Ndugai hana sifa Jina lake kutumiwa Soko Kuu la Makao Makuu Dodoma

Mkongwe Mzoefu

JF-Expert Member
Aug 10, 2018
842
2,467
Mmoja ya vitu ambavyo sisi wakazi wa Jiji la Dodoma hatujatendewa haki ni AMRI ya soko kuu la hapa makao makuu ya nchi kupewa heshima ya jina la Ndugai mbunge wa Kongwa asiye na mafanikio yeyote kwa kila jambo.
Ndugai ni mfano mbaya hapo Kongwa kwani hakuna alichofanya kuweza kukumbukwa na yeyote na amekuwa akipita uchaguzi kwa mabavu ya CCM tuu.
Katika nafasi ya Uspika kila mmoja anajuwa jinsi ambavyo ameuharibu na kuufedhehesha muhimili huo kuliko ilivyopata kutokea tokea liundwe. Jee sifa ya kutunukiwa soko hilo kaitoa wapi?
Rais aache kuingilia madaraka ya vyombo vingine mfano halmashauri ya jiji yenye mamlaka ya kutoa majina kulingana na historia sio kutokana na mtu aliyefanya mambo ya hovyo ili kumridhisha Rais. Itakuwa jambo baya hapo baadae Magufuli akitoka madarakani Soko likibadilishwa jina kuwa Soko kuu la Mazengo au Lusinde.
mwananchi_official___B5KP7uvBVlk___.jpeg
 
Tunakazana kumsifia .Last bunge session amewalazimisha wabunge kupitisha azimio.la.kumsifia mfalme.Hata ingekuwa mimi kama unataka uendelee kuwepo next election period ninvesifia sana .Wamejua ugonjwa wa mfalme ni sifa .Sisi akina tusiojua kusifia mnabaki kutumbuliwa.Miaka 6 mingi ila Mungu mkubwa jamani nahisi hatutafika kwani hali ya kusifia tumeshindwa wengine .Niko najisemea tu zaburi ya 23 najifariji tu
 
Naona mwisho umerudi palepale, kutoa pendekezo lipewe jina la Lusinde as if yeye hakuwa na madhaifu! Kuna watu wajinga kupitiliza ndani ya hii jamii.
 
Alikosea
mleta hoja si mkazi wa dodoma bali mkazi wa UFIPA,
na nyinyi jengeni makao makuu yenu myape jina mnalopenda.
sio mnashindwa kutimiza wajibu wenu mnabaki kukaa pembeni za television zenu kuwafuatilia wanaume wakijenga nchi.
 
Ndu-gai mwenye hilo jina anaelewa kweli asili ya hilo jina au amebabaishwa mwishoni kuwekewa herufi i badala ya Y
 
Mmoja ya vitu ambavyo sisi wakazi wa Jiji la Dodoma hatujatendewa haki ni AMRI ya soko kuu la hapa makao makuu ya nchi kupewa heshima ya jina la Ndugai mbunge wa Kongwa asiye na mafanikio yeyote kwa kila jambo.
Ndugai ni mfano mbaya hapo Kongwa kwani hakuna alichofanya kuweza kukumbukwa na yeyote na amekuwa akipita uchaguzi kwa mabavu ya CCM tuu.
Katika nafasi ya Uspika kila mmoja anajuwa jinsi ambavyo ameuharibu na kuufedhehesha muhimili huo kuliko ilivyopata kutokea tokea liundwe. Jee sifa ya kutunukiwa soko hilo kaitoa wapi?
Rais aache kuingilia madaraka ya vyombo vingine mfano halmashauri ya jiji yenye mamlaka ya kutoa majina kulingana na historia sio kutokana na mtu aliyefanya mambo ya hovyo ili kumridhisha Rais. Itakuwa jambo baya hapo baadae Magufuli akitoka madarakani Soko likibadilishwa jina kuwa Soko kuu la Mazengo au Lusinde.View attachment 1269687
shida ana nunuliwa Magufuli anaona mbali
 
Naona mwisho umerudi palepale, kutoa pendekezo lipewe jina la Lusinde as if yeye hakuwa na madhaifu! Kuna watu wajinga kupitiliza ndani ya hii jamii.
Lusinde amesha staafu lakini ana historia ya utendaji tofauti na hilo boya lisilo jitambua kuwa ni spika anayeongoza mhimili ambao ndio sauti ya wananchi.
Hakukosea kutolea mfano jina hilo
 
Mmoja ya vitu ambavyo sisi wakazi wa Jiji la Dodoma hatujatendewa haki ni AMRI ya soko kuu la hapa makao makuu ya nchi kupewa heshima ya jina la Ndugai mbunge wa Kongwa asiye na mafanikio yeyote kwa kila jambo.
Ndugai ni mfano mbaya hapo Kongwa kwani hakuna alichofanya kuweza kukumbukwa na yeyote na amekuwa akipita uchaguzi kwa mabavu ya CCM tuu.
Katika nafasi ya Uspika kila mmoja anajuwa jinsi ambavyo ameuharibu na kuufedhehesha muhimili huo kuliko ilivyopata kutokea tokea liundwe. Jee sifa ya kutunukiwa soko hilo kaitoa wapi?
Rais aache kuingilia madaraka ya vyombo vingine mfano halmashauri ya jiji yenye mamlaka ya kutoa majina kulingana na historia sio kutokana na mtu aliyefanya mambo ya hovyo ili kumridhisha Rais. Itakuwa jambo baya hapo baadae Magufuli akitoka madarakani Soko likibadilishwa jina kuwa Soko kuu la Mazengo au Lusinde.View attachment 1269687
kwahiyo ulitaka lipewe ina gani au mkongwe mzoefu?
 
Mheshimiwa huna washauri???. Ndugai ni nani katika nchi hii??? Yaani unatuaibisha raisi tunajisikia vibaya tunapotukanwa "You have a president who does not think" Hili ni tusi kubwa kwa kiingereza
 
Mmoja ya vitu ambavyo sisi wakazi wa Jiji la Dodoma hatujatendewa haki ni AMRI ya soko kuu la hapa makao makuu ya nchi kupewa heshima ya jina la Ndugai mbunge wa Kongwa asiye na mafanikio yeyote kwa kila jambo.
Ndugai ni mfano mbaya hapo Kongwa kwani hakuna alichofanya kuweza kukumbukwa na yeyote na amekuwa akipita uchaguzi kwa mabavu ya CCM tuu.
Katika nafasi ya Uspika kila mmoja anajuwa jinsi ambavyo ameuharibu na kuufedhehesha muhimili huo kuliko ilivyopata kutokea tokea liundwe. Jee sifa ya kutunukiwa soko hilo kaitoa wapi?
Rais aache kuingilia madaraka ya vyombo vingine mfano halmashauri ya jiji yenye mamlaka ya kutoa majina kulingana na historia sio kutokana na mtu aliyefanya mambo ya hovyo ili kumridhisha Rais. Itakuwa jambo baya hapo baadae Magufuli akitoka madarakani Soko likibadilishwa jina kuwa Soko kuu la Mazengo au Lusinde.View attachment 1269687
Tunaomba uweke sifa kwa mujibu wa sheria na kanuani zinazolekeza mtu kupewa heshima hiyo na sio vitu abstract.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom