Ndoto hizi zimenichosha ........

Ndoto hizi zimenichosha ........

Omba mwenyewe tu Mungu atakusikia. Kama huna maneno sema hivi;
MUNGU wangu kwa jina la Yesu Kristo naomba ufute kabisa ndoto zote ninazoota kwa kuwa sizipendi kabisa,
eeee MUNGU wangu nakuomba usikie maombi yangu. Amen.
 
ameeen,tutamsaidia kuomba pia!
 
pole bi shosti.. lakini kama unaenjoy hamna haja ya kkuombea

Naunga mkono hoja mia kwa mia..but jamani ndo amegwe kila siku hata kama anaenjoy?..
Mtafute jamaa anayekumega aisee..ukianzia hapo itasaidia..
 
Sasa wewe unalalamika badala ya kufurahia ndoto hizo.. Afu inaonekana hujapata mwanaume kwa mda mrefu ndo maana

Jamani sasa nifurahie kufanya haya makitu ndotoni na maromance juu ..si kawaida hata kidogo
 
Omba mwenyewe tu Mungu atakusikia. Kama huna maneno sema hivi;
MUNGU wangu kwa jina la Yesu Kristo naomba ufute kabisa ndoto zote ninazoota kwa kuwa sizipendi kabisa,
eeee MUNGU wangu nakuomba usikie maombi yangu. Amen.

Asante Mamndenyi
Nitafanyia kazi haya maombi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom