Ndugu wa Hamza, mhalifu aliyeua Askari Selander bridge watiwa mbaroni na polisi

Hili linafanyika ili kutoa fundisho kwa mtu yoyote ambaye anataka kufanya ugaidi. Ukifanya ugaidi, utaisumbua na kuiletea matatizo familia yako kwa hiyo ni bora usifanye. Ni aina ya deterrent. Tena afadhali ya Bongo, kule Israel serikali wanavunja kabisa nyumba za familia ya yoyote anayefanya ugaidi ili iwe ni fundisho kwa yoyote anayetaka kufanya ugaidi.
Hilo linafanyika km huyo muhusika ni mpalestina lkn km ni muisrael nyumba haivunjwi
 
Back
Top Bottom