Ndoa zina matukio jamani

Umesema kweli, wengi wanaingia kwenye hio taasisi bila mwanzilishi ambaye ni Mungu. Maandalizi mengi ni ya kimwili tu, kiroho ni zero maana wengi hawajui kuwa ndoa ni spiritual na ni mpango kamili wa Mungu kwa kila mwanadamu. Mapambano mengi kwenye hizo taasisi ni kazi za giza lengo ni kujaribu kung'oa mipango mizuri Mungu aliyowapangia sasa watu bila kutafuta chanzo wanabwaga manyanga too early. Mungu ndiye mwenye majibu ya kila changamoto za wanadamu.
 
Ushauri wa Aina hii umewaponza Maburungutu ya Vijana
 
Exactly.
 
Kiukweli tu unachoshaa jamani ugali na dagaa januari to December😄😄Ndoa ni taasisi ya kinafiki sanaaa yaan basi tuu...halafu binadamu tumeumbwaa kuchoka na kukinai...vinachoshaaaa
Inakuwa inachosha kwa sababu ya kukosa ubunifu mkuu, kama kweli unataka kuifurahia ndoa kuna namna nyingi za kufanya. Pesa iwepo ili ndoa isiwe karaha, mazingira yabadilishwe ili kuleta ladha mpya nk.

Japo kweli kuna kila haja ya kula wali nyama, then pilau na kuna wakati makande ni matamu kwa hamu.🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…