Ndugai: Acheni kuchangia mambo ya Parokia bungeni

Ndugai: Acheni kuchangia mambo ya Parokia bungeni

Status
Not open for further replies.
TEC ikemee kauli hii.
Ni km kule Sumbawanga yule bwana alipokejeli Utatu Mtakatifu kwa kuufananisha na Rais, Mbunge na Diwani.
Leo parokia, kesho atataja usharika, usharika usharika, keshokutwa akisema msikiti msikiti msikiti, wale wenzetu hawatamvumilia!
 
Hakuna Tanzania isiyo na majimbo.

Hakuna majimbo ya bunge katika bunge la Tanzania yasiyo katika nchi ya Tanzania.

What's wrong with these people? Where do they get them?

Stupid collectivization.

Wanataka nini sasa? Tuambiwe uchumi wa nchi unakua kwa 7% wakati chumi za majimbo yote tunaona zinadidimia kwa 10% ?

Obscurantist ombudsman with Vogon vitriol!
 
Bunge la sasa halina spika wala naibu spika, ndio maana wanaweza kumsifia fisadi vijisenti. Unakumbuka majuzi tu supika aimpa uenyekita Change kwa kulazimisha tu. Hicho kiti kinalipa fadhili sawa na mkataba walioingia na mafisadi ili wamng'oe spika wa viwango na kasi Sita.

Ndugai na Makinda ni mazuzu????
 
With all the MPs Ndugai amemuona Chenge ndiyo MP wa kusifiwa, This Dude (Chenge) was supposed to be behind bars kama zingekuwa nchi za wenzetu walio makini au Kule China angekuwa ni chakula ya risasi.

Please Ndugai give us a break huo ushenzi ndiyo unatufanya tuichukie CCM na kukiona Chama cha Mafisadi.

ndugai is just a scrap, another culprit eroding our future for the sake of 'self and idiotic sect' driving that dying stagnant party
 
Uwakilishi wa Mbunge Primarily ni Parochial. Mbunge gani anachaguliwa na Nchi nzima? Mbunge atazungumziaje maswala ya kitaifa kabla ya kumaliza ya Jimbo ambayo Job anayaita Parochial? Sikatai Mbunge kuwa na focus ya Kitaifa. Ndugai asiwafanye Wabunge wawe waoga kuchangia matatizo ya majimbo yao simply because wataonekana kuwa na mawazo ambayo ni Parochial. Jimbo la Ndugai ni Taifa? Kongwa wanawakilishwa na nani?
 
Naibu Spika Mh.Job Ndugai amempongeza mbunge wa Bariadi Magh Adrew Chenge kwa kuchangia kisomi hotuba ya wizara ya ujenzi, kwa kugusa mambo yenye maslahi kwa nchi nzima na kukemea wabunge wanaochangia kwa kutaja majimbo yao tu au parokia zao.

"Hawa ndio maseneta wanaochangia kwa kugusa mambo ya ki-nchi, sio wengine wanakuja na hoja za majimbo yao tu au parokia zao. Kila siku parokia, parokia."

Je nani analengwa na kauli hii ya Ndugai?

1. Huyu naibu spika anaelekea kushindwa kazi. Hivi haoni aibu kufanya vituko kwa vile anonekana kwa watu wengi
hivyo?
2. Kazi yake bungeni ni kuongoza bunge na siyo kuwafundisha wabunge wachangie namna gani.
3. Halafu wabunge wanaodhani serikali lazima isifiwe si waisifie wao, kwa nini wanatka hata wasioona mafanikio wasifie?
4. Baadhi ya wabunge wanageuka mawaziri wakati wa kuchangia wanaanza kukosoa hotuba ya kambi rasmi ya ushindani. What a waste of time? You'll never silence people to point out what they want to see being improved.
5. Hivi hawa magamba wamelogwa na nani jamani? Kwa nini wanataka wabunge wa kambi ya ushindani waone wanayoyaona wao? Si waendelee tu kusema:
a) Asante kwa kunipa nafasi hii nami niweze kuchangia bajeti hii mhe spika/naibu spika/mwenyekiti.
b) Kabla sijasahau nianze kwa kuunga mkono bajeti kwa asilimia 100, mhe spika/naibu spika/mwenyekiti.
c) Lakini mhe spika/naibu spika/mwenyekiti mimi sitaunga mkono bajeti mpaka waziri anielezee kwa nini jimboni kwangu kuna tatizo hili na lile ingawa serikali iliahidi kutekeleza miaka 10 iliyopita lakini mpaka sasa hakuna kinachoendelea.
d) Mwisho kabisa mhe spika/naibu spika/mwenyekiti naunga mkono bajeti kwa asilimia 100. Isn't this a circular argument?
 
Hivi si juzi tu wametoka kupitisha hoja ya kukataza "uchochezi" (ukiwemo wa kidini)? Sasa haya maneno ya Ndugai yamelenga nini?


Mkuu ukisha kuwa gamba na ubongo unazingirwa na magamba hata uwezo wa kumbukumbu unapungua!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Hahahaa,Kumbe Majitu kiingereza kinawakimbiza bila ya kujali chama, Parochial sio mambo ya kanisa ni Petty Issues hahahaaa, Hongera Job, Kumbe ufutaji wa matokeo ungeanza kitambo sana!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom