Ndoto za wadada Africa wa dot com, case study Adaeze Yobo

generation ya kina adaeze kwenye miss nigeria. marafiki zake wote wamezaa na kuolewa na footballers na Basketball NBA players wa ki nigeria sasa ni kutambiana tu kwenye mitandao maisha wanayoishi.. stephanie kaolewa na uche kalu footballer. winnie kaolewa na Nba player okandi.

kipindi cha off season wanarud zao lagos na familia zao na ku run the town kwa matumizi ya anasa mbayaa.

sasa mume nba au mpira analipwa million 300 kwa wiki kwa nini wadada wasijilipue kuolewa nao au kuzaa nao.

mambo ya sijui banker, auditor, doctor sijui proffessional za kawaida wadada wa mjini hawazitaki hizo as mishahara midogo hairuhusu anasa. wao wanataka vipato vya kufa mtu mtoto awe na uhakika wa kusoma world class university. vacations in the most beautifully places on earth. driving posh cars. designers clothes etc etc ndio wanachotaka.

na hapo bado wakaka wa kibongo wakikaza wakacheza soka majuu wadada wataacha wazee na kula nao sahan moja nao wale gudtime za dunian
 
Kuna psychologist mmoja uwa na m follow...ananisaidia sana kujipima...
Kuna article moja nakumbuka alizungumzia kuishi ndotoni...
Alisema ni ugonjwa kupenda kuangalia maisha ya watu mtandaoni na kuvusha kama wewe ndio unayoyaishi...
And that is what happens na vijana wanao wa follow ma superstaa...hawajuhi ni kwa nini wanawa follow kumbe ni kwa kuwa wanafarijika na success za watu wengine...while walitakiwa waishi maisha yao...
Ni kama mvuta bangi...akishavuta anajiona yuko mbinguni...
wale mastaa wana show off mali zao...vijana wanafurahi utadhani za kwao...
Kuna watu wanaishi maisha kindoto ndoto

It was a good article nikiiona ntairusha...

Kuna ndoto za aina nyingi mama,

Ila cha muhimu ni ku-struggle kufikia hayo mafanikio. Mimi IG nafollow watu wengi sana wakubwa na wenye maisha mazuri, wanani inspire kupigana kufika pale walipo.

Ndoto ni nzuri ila unafanyaje kufikia ndoto zako??
 
Afu wanaigeria wenye majina wote hata kama wanaishi Nigeria lazima wakajifungulie US...ni kama aibu kuzalia mtoto Nigeria...yani ni full mashindano...

Ila vijana wao nawasifu kupenda kuoa kwao...look at our Thabit...anatanga tanga na black Americans badala ya kutafuta mmatumbi apunguze umasikini Tz...mcheza kwao bana...

generation ya kina adaeze kwenye miss nigeria. marafiki zake wote wamezaa na kuolewa na footballers na Basketball NBA players wa ki nigeria sasa ni kutambiana tu kwenye mitandao maisha wanayoishi.. stephanie kaolewa na uche kalu footballer. winnie kaolewa na Nba player okandi.

kipindi cha off season wanarud zao lagos na familia zao na ku run the town kwa matumizi ya anasa mbayaa.

sasa mume nba au mpira analipwa million 300 kwa wiki kwa nini wadada wasijilipue kuolewa nao au kuzaa nao.

mambo ya sijui banker, auditor, doctor sijui proffessional za kawaida wadada wa mjini hawazitaki hizo as mishahara midogo hairuhusu anasa. wao wanataka vipato vya kufa mtu mtoto awe na uhakika wa kusoma world class university. vacations in the most beautifully places on earth. driving posh cars. designers clothes etc etc ndio wanachotaka.

na hapo bado wakaka wa kibongo wakikaza wakacheza soka majuu wadada wataacha wazee na kula nao sahan moja nao wale gudtime za dunian
 
what if vacation ni hapo uchira,au machame,ludewa,kibaigwa,,,,,,etc si utaishia kuwatizama tuu,kwa kuwa hatusomeki ?
 
