Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,327
- 24,194
Katika Awamu hii ya Mama Samia , ingalau Rais anajaribu kurudisha conscience ya jamii, kisiasa kuheshimu ukweli na uungwana.
Suala la Mdee na wenziwe 18 kuwepo Bungeni kwa barua za kughushi linamuondolea heshima Ndugai.
Leo akisimama na majoho yake ati kutetea ukweli wa kitu fulani au issue yoyote , anaonekana mantiki mwenye ulimi laghai.
Unless Ndugai atakubali kulisahihisha hili suala la kina Mdee, anakosa moral authority ya kuweka kitu chochote sawa, akiwa kama Spika.
Tena Ndugai ana bahati, ana mtu wa kumlaumu kwa kadhia ya sakata la Mdee and co.