Ndugai: Acheni kuchangia mambo ya Parokia bungeni

Ndugai: Acheni kuchangia mambo ya Parokia bungeni

Status
Not open for further replies.
CHADEMA a.k.a
1.Wapingaji wa kila kitu
2.wajuaji wa kila kitu
3.Matusi center
4.Vurugu camp
5.Maandamano home.
Mh,jamani nyie hamnaga hata moja la kuongea positively?Tutaendelea kuwapa majina kulingana mawazo yenu.

Wait a minute. Ina maana siku za karibuni Livingstone Lusinde amehamia Chadema? How about Serukamba and Juma Nkamia? je, wamehamia peke yao au pamoja na matusi yao? Kama kweli wamehamia huko, basi hiki chama hakifai. Halafu kuna yule wa Kilwa aliyesema Msigwa anachunga nguruwe. Yeye vipi, kahamia naye? How about yule aliyesema wenzake wanakwenda bungeni just to break the wind? Where is he? Please inform me. Ha ha haaa!:mimba:
 
"Kinana" weka mbali na tembo....ccm ni wazee wakung'oa wananchi kucha na meno.ndugu wananchi tuiogope ccm ni janga la taifa.ccm no majangili ya tembo yakiongozwa na muhamiaji haramu mwenye uraia fake kinana
 
CCM na maneno yao kama haya ya chuki wanaivuruga tanzania.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Naibu Spika Mh.Job Ndugai amempongeza mbunge wa Bariadi Magh Adrew Chenge kwa kuchangia kisomi hotuba ya wizara ya ujenzi, kwa kugusa mambo yenye maslahi kwa nchi nzima na kukemea wabunge wanaochangia kwa kutaja majimbo yao tu au parokia zao.

"Hawa ndio maseneta wanaochangia kwa kugusa mambo ya ki-nchi, sio wengine wanakuja na hoja za majimbo yao tu au parokia zao. Kila siku parokia, parokia."

Je nani analengwa na kauli hii ya Ndugai?


Kwahiyo parokia . vigango, misikiti havitakiwi kwa na wasemaji wa matatizo yao????????? Au sio mali ya watanzania? au sio milki za majimbo ya ubunge?

au kwakuwa kura mlishapata ndo wawasahau????????? Too bad............
 
Nafikiri ni namna yake ya kuisema CDM with reference to Dr Slaa as a priest & CDM as a parish
 
Hata mimi nimeshangazwa na kauli yake hii maana sielewi alikuwa anamaanisha nini. Kwani ndani ya bunge hakuna paroko wa kuzungumzia habari za parokia zao. Kama wamo basi atutajie ili tuwajue.

nguvu ya pesa za Chenge inafanya kazi. Chezea EPA wewe.
 
Hata mimi nimeshangazwa na kauli yake hii maana sielewi alikuwa anamaanisha nini. Kwani ndani ya bunge hakuna paroko wa kuzungumzia habari za parokia zao. Kama wamo basi atutajie ili tuwajue.

nguvu ya pesa za Chenge inafanya kazi. Chezea EPA na RADAR wewe.
 
Huyu ndy Ndugai baadhi ya wabunge wa ccm wanampigia kampeni awe spika wa bunge la 2015 mbona ni kituko ss nani huwa anachangia parokia hapo bungeni

halafu kusema amechangia kisomi so wengine wanachangia?
 
Huyu ndy Ndugai baadhi ya wabunge wa ccm wanampigia kampeni awe spika wa bunge la 2015 mbona ni kituko ss nani huwa anachangia parokia hapo bungeni

halafu kusema amechangia kisomi so wengine wanachangia?

Akiwa Spika 2015 Tanzania inaingia automatically kwny maajabu 7 ya dunia.
 
He proved biasness, bse ametaja tu ya upande mmoja. Je ya "misikiti misikiti" yanaruhusiwa???

Tatizo si lake ila mfumo. Wapo pale kichama zaidi kuliko taifa. Hilo ni dongo alikuwa akiwapiga chadema kutoka na mfumo wanao uasisi wa utawala wa kimajimbo kwani kumbukeni kwa mfumo wa makanisa utawala wake uko kwenye mfumo wa kanisa kuunda parokia ambazo zenyewe zinaunda jimbo. So msimshangae zaidi kwani angalau anaye msifia angekuwa na uhalisia /wasifu huo.
 
Bunge la sasa halina spika wala naibu spika, ndio maana wanaweza kumsifia fisadi vijisenti. Unakumbuka majuzi tu supika aimpa uenyekita Change kwa kulazimisha tu. Hicho kiti kinalipa fadhili sawa na mkataba walioingia na mafisadi ili wamng'oe spika wa viwango na kasi Sita.
 
huyu jamaaa nina mshaka na njisia yake maana anatia aibu sana utanzania mwanamke
 
Dugu moja hiyo"

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hapa tatizo si Ndugai bali tatizo ni ufinyu wenu wa kutumia terms za English.

Nilileta majuzi thread kuonyesha ufinyu wa kiingereza Bungeni wabunge waliporopoka na kusema kwamba Wenje katukana aliposema neno IMPOTENCY. Bonyeza thread hiyo hapa.

Kumbe siku ile tunashangilia na kuwakemea wabunge kumbe baadhi yetu wengi humu JF hawajui terms hizi za English.

Ukiisoma ile thread utaona nilitumia Dictionary ifuatayo kumtetea Wenje kwamba hakutukana:{Oxford Advanced Learner's Dictionary, Seventh Edition, ISBN: 9780194316613, pg.749}. Ukurasa huo limefafanuliwa vizuri neno IMPOTENCY.

Leo natumia dictinary hiyohiyo lakini ukurasa wa 1060. Neno "Parochial" limefafanuliwa kama ifuatavyo:

1: connected with church parish
2: (disapproving): only concerned with small issues that happen in your local area and not interested in more important things.


Hizi nido maana mbili za neno "Parochial". Hivyo, alivyolitumia Job Ndugai pamoja na kwamba simpendi kwa jinsi anavyonyanyasa wapinzani, yuko sahihi kwa sababu ametuma definition ya pili kama inavyofafanuliwa na hii dictionary.


Mimi ninaamini, Ndugai kwa kujua ama kutokujua amelitumia makusidu hilo neno akijua baadhi ya watanzania watakuja juu tena hasa katika kipindi hiki ambapo kuna utata wa udini.

Na kwa kufanya hivyo, kawanasa wengi ambao English kwao ni mgogoro. Hii inathibitisha kwamba English ni janga la taifa.

Kama mnabisha kwamba English si janga la kitaifa, hebu angalia wana-JF wachache tu wafuatao walivyomkebehi Ndugai, bila kujijua ufinyu wa lugha walioutumbukia:

***********

















Nieleweke na nadhani nimeeleweka, simtetei Job Ndugai. Netetea English translation iliyotumika.

Cc: Alfu Lela Ulela, Dr. Ntinkuntina

Hapana mkuu, wewe ndio amekupata.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom