Ndugai: Acheni kuchangia mambo ya Parokia bungeni

Ndugai: Acheni kuchangia mambo ya Parokia bungeni

Status
Not open for further replies.
PAROKIA? This is disgusting. Kwani huko bungeni kuna mapadri wanaowakilisha parokia zao? hata wachungaji walioko hawawakilishi waamini wao wanaowachunga bali wananchi wao. Huu ni ulevi wa madaraka au wa viroba? Wabunge ni wawakilishi wa majimbo yao na wako bungeni kuwakilisha wananchi wao na kuitaka Serikali kuyatatua. Sasa haya majimbo ndio ****** anayaita parokia? ninajua kazi kubwa ya parokia ni kuwahudumia watu kiroho. Kama hivyo ndivyo, ni kwa nini such a comment? Itakuwa vyema kama mtu ana uhakika ana hang-over ya viroba, kulala hadi pombe zimwishe ili asiende kuropoka bungeni na hivyo kujiaibisha.:A S confused:
 
Naibu Spika Mh.Job Ndugai amempongeza mbunge wa Bariadi Magh Adrew Chenge kwa kuchangia kisomi hotuba ya wizara ya ujenzi, kwa kugusa mambo yenye maslahi kwa nchi nzima na kukemea wabunge wanaochangia kwa kutaja majimbo yao tu au parokia zao.

"Hawa ndio maseneta wanaochangia kwa kugusa mambo ya ki-nchi, sio wengine wanakuja na hoja za majimbo yao tu au parokia zao. Kila siku parokia, parokia."

Je nani analengwa na kauli hii ya Ndugai?

Kama kweli katumia neno Parokia, huo ni uchochezi wa kidini kama mkatoliki naomba atuombe radhi vinginevyo sitakubaliana na kauli ya Nchimbi ya kukabili dalili za uchochezi
 
PAROKIA? This is disgusting. Kwani huko bungeni kuna mapadri wanaowakilisha parokia zao? hata wachungaji walioko hawawakilishi waamini wao wanaowachunga bali wananchi wao. Huu ni ulevi wa madaraka au wa viroba? Wabunge ni wawakilishi wa majimbo yao na wako bungeni kuwakilisha wananchi wao na kuitaka Serikali kuyatatua. Sasa haya majimbo ndio ****** anayaita parokia? ninajua kazi kubwa ya parokia ni kuwahudumia watu kiroho. Kama hivyo ndivyo, ni kwa nini such a comment? Itakuwa vyema kama mtu ana uhakika ana hang-over ya viroba, kulala hadi pombe zimwishe ili asiende kuropoka bungeni na hivyo kujiaibisha.:A S confused:

Briliant statement. I like it. Sina hakika kama Ndugai anaelewa impact of such foolish statement.! Naungana nawe kuwa kama alikuwa hawezi kuzuia hangover za viroba alivyokunywa jana its better angeendelea kulala, bunge liongozwe na mtu mwingine.
 
Huu ni mwendelezo wa chuki dhidi ya kanisa.
Juzi parokia imelipuliwa, leo parokia inakashifiwa bungeni tena na kiongozi mkubwa serikalini.
Ikisemwa ccm ndio wachochezi wa udini tunaonekana hatuna fikra.

Huu wakati sio wa kukebei imani za watu, tupo kwenye kipindi kigumu kama taifa.!!
 
Huyo naibu ni tatizo, eti anamuuliza mdee vielelezo unavyo, na alwenya anamwambia umeunga mkono hoja, je hizi ni kazi zake.
anamuita mwalimu wake na kumuamuru amalizie hotuba ilhali muda ulishaisha. Si huko ni kuchochea kuvunja kanuni.
Halafu hucheka cheka tu pale.
 
Siku hizi kahamia kwenye viroba apate stimu mapema
Duh!!basi kama ni hivi nina wasiwasi na viroba itakuwa ni chang'aa...kha!!****** anafyatuka kama akili ameiweka masaburini,huu ni uchochezi wa wazi!!!mzee wa gombe alisema hawatajali cheo cha mtu aanze kumu arrest huyu jamaa...
 
Hapa tatizo si Ndugai bali tatizo ni ufinyu wenu wa kutumia terms za English.

Nilileta majuzi thread kuonyesha ufinyu wa kiingereza Bungeni wabunge waliporopoka na kusema kwamba Wenje katukana aliposema neno IMPOTENCY. Bonyeza thread hiyo hapa.

Kumbe siku ile tunashangilia na kuwakemea wabunge kumbe baadhi yetu wengi humu JF hawajui terms hizi za English.

Ukiisoma ile thread utaona nilitumia Dictionary ifuatayo kumtetea Wenje kwamba hakutukana:{Oxford Advanced Learner's Dictionary, Seventh Edition, ISBN: 9780194316613, pg.749}. Ukurasa huo limefafanuliwa vizuri neno IMPOTENCY.

