Ndugai: Acheni kuchangia mambo ya Parokia bungeni

Ndugai: Acheni kuchangia mambo ya Parokia bungeni

Status
Not open for further replies.
Ndugai anaringia uchawi alioachiwa na mama yake ndo maana anaongea ongea tu kama anaharisha...parokia manake nini!mshenzi sana wa tabia huyu mtu
 
Ngojeni kwanza, hivi Ndungai na Bi Kiroboto, hawa si ni wateule wa male mapacha 3? Tusipoteze kumbukumbu, ile list ya mapacha 3, Chenge nae si yupo? Sasa mlitaka Ndungai afanyaje kama sio kumsifia? Kwa maneno mengine, watu wakisema ccm ni chama cha mafisadi akina riz1 na wengine wanabisha!
 
Nikupateje

Si kwamba watu wasiojua kiingereza wamepatikana. Sina uhakika kama unaishi hapa Tanzania au kama unafahamu mifumo ya kiutawala ya madhehebu ya dini mbalimbali hapa Tanzania. Kwa ufahamu wangu neno Parokia ni neno la Kiswahili. Kanisa Katoliki hulitumia neno hilo kama ngazi mojawapo ya utawala. Ngazi ya chini kabisa ni Kigango, ngazi inayofuata ni Parokia, ngazi ya tatu ni Jimbo na ngazi ya nne ni Jimbo kuu. Kwa kiingereza ni sub-Parish (sina uhakika na hii), Parish, Diocese na Archdiocese. Neno Parokia linatokana na neno la kilatini Paroceum. Neno Parokia kwa sasa ni neno linalofahamika sana nchini kote na hasa kwa Wakatoliki. Hivyo Ndugai alipolitumia alikuwa anataja eneo la kiutawala la Kanisa Katoliki. Kwa hakika hapa alikuwa analitaja Kanisa Katoliki. Hivyo ndugu Nikupateje usiyumbishe ukweli kwa kudhani alikuwa na maana ya Parochial.
 
Ndugai anaringia uchawi alioachiwa na mama yake ndo maana anaongea ongea tu kama anaharisha...parokia manake nini!mshenzi sana wa tabia huyu mtu

Siku hizi jamaa kazidisha safari za NIGERIA mara dufu....sijui huwa anaenda kwa shughuli gani....bado najiuliza zaidi ya NDUMBA ninini kingine kinachompeleka huko???....kwa akili yake anadhani next time atapewa USPIKA na kina Chenge na EL., atakuwa anajidanganya kwani hata UBUNGE tu hapati tena!!
 
Naibu Spika Mh.Job Ndugai amempongeza mbunge wa Bariadi Magh Adrew Chenge kwa kuchangia kisomi hotuba ya wizara ya ujenzi, kwa kugusa mambo yenye maslahi kwa nchi nzima na kukemea wabunge wanaochangia kwa kutaja majimbo yao tu au parokia zao."Hawa ndio maseneta wanaochangia kwa kugusa mambo ya ki-nchi, sio wengine wanakuja na hoja za majimbo yao tu au parokia zao. Kila siku parokia, parokia."Je nani analengwa na kauli hii ya Ndugai?
Nchi hii wafia udini watatumaliza! hivi ni mbunge wa chama gani huyo anaetaja taja Parokia parokia ndani ya Bunge?
 
Hilo Dongo kwa Watanzania...Toka lini Mwizi muuaji akatoa mchango mzurii kwa nchi hii?...
 
Kinachonitatiza ni je atachukua hatua gani kama kesho MBUNGE mwingine atatoa maneno yenye mwelekeo wa kukejeli dini/dhehebu ndani ya Bunge!
 
CHADEMA a.k.a
1.Wapingaji wa kila kitu
2.wajuaji wa kila kitu
3.Matusi center
4.Vurugu camp
5.Maandamano home.
Mh,jamani nyie hamnaga hata moja la kuongea positively?Tutaendelea kuwapa majina kulingana mawazo yenu.
 
Katika mihimili mitatu mikuu/rasmi tuliyonayo hapa Tanzania, Bunge kwa wakati huu lina bahati mbaya ya kuwa na viongozi feki nadhani haijawahi kutokea tangu kuanzishwa kwake. Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaongozwa na Makinda na Ndugai ni watu wa ovyo, wasiolitakia mema taifa hili, wanatenda kwa maslahi ya mafisadi.

Any way kwa vile mhimili mkuu wa dola/serikali nao uko hoi bin taabani ilikuwa kama lazima kutafuta mazezeta waongoze Bunge ili ku-balance mambo mambo.
Naibu spika anaropoka na kujisifia Bungeni utazani amelewa gongo kilabuni, kumbukeni alivyoropoka juu ya swala la Jairo, sawa hata kama lilikuwa linakera kiongozi unaongea hata kama ni lugha kali lakini yenye staha, na utaeleweka, eti huyo naye ni kiongozi wa mhimili wa Bunge, na nasikia anafanya kampeni kwa wapuuzi wenzake ili awamu inayokuja awe Spika, itakuwa aibu ya mwaka na mwisho wa kuaminika kwa huo mhimili.

Spika na Naibu wake wasiojua hata majukumu ya Bunge.
 
Twasila; don't doubt but surely admit that Hon.Job Ndugai is reasonless when it comes into critical matters.The only thing we can do is just ignoring him!
 
Last edited by a moderator:
Kwa waliomsikiliza Chenge kwa makini na kufanya content analysis ya mchango wake watakuwa wamegundua hili....
Chenge alikuwa hachangii lolote la maana bali kuonesha tu kuwa anayajua maeneo tajwa katika miradi ya barabara iliyoainishwa.....
hakuna cha maana kabisa!
 
CHADEMA a.k.a1.Wapingaji wa kila kitu2.wajuaji wa kila kitu3.Matusi center4.Vurugu camp5.Maandamano home.Mh,jamani nyie hamnaga hata moja la kuongea positively?Tutaendelea kuwapa majina kulingana mawazo yenu.
Kapokee buku 7
 
Wanasuguana hao. Wanasuguana magamba ili yatakate na kung'aa. Anayetakiwa kuongelea kila kitu katika nchi ni Rais. Wabunge huchangia vizuri sana. Huanza na hoja kwa mapana kisha kutoa mifano hai kwenye majimbo yao. Kama watu wa Bariadi hawana dhiki, ya nini kuwaongelea?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom