Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,874
6,291
Habari wadau.

Video inatrend ya kaka mwenye gari aina ya IST namba T 290 CBR

Ambaye alisimamisha gari yake na kuanza kumkaba mkewe nusu kumuua huku akiongea maneno makali kwamba mkewe sio muaminifu

Tazameni video ya tukio

 
Habari wadau.

Video inatrend ya kaka mwenye gari aina ya IST namba T 290 CBR

Ambaye alisimamisha gari yake na...
Biashara ikiwa ngumu, binadamu anatafuta ufumbuzi, anaishinda

Kazini mazingira magumu kweli ya kazi, binadamu anatafuta ufumbuzi, anaishinda

Maisha hata yawe magumu vipi, binadamu anatafuta ufumbuzi, anaishinda

Lakini mtego wa kwenye ndoa, changamoto kidogo, binadamu anawaza kukimbia. ibaya kishazaa, anaandaa mtoto wa mtaani akawe changudoa au shoga.
 
Duh Mungu atupe busara wanandoa, naogopa sana watoto wangu kubaki yatima kisa wazazi wamebadilishana majengo ya Serikali kutokanq na ugomvi usio tija, mimi nina maamuzi magumu sana.

Bora kuachana ili watoto wangu wawe wanaamua kwenda kumsalimia mama yao au baba yao nasio kutoana roho.
 
Back
Top Bottom