Leo natumia dictinary hiyohiyo lakini ukurasa wa 1060. Neno "Parochial" limefafanuliwa kama ifuatavyo:

1: connected with church parish
2: (disapproving): only concerned with small issues that happen in your local area and not interested in more important things.

Hizi nido maana mbili za neno "Parochial". Hivyo, alivyolitumia Job Ndugai pamoja na kwamba simpendi kwa jinsi anavyonyanyasa wapinzani, yuko sahihi kwa sababu ametuma definition ya pili kama inavyofafanuliwa na hii dictionary.

Mimi ninaamini, Ndugai kwa kujua ama kutokujua amelitumia makusidu hilo neno akijua baadhi ya watanzania watakuja juu tena hasa katika kipindi hiki ambapo kuna utata wa udini.

Na kwa kufanya hivyo, kawanasa wengi ambao English kwao ni mgogoro. Hii inathibitisha kwamba English ni janga la taifa.

Kama mnabisha kwamba English si janga la kitaifa, hebu angalia wana-JF wachache tu wafuatao walivyomkebehi Ndugai, bila kujijua ufinyu wa lugha walioutumbukia:

***********

PAROKIA? This is disgusting. Kwani huko bungeni kuna mapadri wanaowakilisha parokia zao? hata wachungaji walioko hawawakilishi waamini wao wanaowachunga bali wananchi wao. Huu ni ulevi wa madaraka au wa viroba? Wabunge ni wawakilishi wa majimbo yao na wako bungeni kuwakilisha wananchi wao na kuitaka Serikali kuyatatua. Sasa haya majimbo ndio ****** anayaita parokia? ninajua kazi kubwa ya parokia ni kuwahudumia watu kiroho. Kama hivyo ndivyo, ni kwa nini such a comment? Itakuwa vyema kama mtu ana uhakika ana hang-over ya viroba, kulala hadi pombe zimwishe ili asiende kuropoka bungeni na hivyo kujiaibisha.

Hivi si juzi tu wametoka kupitisha hoja ya kukataza "uchochezi" (ukiwemo wa kidini)? Sasa haya maneno ya Ndugai yamelenga nini?

Ndungai mbona amekaa kivijembe vijembe tuu..mwanaume hawi hivi bana..mambo ya parokia yametoka wapi humo bungeni? Kwani walikuwa wanajadili mambo ya wizara ya magufuli au mambo ya parokia? Hata kama he was talking parables katumia mfano mbaya.

Hata mimi nimeshangazwa na kauli yake hii maana sielewi alikuwa anamaanisha nini. Kwani ndani ya bunge hakuna paroko wa kuzungumzia habari za parokia zao. Kama wamo basi atutajie ili tuwajue.
He proved biasness, bse ametaja tu ya upande mmoja. Je ya "misikiti misikiti" yanaruhusiwa???

Jumuia,Kigango,Parokia ni mfumo kristo!

ni Ndugai aliyehamasisha bungeni wiki iliyopita wabunge kuhudhuria misa ya kuwekwa wakfu kwa Mkuu wa kanisa la Anglikani nchini,akaenda mbali kwa kusema askofu huyo mpya ni mpiga kura kutoka Kongwa

Nieleweke na nadhani nimeeleweka, simtetei Job Ndugai. Netetea English translation iliyotumika.

Cc: Alfu Lela Ulela, Dr. Ntinkuntina
 
CCM ina tatizo kubwa sana linaikabili.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Unajua kuwa kichaa sio lazima uokote makopo, wamekataza mambo ya dini leo anasema nini kazi kweli kweli.
 
Hapa tatizo si Ndugai bali tatizo ni ufinyu wenu wa kutumia terms za English.

Nilileta majuzi thread kuonyesha ufinyu wa kiingereza Bungeni wabunge waliporopoka na kusema kwamba Wenje katukana aliposema neno IMPOTENCY. Bonyeza thread hiyo hapa.

Kumbe siku ile tunashangilia na kuwakemea wabunge kumbe baadhi yetu wengi humu JF hawajui terms hizi za English.

Ukiisoma ile thread utaona nilitumia Dictionary ifuatayo kumtetea Wenje kwamba hakutukana:{Oxford Advanced Learner's Dictionary, Seventh Edition, ISBN: 9780194316613, pg.749}. Ukurasa huo limefafanuliwa vizuri neno IMPOTENCY.

Leo natumia dictinary hiyohiyo lakini ukurasa wa 1060. Neno "Parochial" limefafanuliwa kama ifuatavyo:

1: connected with church parish
2: (disapproving): only concerned with small issues that happen in your local area and not interested in more important things.

