Ndoto hizi zimenichosha ........ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndoto hizi zimenichosha ........

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by condorezaraisi, Jul 30, 2012.

 1. condorezaraisi

  condorezaraisi JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana Chit Chat niko vey serious juu ya hili..
  wenye kufunga kwa maombi mnisaidie.Fungeni mniokoe na janga hili
  Ni muda sasa nimekuwa nikiota na do na braza mmoja ...
  Cha ajabu ingekuwa labda naota ndoto tofauti tofauti la hasha ..
  Kila nikiota namuota huyo huyo na do nae ......
  Mara ya mwisho niliomuona kwenye kikao cha harusi ya mtu akiwa kama mwanakamati
  ..sijamuona tena hadi hapa ninapotoa malalamiko yangu
  Lakini sasa haipiti week/or mbili namuota ..
  Hivi ndo popobawa hawa ???????:A S cry::A S cry::A S cry:
   
 2. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Pole sana! Inawezekana huyo ni jini mahaba anakutembelea usiku!
   
 3. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kabla sijakwambia cha kufanya!
  Hebu nambie, takriban kwa mwezi huu umeota anakumega mara ngapi ?
   
 4. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  we jg wewe, kwan kutaja mara ngapi ndo inadetermine matibabu au njia ya kumsaidia? hebu msaidie mwenzio bana!
   
 5. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Yaani what i mean sisi waelekezajirika hua tunayo selfcapacity ya kumsikiza mtu na kisha kumpa elekezo, nini cha kufanya.
  Mf. Akijibu atlist kwa one moon anadrimz kumegwa once game to five game najua hapo hatokua na tatizo. Bt akijibu kwa muda huohuo anadrimz kumegwa 10 games to 15 up to 20 games !
  Hapo ni tatizo.
   
 6. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  vip J siku izi umekuwa docta we proff...........yako sinanihii.......
  usije ukatulia mgojwa...
   
 7. Miss Bantu

  Miss Bantu Senior Member

  #7
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 149
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  pole bi shosti.. lakini kama unaenjoy hamna haja ya kkuombea
   
 8. Mchana

  Mchana Senior Member

  #8
  Jul 30, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 181
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kama utahitaji naweza kukutumia namba ya mchungaji anayeweza kukusaidia kwa njia ya maombi. Si lazima muonane macho kwa macho, anayo karama ya kukuombea hata kwa njia ya simu, na tatizo lako litakwisha.
   
 9. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  MB ni hivi huyu hana enjoyable as long as amesha'whistle kua amechoka ! Kimego ndiyo kimekua kimego! Anamegwaje! Japokua kua ni kwenye drimz
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  He he he he, enjoy yourself, ndoto hazina ukimwi.
   
 11. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  unamtamani subconsciously, baadhi ya ndoto ni vitu tunavyoviwaza/taka so inaweza kuwa sababu.

  anapiga round ngapi kwenye session? :lol:
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,051
  Trophy Points: 280
  Huyo ni mzee wa kazi pepo mchafu, anayependa kuwabinjua wanawake bila kuwahudumia
   
 13. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #13
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Pole sana ...pepo anatumia sura ya mtu unayemfahamu ?
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Itakuwa mbili za haja, ndo maana hamsahau.

   
 15. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #15
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Huyo Mkaka unamfeel Bana,,,,, uwongo uwongo???
   
 16. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #16
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pole sana dadaaa.... Ila jamaa ndo ameshaku popobawa safari zote hizo.
  Muombee kwa nguvu zote asirudi tena,atakuchakaza bureeee.
   
 17. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,351
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  POLE MWAYA HILO NI JINI MAHABA. AU HUYO MKAKA ULIMZIMIA SANA NINI? NENDA KAULIZIE PALE ULIPOMUONA KWENYE KIKAO CHA HARUSI THEN UJUE HIYO HARUSI ILIKUWA YA LINI/WAPI THEN UANZIE HAPO KUMSAKA (kama ulimpenda na huenda ni tatizo dogo tu la kisaikology)
   
 18. princess enny

  princess enny JF-Expert Member

  #18
  Jul 30, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 1,042
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  pole mdada!! unaweza kukataa but ukweli ni kwamba inawezekana unafeelings kali kwa huyo kaka!! lakini hata kama ni ivyo c nzur sana so nipo pamoja nawe ktk maombi!! but jaribu kujchunguza kama unafeel any aatractivness towards him!!
   
 19. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #19
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kweli yamekukuta!!!!
  Ukiamka unajikuta amekuchafuwaaaa ndotoniii........?
   
 20. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #20
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Sasa wewe unalalamika badala ya kufurahia ndoto hizo.. Afu inaonekana hujapata mwanaume kwa mda mrefu ndo maana
   
Loading...