Mkongwe Mzoefu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 842
- 2,467
Mmoja ya vitu ambavyo sisi wakazi wa Jiji la Dodoma hatujatendewa haki ni AMRI ya soko kuu la hapa makao makuu ya nchi kupewa heshima ya jina la Ndugai mbunge wa Kongwa asiye na mafanikio yeyote kwa kila jambo.
Ndugai ni mfano mbaya hapo Kongwa kwani hakuna alichofanya kuweza kukumbukwa na yeyote na amekuwa akipita uchaguzi kwa mabavu ya CCM tuu.
Katika nafasi ya Uspika kila mmoja anajuwa jinsi ambavyo ameuharibu na kuufedhehesha muhimili huo kuliko ilivyopata kutokea tokea liundwe. Jee sifa ya kutunukiwa soko hilo kaitoa wapi?
Rais aache kuingilia madaraka ya vyombo vingine mfano halmashauri ya jiji yenye mamlaka ya kutoa majina kulingana na historia sio kutokana na mtu aliyefanya mambo ya hovyo ili kumridhisha Rais. Itakuwa jambo baya hapo baadae Magufuli akitoka madarakani Soko likibadilishwa jina kuwa Soko kuu la Mazengo au Lusinde.