Ndoto za wadada Africa wa dot com, case study Adaeze Yobo

Ndoto za wadada Africa wa dot com, case study Adaeze Yobo

shaurimbaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Posts
1,915
Reaction score
2,339
Wadau niaje.

Leo tujadili kuhusu mawazo ya dada zetu wanaofaa kuwekwa ndan na vijana wenzao hapa tanzania as k lyn, nancy sumari, faraja kota na wengineo wengi wasio na majina makubwa as lara 1.

Mifano hai ipo mingi but ndoto za wanawake wa kisasa ipo hivi

Kwanza 18 years iwe imemkuta anamaliza secondary nzuri. Kizungu kimesimama, at hiyo age 18 imkute anagombea u miss, kwa kutumia adaeze as case study at 18 she wins miss Nigeria na kupata chance ya kushiriki miss world ( hii ni same as nancy sumari, faraja kota, k lyn na wengineo wengi).

At 20 u miss umeshaexpire akakutana na Joseph yobo ( everton superstar 10 years in premier league mishahara sijui million mia ngapi kwa wiki kwenye party huko lagos, alipotongozwa kidogo tu hakulaza damu na mimba akaibeba fasta within 3 months akaolewa na football superstar wa kinageria aliye hustle miaka kibao.

Nina imani angekuwa kapuku asingemkubali na mimba asingeibeba hata iweje ( same as dada zetu wengi tz wakikutana na ready made fasta ni kubeba mimba tu) hawataki ku hustle na wanaume kabisa kuanzia chini).

Baada ya kuolewa tu ajajifungua zake mtoto na kuanza maisha ya mashauzi kwenye facebook, twitter, instagram kulingishia wenzake, vacation za kila siku mara miami, mara kapeleka mtoto disneyland, mara wapi yaani ni kutumia tu hela ambazo mwanaume kazisaka wakati yeye hayupo( hii ni same as mange na wengineo wengi Tanzania).

Kwa maisha haya ndio maana wadada wa kibongo wanachagua chagua sana as wanataka mume wa kumpeleka vacation za kutosha, watoto wawe na better future na mengineyo.

Na hii inasababisha bongo wadada watembee na waume za watu as age mate zao bongo hawana hela au kuolewa na wazee as Mengi, Nyalandu, luca etc.

Nigeria na other african countries atleast wadada wana bahati as vijana wenzao wana hela as wanacheza soccer majuu NBA, Music etc.

Wadada wa dot com wanapenda sana kutambiana kwenye mitandao, kitchen parties, kwenye events etc. so maisha ya kutambiana wame zao walivyo, vipato, watoto wanasoma wapi, vacations, nguo na mikoba ya designers. Yapo kwenye damu yao kila mdada wa dot com Africa na ndio maana kila siku wanahangaika kusaka wanaume wa kueleweka au mambo safi huku wakilalamika waoaji hakuna.

Adaeze yeye ni vacations na vacations na yeye na mtoto wake, mumewe yupo busy na UEFA, yeye anawaza fashion and vacations, off season kazi ni kumbeba mumewe na mtoto vacations series inaanza upya.

Faraja Kota, Nancy na Klyn nae mapacha wakikukua kua utaona vacations zitavyochanganya na trip za disneyland, dada zetu wengi akili zao zimevurugwa nowdays na vacations kwenye ndoa zao na hapo vidume hali ngumu.

Kwa West Africa mdada yoyote class hagusiki kama hauchez football Ulaya.

Kwa mwendo huu ni bora umege na kusepa kama unataka kuoa mrembo kaza msuli sana kwa unachofanya.
 
Attachments

  • yobo family.jpg
    yobo family.jpg
    55 KB · Views: 1,186
  • 1129310_yobo20wife_png7a53ca7211a4e8dc2bf8b45d80816e38.png
    1129310_yobo20wife_png7a53ca7211a4e8dc2bf8b45d80816e38.png
    36.6 KB · Views: 1,206
  • Adaeze-Joseph-Yobo-January-2014-BellaNaija-08-597x600.jpg
    Adaeze-Joseph-Yobo-January-2014-BellaNaija-08-597x600.jpg
    62.9 KB · Views: 1,216
  • 380402_ada3_jpga2949ff1ce82254bf39650fc5c212d43.jpg
    380402_ada3_jpga2949ff1ce82254bf39650fc5c212d43.jpg
    79.9 KB · Views: 1,124
  • 926556_yobo_1_yeoal_jpge96df0c894b0b0cf3f381c13a1e05e94.jpg
    926556_yobo_1_yeoal_jpge96df0c894b0b0cf3f381c13a1e05e94.jpg
    51.4 KB · Views: 1,107
  • 1213729_image_jpg0d5b1c4c7f720f698946c7f6ab08f687.jpg
    1213729_image_jpg0d5b1c4c7f720f698946c7f6ab08f687.jpg
    13.2 KB · Views: 1,071
  • 1301866_yobo_jpgaf3d72d302bfe101f9ad9924bdcccdb5.jpg
    1301866_yobo_jpgaf3d72d302bfe101f9ad9924bdcccdb5.jpg
    31.8 KB · Views: 1,079
  • 926558_yobo_4_yeoal_jpg140ed89378d32118ea450f85781af833.jpg
    926558_yobo_4_yeoal_jpg140ed89378d32118ea450f85781af833.jpg
    50.4 KB · Views: 1,106
  • yobo.jpg
    yobo.jpg
    79.8 KB · Views: 1,019
Hivi ni binadamu gani asiyependa maisha mazuri, hata hao wavulana wa Dot Com nao wanatamani wapate mijimama ya kuilea na kuipa good time na ushahidi tunauona hapa hapa JF.

Huu mtazamo wako unakula kote kote aisee......
 
Umegonga ikulu...
Rita Dominic anachukuliwa na Mikel Obi wa Chelsea...na rumor has it kuwa wanataka kuoana... ( na Mike atakuwa mdogo maana Rita ni 39)
At least Nigeria vijana wenye pesa wapo...
Tz ni mwendo wa wazee na waume za watu...lol

Tuko kwenye era ya materialism...na wa kulaumiwa ni globalization...watu wanataka kuvaa kama Kim K, sijui Rihana, sijui nani... kwa kuwa wanamuona IG...haya chacha na mastaa wa Bongo nasikia nao wameanza show off za material things walonazo...mabinti wanazidi kudata...
A lot of dreams ambazo kuzitimiza unaweza jikuta unaolewa na babu yako ...

Ila hii ni cross cutting issue..Kuna kipindi uwa nasoma articles zinazo criticize marketing; afu najichunguza naona aibu...mtu unataka uwe na computer ya mac wakati hata toshiba could do...kisa status...
Untaka miwani yenye jina wakati yote ina save same purpose...capitalism imetuharibu mbaya...simu sijuhi unataka uwe na kila toleo la Iphone...ukijiuliza why ni status...maana difference inaweza isiwe kihivyo...capitalism is driving everyone of us crazy...
 
Hivi ni binadamu gani asiyependa maisha mazuri, hata hao wavulana wa Dot Com nao wanatamani wapate mijimama ya kuilea na kuipa good time na ushahidi tunauona hapa hapa JF.

Huu mtazamo wako unakula kote koe aisee......

Well said Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Umegonga ikulu...
Rita Dominic anachukuliwa na Mikel Obi wa Chelsea...na rumor has it kuwa wanataka kuoana... ( na Mike atakuwa mdogo maana Rita ni 39)
At least Nigeria vijana wenye pesa wapo...
Tz ni mwendo wa wazee na waume za watu...lol

Tuko kwenye era ya materialism...na wa kulaumiwa ni globalization...watu wanataka kuvaa kama KM K kwa kuwa wanamuona IG...
A lot of dreams ambazo kuzitimiza unaweza jikuta unaolewa na babu yako ...

Kuna kipindi uwa nasoma articles zinazo criticize marketing; afu najichunguza naona aibu...mtu unataka uwe na computer ya mac wakati hata toshiba could do...kisa status...
Untaka miwani yenye jina wakati yote ina save same purpose...capitalism imetuharibu mbaya...

wachezaji wa Africa wanashusha sana miaka
 
Kuna psychologist mmoja uwa na m follow...ananisaidia sana kujipima...
Kuna article moja nakumbuka alizungumzia kuishi ndotoni...
Alisema ni ugonjwa kupenda kuangalia maisha ya watu mtandaoni na kuvusha kama wewe ndio unayoyaishi...
And that is what happens na vijana wanao wa follow ma superstaa...hawajuhi ni kwa nini wanawa follow kumbe ni kwa kuwa wanafarijika na success za watu wengine...while walitakiwa waishi maisha yao...
Ni kama mvuta bangi...akishavuta anajiona yuko mbinguni...
wale mastaa wana show off mali zao...vijana wanafurahi utadhani za kwao...
Kuna watu wanaishi maisha kindoto ndoto

It was a good article nikiiona ntairusha...

Wanawake wa siku hizi wanaishi ndotoni.
 
Akiangalia kijana mwenzie at 30s ndo naanza kujenga, anakukimbia kumtafuta babu yake awe baba watoto wake!
 
Hivi ni binadamu gani asiyependa maisha mazuri, hata hao wavulana wa Dot Com nao wanatamani wapate mijimama ya kuilea na kuipa good time na ushahidi tunauona hapa hapa JF.

Huu mtazamo wako unakula kote kote aisee......

Bora umesema wewe baba ngina, tukiongea sie tunaambiwa 30+ tuna hasira!!!
 
Kuna psychologist mmoja uwa na m follow...ananisaidia sana kujipima...
Kuna article moja nakumbuka alizungumzia kuishi ndotoni...
Alisema ni ugonjwa kupenda kuangalia maisha ya watu mtandaoni na kuvusha kama wewe ndio unayoyaishi...
And that is what happens na vijana wanao wa follow ma superstaa...hawajuhi ni kwa nini wanawa follow kumbe ni kwa kuwa wanafarijika na success za watu wengine...while walitakiwa waishi maisha yao...
Ni kama mvuta bangi...akishavuta anajiona yuko mbinguni...
wale mastaa wana show off mali zao...vijana wanafurahi utadhani za kwao...
Kuna watu wanaishi maisha kindoto ndoto

It was a good article nikiiona ntairusha...
umeongea point sana ungekuwa karibu ningekupa lita ya ulanzi (sina hela ya kunywa bia mpaka saa tisa usiku). wadada wengi hasa waliofika chuo huhisi sky is the limit. wanahisi wanaweza kuwa na maisha ambayo wakiulizwa hobby yako nini? wanajibu shopping! OMG! since when shopping is a hobby?. wadada kuweni realistic bana waoaji wenyewe ndio sisi wanywa ulanzi kwa fwemfwe.
 
Back
Top Bottom