Afu wanaigeria wenye majina wote hata kama wanaishi Nigeria lazima wakajifungulie US...ni kama aibu kuzalia mtoto Nigeria...yani ni full mashindano...

Ila vijana wao nawasifu kupenda kuoa kwao...look at our Thabit...anatanga tanga na black Americans badala ya kutafuta mmatumbi apunguze umasikini Tz...mcheza kwao bana...
watu wengi huenda kuzalia us ili watoto wao wapate uraia wa huko. wachina wanafanya sana huu mchezo.
 
heee we vipiiii? Nyalandu sasa ni mzee....??

Mtu akiolewa na age mate wake oohh mdogo hairuhusiwi, akiolewa na alomzidi mzee ...Mnataka nini hasaa? Mbona mnapenda kuchunguza ya watu? Ndio maana hamuendelei...Wewe wako anangapi hasa? Utakuta hata kupata hujampata kwanza ndio maana

Wadau niaje.

Leo tujadili kuhusu mawazo ya dada zetu wanaofaa kuwekwa ndan na vijana wenzao hapa tanzania as k lyn, nancy sumari, faraja kota na wengineo wengi wasio na majina makubwa as lara 1.

Mifano hai ipo mingi but ndoto za wanawake wa kisasa ipo hivi

Kwanza 18 years iwe imemkuta anamaliza secondary nzuri. Kizungu kimesimama, at hiyo age 18 imkute anagombea u miss, kwa kutumia adaeze as case study at 18 she wins miss Nigeria na kupata chance ya kushiriki miss world ( hii ni same as nancy sumari, faraja kota, k lyn na wengineo wengi).

At 20 u miss umeshaexpire akakutana na Joseph yobo ( everton superstar 10 years in premier league mishahara sijui million mia ngapi kwa wiki kwenye party huko lagos, alipotongozwa kidogo tu hakulaza damu na mimba akaibeba fasta within 3 months akaolewa na football superstar wa kinageria aliye hustle miaka kibao.

Nina imani angekuwa kapuku asingemkubali na mimba asingeibeba hata iweje ( same as dada zetu wengi tz wakikutana na ready made fasta ni kubeba mimba tu) hawataki ku hustle na wanaume kabisa kuanzia chini).

Baada ya kuolewa tu ajajifungua zake mtoto na kuanza maisha ya mashauzi kwenye facebook, twitter, instagram kulingishia wenzake, vacation za kila siku mara miami, mara kapeleka mtoto disneyland, mara wapi yaani ni kutumia tu hela ambazo mwanaume kazisaka wakati yeye hayupo( hii ni same as mange na wengineo wengi Tanzania).

Kwa maisha haya ndio maana wadada wa kibongo wanachagua chagua sana as wanataka mume wa kumpeleka vacation za kutosha, watoto wawe na better future na mengineyo.

Na hii inasababisha bongo wadada watembee na waume za watu as age mate zao bongo hawana hela au kuolewa na wazee as Mengi, Nyalandu, luca etc.

Nigeria na other african countries atleast wadada wana bahati as vijana wenzao wana hela as wanacheza soccer majuu NBA, Music etc.

Wadada wa dot com wanapenda sana kutambiana kwenye mitandao, kitchen parties, kwenye events etc. so maisha ya kutambiana wame zao walivyo, vipato, watoto wanasoma wapi, vacations, nguo na mikoba ya designers. Yapo kwenye damu yao kila mdada wa dot com Africa na ndio maana kila siku wanahangaika kusaka wanaume wa kueleweka au mambo safi huku wakilalamika waoaji hakuna.

Adaeze yeye ni vacations na vacations na yeye na mtoto wake, mumewe yupo busy na UEFA, yeye anawaza fashion and vacations, off season kazi ni kumbeba mumewe na mtoto vacations series inaanza upya.

