Ndugai: Acheni kuchangia mambo ya Parokia bungeni

Ndugai: Acheni kuchangia mambo ya Parokia bungeni

Status
Not open for further replies.
Duuh! Loading mkuu.....

Mkuu NIKUPATEJE? Please put me on the know! What language did ****** use? Kiswahili or English? If he was addressing the parliament in English, then you are right. BUT, If he was using Kiswahili he meant parokia and this is the reason we are saying he was still with his constant friend Mr. Hangover.:argue:
 
Wako tayari kuutukana Ukristo wao ili kuwafurahisha mabwana zao. Kristo anawafuasi wengi sana watiifu kwake na Hata Mtume Muhammad anao wa kwake na wa kutosha tena waadilifu. Mafisadi sijui wanasali ili iweje? yangu macho na masikio.
 
Tatizo hakulitumia neno hilo katika lugha ya kiingereza bali kwa kiswahili namnukuu

Moja kwa moja utakubaliana nami kuwa ametumia tafsiri ya kwanza. Kwa uwezo wake finyu sidhani hata kama anaelewa kuwa kuna tafsiri mbili za neno hili.

Naunga mkono hoja mkuu.
 
Hakuna shaka kuwa watanzania tulio wengi kiingereza ni mgogoro kama unavyosema!

Neno 'parokia' ni neno la kiswahili na kimsingi ni jina (noun) lililotokana na neno la kigiriki (παρоικι&#945😉 na sio hiyo adjective (kivumishi) ya kiingereza ("parochial"). Na kwa kweli kiingereza rahisi cha neno la kiswahili 'parokia' ni "parish".

Hata tukiacha hizo technicalities za lugha, Mh Ndugai alikuwa akizungumza kiswahili mle bungeni kwa hivyo nashawishika kuamini kuwa alipotamka neno "..parokia zao" (note hakutamka "parokio" -parochial) alikusudia kulipa neno hilo maana yake hasa ya kiswahili.

Na zaidi, hata kama alitaka "kutuzuga" tusiojua vizuri lugha (ama kiingereza) basi bungeni sio mahala pake hasa katika kipindi ambacho mivutano ya kidini inashika kasi.

So u mean Parokia aliyomaanisha Ndugai ni ile ya "Parish" kwa kiingereza, ambayo WaProtestant wanaiita "Usharika"????
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Hakuna shaka kuwa watanzania tulio wengi kiingereza ni mgogoro kama unavyosema!

Neno 'parokia' ni neno la kiswahili na kimsingi ni jina (noun) lililotokana na neno la kigiriki (παρоικι&#945😉 na sio hiyo adjective (kivumishi) ya kiingereza ("parochial"). Na kwa kweli kiingereza rahisi cha neno la kiswahili 'parokia' ni "parish".

Hata tukiacha hizo technicalities za lugha, Mh Ndugai alikuwa akizungumza kiswahili mle bungeni kwa hivyo nashawishika kuamini kuwa alipotamka neno "..parokia zao" (note hakutamka "parokio" -parochial) alikusudia kulipa neno hilo maana yake hasa ya kiswahili.

Na zaidi, hata kama alitaka "kutuzuga" tusiojua vizuri lugha (ama kiingereza) basi bungeni sio mahala pake hasa katika kipindi ambacho mivutano ya kidini inashika kasi.

Mkuu, u mean Parokia aliyomaanisha Ndugai ni ile ya "Parish" kwa kiingereza, ambayo WaProtestant wanaiita "Usharika"????
 
Mkuu NIKUPATEJE? Please put me on the know! What language did ****** use? Kiswahili or English? If he was addressing the parliament in English, then you are right. BUT, If he was using Kiswahili he meant parokia and this is the reason we are saying he was still with his constant friend Mr. Hangover.:argue:

Kuchanganya lugha bungeni ni jambo linalotokea na litakaloendelea kutoke mle kila siku.

Unapong"ang"ania maana hiyo ya Parokia basi unakuwa unalazimisha maana. Kumbuka hata Wenje alichanganya lugha lakini tulimtetea.
 
kuwa kiparokia may be anamaanisha kuwa narrow minded maana ichi kidhungu nacho..
kina taabu hebu wadau mugoogle hilo neno afu tutajua ka alikuwa anasema maneno ya mipasho au laa!!

Mbona amekuwa straight forward katika maana yake?

"Hawa ndio maseneta wanaochangia kwa kugusa mambo ya ki-nchi, sio wengine wanakuja na hoja za majimbo yao tu au parokia zao. Kila siku parokia, parokia."
 
Ndio matatizo ya kuendekeza siasa...
Wakati anamsifia kiongozi mwenzake kwa kuonesha ueledi kwenye kuchangia hoja, yeye binafsi anaharibu kwa kutamka matamshi yasiyo na weledi wowote kulingana na wadhifa alionao...
Hivyo hata hayo aliyoyatamka sidhani kama yeye Ndugai ni muumini wake maana hayasadifu maudhui...
 
Atakua upinzani huyo, angekua ccm asingethubutu kukidhalilisha chama chake kiasi hicho

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Briliant statement. I like it. Sina hakika kama Ndugai anaelewa impact of such foolish statement.! Naungana nawe kuwa kama alikuwa hawezi kuzuia hangover za viroba alivyokunywa jana its better angeendelea kulala, bunge liongozwe na mtu mwingine.

Ndugai ana tabia za "KIKE" na nimtu wa "MIPASHO" nakumbuka siku anawatoa nje wabunge alikuwa aki-PAYUKA kwa sauti kubwa, nanukuu...."askari toa nje huyo".

Ndugai ni zaidi ya MZEMBE yeyote umjuaye ndani ya BUNGE, ndo maana haishi kujikomba kwa CHENGE na LOWASSA....siku zote maongezi yake nje ya BUNGE ni kumfagilia EL.....huyu jama ni POYOYO bab-K.
 
Huwa sipendi kuchangia mjadala wowote unaomhusu job..coz niliwahi huko numa kuhitimisha kuwa job ni useless piece of human being....hana ajualo wala afikirialo kwa kina..ni sawa na mtoto mdogo ambaye hajaanza hata vidudu...asamehewe akikuwa atajifunza kutokana na makosa yake ya utotoni.
 
Ndugai ana malaria toka juzi na sasa inaonekana imempanda kichwani.
 
Ayubu kikwetu anatakiwa aitwe "kisewaa"..sehemu ya nyuma ya kutolea haja kubwa ya kuku.....huwa haitakiwi hata kuchanganywa na nyama zengine na huishiwa kutupwa ke shimo la taka....
 
Naibu Spika Mh.Job Ndugai amempongeza mbunge wa Bariadi Magh Adrew Chenge kwa kuchangia kisomi hotuba ya wizara ya ujenzi, kwa kugusa mambo yenye maslahi kwa nchi nzima na kukemea wabunge wanaochangia kwa kutaja majimbo yao tu au parokia zao.

"Hawa ndio maseneta wanaochangia kwa kugusa mambo ya ki-nchi, sio wengine wanakuja na hoja za majimbo yao tu au parokia zao. Kila siku parokia, parokia."

Je nani analengwa na kauli hii ya Ndugai?

Nahisi atakua anamlenga mbunge wa Vunjo mzee wa kiraracha, ndiyo mara nyingi analalamikia masista walionyang'anywa ardhi huko vunjo.
 
Hivi nchi hii nani amebaki ambaye yuko serious hata kidogo?
 
Ndugai ana tabia za "KIKE" na nimtu wa "MIPASHO" nakumbuka siku anawatoa nje wabunge alikuwa aki-PAYUKA kwa sauti kubwa, nanukuu...."ASKARI TOA NJE HUYO..".

Ndugai ni zaidi ya MZEMBE yeyote umjuaye ndani ya BUNGE, ndo maana haishi kujikomba kwa CHENGE na LOWASSA....siku zote maongezi yake nje ya BUNGE ni kumfagilia EL.....huyu jama ni POYOYO bab-K.
Hapo kwenye capital umemsitiri mkuu. Hakusema tu toa nje huyo, alifika mbali na kusema mtoeni nje kabisa ya geti. Akadhani hajasikika akarudia kama mara tatu "mtoeni nje kabisa ya geti, nje ya geti, i mean nje kabisa ya viwanja vya bunge"
 
Wakristu huwa wanadharauliwa sana kutokana na wachungaji na maaskofu wao kutoa kauli za "msilipize kisasi".
Ndungai asinge weza kuthubutu kutamka " Acheni kuchangia mambo ya madrasa bungeni" kama alivyosema kwenye title ya thread.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom