maintanance

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Vifaa vya umeme na electronic vya hospitali vinafanyiwa maintanance na repair wapi?

    Habari ndugu zangu kwa wale wanaofanya kazi kwenye vituo vya afya .je vifaa kama xray, ct scan ,ultrasound machine zinapoharibika huwa zinapelekwa wapi kufanyiwa matengenezo?
  2. Mwakinyo makini

    Ndoto yangu ni kuja kusomea Uinjinia wa ndege

    Habari wadau wa JF, Natumai mu wazima. Mimi ndoto yangu ni kuja kusomea uengineer wa ndege ila sina idea sana kuhusu hiyo kozi kwa hapa Tanzania. Nimejaribu kutafuta ma experts wa io kozi sijapata na pia mitandaoni wanaongelea juu juu. Jivyo nilikua naomba kama kuna mtu anaejua zaidi kuhusu...
  3. garrix74

    Natafuta kazi ya PC Maintanance and Networking

    Habari wapendwa I hope ni wazima wa afya, naitwa Kelvin Dickson natokea Dar es Saalam natafuta kazi ya PC maintanance and Networking ambapo nimefanikiwa kupata certificate veta kipawa naweza fanya kazi zifuatazo kama: Windows installation Computer Repair and Maintainance Network Installation...
  4. scatter

    Scheduled maintanance ya mitambo ipoje ?

    Wiki iliyopita kupitia kiongozi mmoja wa kiserikali ailiupatia ujumbeUmma kwamba kuna ukarabati wa mitambo mbali mbali katika shirika la TANESCO ukarabati huu upoje?
  5. C

    Napenda kuwa mtaalam wa kompyuta maintanance na kufanya windows installation

    Jamani wakubwa humu ndani, mimi mwenzenu napenda kuwa mtaalam wa "Computer maintenance " Sema sijapitia chuo labda kusoma elimu hii ya computer, lakini naijuia kuitumia kwa kiasi fulani (sio mjuzi sana) Sasa nawauliza nyie kama wataalamu wa haya mambo nifanyeje ili. Niweze ku-master ujuzi...
  6. CYTON TECH

    Tunatengeza Computer aina Zote

    Tunatengeneza Computer aina zote Motherboard Repair (Chip Level ). Wasiliana nasi sasa popote ulipo tutakufikia tutakuhudumia.Ushauri kwetu ni Bure... Pia tunahuduma ya On-call Support kwa msaada wa haraka na uhakika +255 746 494 637 Call+Whatsapp. Common Computers problems we can fix...
Back
Top Bottom