Faraja Kota, Nancy na Klyn nae mapacha wakikukua kua utaona vacations zitavyochanganya na trip za disneyland, dada zetu wengi akili zao zimevurugwa nowdays na vacations kwenye ndoa zao na hapo vidume hali ngumu.

Kwa West Africa mdada yoyote class hagusiki kama hauchez football Ulaya.

Kwa mwendo huu ni bora umege na kusepa kama unataka kuoa mrembo kaza msuli sana kwa unachofanya.
 
Kila mmoja ana life style yake nawe buni yako...Me naamini wanaoongea hivi yote ni wivu kwani wao wangepata hizo chance wangekuwa hivyo hivyo...MANENO YA WAKOSAJI..

generation ya kina adaeze kwenye miss nigeria. marafiki zake wote wamezaa na kuolewa na footballers na Basketball NBA players wa ki nigeria sasa ni kutambiana tu kwenye mitandao maisha wanayoishi.. stephanie kaolewa na uche kalu footballer. winnie kaolewa na Nba player okandi.

kipindi cha off season wanarud zao lagos na familia zao na ku run the town kwa matumizi ya anasa mbayaa.

sasa mume nba au mpira analipwa million 300 kwa wiki kwa nini wadada wasijilipue kuolewa nao au kuzaa nao.

mambo ya sijui banker, auditor, doctor sijui proffessional za kawaida wadada wa mjini hawazitaki hizo as mishahara midogo hairuhusu anasa. wao wanataka vipato vya kufa mtu mtoto awe na uhakika wa kusoma world class university. vacations in the most beautifully places on earth. driving posh cars. designers clothes etc etc ndio wanachotaka.

na hapo bado wakaka wa kibongo wakikaza wakacheza soka majuu wadada wataacha wazee na kula nao sahan moja nao wale gudtime za dunian
 
Acha waendelee nao tu, sie tulioanza na nyie wa chumba kimoja tuko wapi? Sio ndio tumeishia kuambiwa mlituoa kimakosa sio wa class zenu, kisa sasa hivi mmezifuma?

Well said dada mi natamani nirudishe muda nyuma ata salamu tu ningeuza.Wanaume awana maana ukipata mwenye pesa chukua fursa sie wake wema tumezalia mhimbili kwa kubana matumizi mchepuko unazalia ulaya.nyoooo wadada kamata fursa we live once so long as anakupenda we olewa.kuna kuolewa na agemate ukawa mjane akingali hai . Au ukawa single but married watoto wakakosa matunzo.si bora babu awatunze vizuri ata watasimulia tulikua baba.
 
enh naona umemaliza kila kitu, sipat picha shem angesikia haya unayoongea.... btw shukuru ata umejifungulia muhimbili, wengine hiyo chance hawaipati
 
Aah bwana acha wazitumie
Nyie tukiwapenda na shida zenu mnasema ooh cjui umri
Acha tutafute wenye nazo
 
Well said dada mi natamani nirudishe muda nyuma ata salamu tu ningeuza.Wanaume awana maana ukipata mwenye pesa chukua fursa sie wake wema tumezalia mhimbili kwa kubana matumizi mchepuko unazalia ulaya.nyoooo wadada kamata fursa we live once so long as anakupenda we olewa.kuna kuolewa na agemate ukawa mjane akingali hai . Au ukawa single but married watoto wakakosa matunzo.si bora babu awatunze vizuri ata watasimulia tulikua baba.

Dah....kweli aisee.
 
Sijawahi kuona kitu kinachoshindikana duniani ngoja tuzisake kwanza,mimi kwa appearance yangu+mijihela+mindinga+mijewelry+kujishusha aaaaaaah wadada kama Kidoti watanitongoza wenyeweeeeeeeeeeeeeee by now mi mnyonge!
 
hilo nalo neno. angalia usipate uzeeni tu
 
Back
Top Bottom