Ndoto za wadada Africa wa dot com, case study Adaeze Yobo

Ndoto za wadada Africa wa dot com, case study Adaeze Yobo

Nyooo. Na utaishia tu kuwafatilia kwenye mtandao. Eti uwamege usepe, wewe huyo? Dude you cant even rub elbows with them.

kila shetan ana mbuyu wake.. mwanamke ukimteka hisia.. unammega hata awe sister du vipi
 
umeongea point sana ungekuwa karibu ningekupa lita ya ulanzi (sina hela ya kunywa bia mpaka saa tisa usiku). wadada wengi hasa waliofika chuo huhisi sky is the limit. wanahisi wanaweza kuwa na maisha ambayo wakiulizwa hobby yako nini? wanajibu shopping! OMG! since when shopping is a hobby?. wadada kuweni realistic bana waoaji wenyewe ndio sisi wanywa ulanzi kwa fwemfwe.

Hii imenifanya nicheke sana.
 
"Pesa pesaaa,pesa ndio sabun ya rohoooo,
mwenye pesaaaaa,mwenye pesa sio Mwenzioooo"Marijan Rajabu(Hayati) Jabali la Muziki
 
Wanasema 'it ain't trickin' if you got it'. Ndio mchezo ushabadilishwa sasa, tufunge buti twende sawa wazee. Tutabaki kulalamika tu, wakati waduanzi wengine wanakula vitu roho inataka kwa sababu tu wamejituma zaidi.
 
Na hakuna kitu kibaya kama uoe mwanamke anayewaza kula bata maisha yake yote, hana la maana analoweza kuwaza kwa ajili ya familia yake na the future of the family.
 
Kila Mbuzi anakula kulingana na urefu wa kamba yake....Btw Wanaume inatupasa tutafute pesa sana ili kuweka heshima popote.
 
Back
Top Bottom