Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,503
- 176,611
Jamani wanaume acheni kutusimanga na kutuona sijui tunadream maisha makubwaa, who doesnt? Mie nilifikiri ulipogundua hilo ungekuja na somo hapa ni kitu gani wanaume wafanye ili wapae nao kiuchumi, ila naona malalamiko tuuuu na kama kuna kawivu fulani hivi.
Tena ilitakiwa mshukuru as tunawapa chalange na hasira za kuzisaka zaidi, dream big guys, hakuna mwanamke asiyependa mwanaume mwenye pesa(hata ujidanganye vipi), tunakubaliana na hali halisi tu pale inapobidi.
Ni wajibu wa mwanaume kumhudumia mwanamke wake wether you like it or not, na kila mtu anapenda maisha mazuri na hizo vocations sijui za sydney and werever, huo ndio ukweli, hapo hapo mnataka mvuliwe hadi sox wakati mna kazi ya kulalamika tuuu, hebu hii msiione kama tatizo, muichukulie kama changamoto to push you up.