Tunakusikiriza tangaza halafu tuambie baada ya kutangaza kitafuata niniMtu anayekwamisha maendeleo ya nchi kwa kuzuia mawazo mbadala bungeni awekwe kwenye kundi la maadui wa nchi hii .
Ndugai amebainika kuchukua kanuni za nyumbani kwake na kuwafungia wabunge wawili wa Chadema , Haikubaliki .
Kamati kuu ya Chadema iliwahi kuipa adhabu ndogo tu TBC 1 , ilihamasishwa wananchi kote nchini wasiitazame TV hiyo , matokeo yake mpaka leo Tbc imekosa watazamaji , kiasi ambacho hata ukipeleka Tangazo la kifo unaweza kukuta unamzika Marehemu peke yako , kwa vile hakuna atakayepata taarifa maana wananchi hawatazami TBC .
Ni vema KAMATI KUU YA CHADEMA mkalichukua hili ili kunusuru nchi .
Wananchi wakishakupuuza hata ukiwa na kinga gani haitasaidia .
Kikubwa ile fimbo yenye hadhi iwekwe mbali maana hachelewi bwana yule kumkong'ota mtu...Ajirekebishe tu mtu mzima jazba hazifai kabisa
Kuna wanaosema hicho si chama cha siasa .Nikifa Leo nikafufuka, Dhambi ya kwanza kuibeba n ya kuichukia CCM. Too bad
Sent using Jamii Forums mobile app
Pengne n kweli. Au n shirika lisilo la kiserikaliKuna wanaosema hicho si chama cha siasa .
Na leo nimemsikia akijisifu kuwa yuko vizuri up stairs huyu ni mjivuni watu ndio watakusifia na sio yeye aanze kujisifia hovyo kabisa.huyu mtu aliwachochea walinzi wamfanyie fujo mnyika,ana jazba na hafai kuwa kwenye kiti
c yeye tu watawala wa juu nchini safarii hii wote wanajazba.hawajazoea kuwa under pressurehuyu mtu aliwachochea walinzi wamfanyie fujo mnyika,ana jazba na hafai kuwa kwenye kiti
You never cease to amaze me!Mtu anayekwamisha maendeleo ya nchi kwa kuzuia mawazo mbadala bungeni awekwe kwenye kundi la maadui wa nchi hii .
Ndugai amebainika kuchukua kanuni za nyumbani kwake na kuwafungia wabunge wawili wa Chadema , Haikubaliki .
Kamati kuu ya Chadema iliwahi kuipa adhabu ndogo tu TBC 1 , ilihamasishwa wananchi kote nchini wasiitazame TV hiyo , matokeo yake mpaka leo Tbc imekosa watazamaji , kiasi ambacho hata ukipeleka Tangazo la kifo unaweza kukuta unamzika Marehemu peke yako , kwa vile hakuna atakayepata taarifa maana wananchi hawatazami TBC .
Ni vema KAMATI KUU YA CHADEMA mkalichukua hili ili kunusuru nchi .
Ni kwa vile jf ina maono .Hili kaburi la kitambo kumbe!!
Endeleeeni tu , lakini iko siku mtajuta .You never cease to amaze me!
Kweli mkuu, mapambano kama kawaidaNi kwa vile jf ina maono .
Mauzauza anayoyasema spika wa bunge la Tanzania kila kukicha dunia nzima inashangaa !!!!!Kweli mkuu, mapambano kama kawaida