wapi alipo.
Kwa kuwa hakuna mamlaka iliyowahi kusema kuwa inamshikilia, umma umebaki kukisia na kuokoteza taarifa ikiyumkini inaweza kutokea taarifa iliyobeba ukweli. Kwa sababu hiyo hiyo ni vigumu kwa askofu kwenda kumuulizia au kumtafuta Polepole katika mamlaka yoyote ile.
Hata hivyo, nauweka ujumbe huo hapa kwa ajili kuleta hamasa ya maombi ili kumuombea hata kumpazia sauti zaidi yumkini wanaomshikilia wanaweza kuzidiwa au kuogopa kelele nyingi.
Tukikata tamaa na kuacha kupiga kelele juu ya Balozi Humphrey Polepole hata wengine kama Dioniz Kipanya, Deusdedith Soka, Kaswahili, Chaula, Mbise, Mlay, nk tutarajie watu wengi zaidi kuendelea kutekwa na kupotezwa katika siku za kwenye kipanda uso.
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 5 Agosti 2026; Saa 7:35 usiku
UJUMBE KUTOKA NDUGU WA POLEPOLE!
Nakusalimu Baba Askofu Mwamakula!
Nisamehe nakuandikia usiku. Nimeona taarifa mtandaoni, ina viashiria kuna ukweli katika hili. Ikupendeze na iwe ni vyema kwako ninaomba uende Ukonga ili kusudi ukamuone Mhe. Balozi Humphrey Polepole, kwa maelekezo ya ujumbe wa mitandaoni kuwa Polepole yupo Ukonga!
Ni mimi K. L. P.,
Ndugu yake na Humphrey Polepole.
5 Septemba 2026View attachment 3663657
Free kila balozi MzalendoNdugu Watanzania!

ok.🐒Ndugu Watanzania!

Huyo Dangwa ndugu zako hawajui alipo na wanamuulizia? Huko alikokuwa anakaa alikuwa hana watu wa karibu na wanamuuliza? Kusema ukweli mimi sitakuwa convinced kukubali amepotea just kwa kutoonekana kwenye social media. Yule ni dakika mbili mbele na anaweza ku act namna yoyote ile.Yuko wapi sasa 🙇🏿♂
Unaposema "atunaye" unamainisha nini? Jina la babu yake?Rachel Dangwa atunaye?😳
Kchanganyikiwa ni lazima labda kama wasingekuwa binadamu. Hata kuku huchanganykiwa anapomtoza kifaranga wake. Nadhani alisema hivyo ili kujaribu kuwatisha waliomteka.hiyo familia imechanganyikiwa, kaka mtu alisema HP ana cheap mwilini
Umeweza kufanya haya yote kwa sababu wananchi hatujitambui. Nakumbuka zamani shuleni wakati ukisoma historia ya utumwa tulikuwa tunaambiana eti mababu zetu walikuwa wajinga kupitiliza kukubali mwarabu mmoja kuwaswaga kama ng'ombe na wao hawajibu mapigo. Siku hizi nimegundua kuwa kizazi cha sasa ni cha mijitu mijinga kuliko enzi hizo. Watu wazima zaidi ya milioni 40 wanaswagwa na kundi la CCM ambalo hawazidi hata 1000. Akilizetu badoziko kwenye level ya u-kima au u-nyani.Utawala wa awamu hii umevunja rekodi kwenye matukio ya kuteka, kupoteza, kuua, kufunga, kubambikia wakosoaji wake kesi za uhaini na ugaidi, na kupuuza malalamiko/mashinikizo ya ndani na nje ya nchi kuhusu kuirejesha nchi kwenye misingi yake ya kawaida.
Hapo ndio nilipothibitisha maumivu ya kupotelewa ndugu yamewavuruga. Kwa uelewa wangu, hauwezi kumuwekea mtu active chip ya kuweza kujua alipo, kwa sababu hicho kifaa kitahitaji battery, antena na mambo mengine ili kiwe kinatuma taarifa kwenye kifaa kingine.hiyo familia imechanganyikiwa, kaka mtu alisema HP ana cheap mwilini
sawa sawa ,ila inawezekana kweli akawa hi mpk leo ? wanakaa nae siku zote hizo ili iweje ? au inakua ni somo kwa wengine na vijana wanajiunga na hivyo vikosi sijui vikundi vya utekaji ?Kchanganyikiwa ni lazima labda kama wasingekuwa binadamu. Hata kuku huchanganykiwa anapomtoza kifaranga wake. Nadhani alisema hivyo ili kujaribu kuwatisha waliomteka.
Nakubaliana na wewe. Hata mimi sidhani kama yuko hai. Asilimia 99 aliuawa na asilimia 1 ndiyo naamini yuko hai. Lle gazeti la African confidential huwa naliiamini na lisingeweza kuandikajambo kubwa kama hili bila kuwa na source ya uhakika.Kweli inakanganya ila siamini kama kweli Yuko hai mpaka Sasa maana kama Yuko ukonga utawala mwingine ukija si utamtoa? Halafu itakuwa Soo kubwa zaidi?
Ilivyo ngumu kumlinda mateka! | JamiiForums Tanzania https://share.google/HennPeO8WV4k9ubyZNakubaliana na wewe. Hata mimi sidhani kama yuko hai. Asilimia 99 aliuawa na asilimia 1 ndiyo naamini yuko hai. Lle gazeti la African confidential huwa naliiamini na lisingeweza kuandikajambo kubwa kama hili bila kuwa na source ya uhakika.
hahahahaha ulimalizana nae kimyo moyo, ila tuache yote familia ya pole pole haiko sawa mpk sasa,bora hata wangepewa mwili kama kauwawaHapo ndio nilipothibitisha maumivu ya kupoteleqa ndugu yameqavuruga. Kwa uelewa wangu, hauwezi kumuwekea mtu active chip ya kuweza kujua alipo, kwa sababu hicho kifaa kitahitaji battery, antena na mambo mengine ili kiwe kinatuma taarifa kwenye kifaa kingine.
Kama ana chip, itakua ni le inayoweza kusomeka kwa masafa mafupi akipita kwenye eneo la karibu endapo kuna kitu cha kuweza kuitambua hiyo chip. Hii sio kitaalam ila ni kwa ki layman.
Kwa muktadha huo, kiuhalisia, hana chip ya kuweza kujua mahali alipo. Huenda yalikua ni matamko ya kuwafanya wanaomshikilia watafakari na kuona kama wanaweza kubadili maamuzi.
Kuna siku nilikua nasafiri, ile naingia kwenye ndege tu, ana kwa ana na yule jamaa mrefu wa kanda maalum, na ni mrefu kweli kweli, nilipata mtihani sana kuzuia kinywa na mikono yangu isitamke chochote au kurusha kelebu nikiwa napita kuelekea kwenye kiti changu. Ila kimoyo moyo nilifanya matendo yakutosha yanayostahili jinai.
Tulipofika mwisho wa safari, pale airport, akaja kuchukuliwa na VIP, hakutembea kuelekea kule wanatokea abiria wanaowasili, wakati huo nje msafara unamsubiria.
Nikupe pole kwa kikaribiana na huyo shetani. Wewe uko kama mimi. Huwa nawaza nikikutana naye nje ya nchi, mtaani naweza kujikuta nafanya jambo moja baya sana. Ila kwa haya mauaji walifanya huwa nasema nitashangaa sana kama maisha yataendelea kama kawaida. Naamini kabisa, hakuna utawala ulioua raia wengi kiasi hicho na ukabaki salama. Halafu hawa wajinga wameshalewa damu sasa hivi, kila wanachofanya ni kama wanazidi kuharibuHapo ndio nilipothibitisha maumivu ya kupoteleqa ndugu yameqavuruga. Kwa uelewa wangu, hauwezi kumuwekea mtu active chip ya kuweza kujua alipo, kwa sababu hicho kifaa kitahitaji battery, antena na mambo mengine ili kiwe kinatuma taarifa kwenye kifaa kingine.