Hizi nido maana mbili za neno "Parochial". Hivyo, alivyolitumia Job Ndugai pamoja na kwamba simpendi kwa jinsi anavyonyanyasa wapinzani, yuko sahihi kwa sababu ametuma definition ya pili kama inavyofafanuliwa na hii dictionary.

Mimi ninaamini, Ndugai kwa kujua ama kutokujua amelitumia makusidu hilo neno akijua baadhi ya watanzania watakuja juu tena hasa katika kipindi hiki ambapo kuna utata wa udini.

Na kwa kufanya hivyo, kawanasa wengi ambao English kwao ni mgogoro. Hii inathibitisha kwamba English ni janga la taifa.

Kama mnabisha kwamba English si janga la kitaifa, hebu angalia wana-JF wachache tu wafuatao walivyomkebehi Ndugai, bila kujijua ufinyu wa lugha walioutumbukia:

***********

Nieleweka na nadhani nimeeleweka. Simtetei Job Ndugai. Netetea English translation iliyotumika.

Cc: Alfu Lela Ulela, Dr. Ntinkuntina

Duuh! Loading mkuu.....
 
kaongea point ila kama kweli katamka neno parokia kwa sababu itakuwepo ktk hansard za bunge na wanajamvi tutajirdhsha kakosea kwa sababu aktaja parokia tayari analeta harufu ya udin kama kna ponda
 
Naibu Spika Mh.Job Ndugai amempongeza mbunge wa Bariadi Magh Adrew Chenge kwa kuchangia kisomi hotuba ya wizara ya ujenzi, kwa kugusa mambo yenye maslahi kwa nchi nzima na kukemea wabunge wanaochangia kwa kutaja majimbo yao tu au parokia zao.

"Hawa ndio maseneta wanaochangia kwa kugusa mambo ya ki-nchi, sio wengine wanakuja na hoja za majimbo yao tu au parokia zao. Kila siku parokia, parokia."

Je nani analengwa na kauli hii ya Ndugai?

vijisenti.jpg
 
Haaa ndugai leo kaamua kuunanga mfumo kristo bungeni, lakini aangalie sana, wasije maaskofu wakamshukia kwa kauli yake hiyo!
 
Ni ulimbukeni na ulevi wa madaraka tu ndo vinamsumbua. Muda utafika.
 
Hizi nido maana mbili za neno "Parochial". Hivyo, alivyolitumia Job Ndugai pamoja na kwamba simpendi kwa jinsi anavyonyanyasa wapinzani, yuko sahihi kwa sababu ametuma definition ya pili kama inavyofafanuliwa na hii dictionary.Cc: Alfu Lela Ulela, Dr. Ntinkuntina

Tatizo hakulitumia neno hilo katika lugha ya kiingereza bali kwa kiswahili namnukuu

"Hawa ndio maseneta wanaochangia kwa kugusa mambo ya ki-nchi, sio wengine wanakuja na hoja za majimbo yao tu au parokia zao. Kila siku parokia, parokia."

Moja kwa moja utakubaliana nami kuwa ametumia tafsiri ya kwanza. Kwa uwezo wake finyu sidhani hata kama anaelewa kuwa kuna tafsiri mbili za neno hili.
 
Mbona hakumpongeza kwa jinsi alivyovichukua vile vijisenti vya rada kisomi? CCM ni wezi wakubwa.
 
..Na kwa kufanya hivyo, kawanasa wengi ambao English kwao ni mgogoro. Hii inathibitisha kwamba English ni janga la taifa...
Hakuna shaka kuwa watanzania tulio wengi kiingereza ni mgogoro kama unavyosema!

Neno 'parokia' ni neno la kiswahili na kimsingi ni jina (noun) lililotokana na neno la kigiriki (παρоικι&#945😉 na sio hiyo adjective (kivumishi) ya kiingereza ("parochial"). Na kwa kweli kiingereza rahisi cha neno la kiswahili 'parokia' ni "parish".

Hata tukiacha hizo technicalities za lugha, Mh Ndugai alikuwa akizungumza kiswahili mle bungeni kwa hivyo nashawishika kuamini kuwa alipotamka neno "..parokia zao" (note hakutamka "parokio" -parochial) alikusudia kulipa neno hilo maana yake hasa ya kiswahili.

Na zaidi, hata kama alitaka "kutuzuga" tusiojua vizuri lugha (ama kiingereza) basi bungeni sio mahala pake hasa katika kipindi ambacho mivutano ya kidini inashika kasi.
 
kuwa kiparokia may be anamaanisha kuwa narrow minded maana ichi kidhungu nacho..
kina taabu hebu wadau mugoogle hilo neno afu tutajua ka alikuwa anasema maneno ya mipasho au laa!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom