Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,296
- 108,322
Wewe umejitoa kwenye kundi la cheaters?
Heheh mpwa zamani nilikuwa ni teja wa ucheater lakini sasa kwa kutumia uzoefu wa kuyajua madhara yake imebidi nikemee hako katabia 🙂
Wewe umejitoa kwenye kundi la cheaters?
ha haaaa, experience haidanganyi ujue mtani
Sijui kama ile timu ya mabazazi wa MMU imekuelewa...:A S 13:
CC: Mentor, Nicas Mtei, KakaKiiza, Vin Disel, Asprin na nani tena yule mwingine na hisi kumsahau
Hiyo itakuwa gegeda/gegedwa at your own risk.
Cheeaters mpooo??
Kwanini uchukue risk kwenye moyo wa mtu wajameni,
It's so painful.
Acheni sio tabia nzurii
ha haaa, shem pensheni muda huu? wewe bado saaaanaaaaaaa, labda umeamua kuchukua break tu
Hahahahaha nami nimeamua ulichoamuaHeheh mpwa zamani nilikuwa ni teja wa ucheater lakini sasa kwa kutumia uzoefu wa kuyajua madhara yake imebidi nikemee hako katabia 🙂
Hehehehe watu8 hao Team bazaz natamani hata wasione hapa maana hawakosagi sababu.
Risk sio kwa mgegedaji/mgegedwaji peke yao. . .wanawaweka na wenzao kwenye risk.
Nicas Mtei hehehe, kama umestaafu utulizane kweli kweli, ule pensheni. Usiwe kama wale wazee wanaojiita wastaafu wakati wameshikilia nyadhifa serikalini.
Wewe hujawahi?
Nilishawahi kuwa cheater, sasa nimestaafum nakula pensheni
Hehehehe watu8 hao Team bazaz natamani hata wasione hapa maana hawakosagi sababu.
Risk sio kwa mgegedaji/mgegedwaji peke yao. . .wanawaweka na wenzao kwenye risk.
Nicas Mtei hehehe, kama umestaafu utulizane kweli kweli, ule pensheni. Usiwe kama wale wazee wanaojiita wastaafu wakati wameshikilia nyadhifa serikalini.
Marytina .......
Arusha ndio home
Mama mchaga baba mngoni .......
Nimemis sana hiyo makitu,hebu tiririka na moja aiseee!!!!!!!
nijiite Lizzy
kuchiti hupunguza kiburi na kukufanya ujiskie mdogo kwa mpenzi wako.Hii huleta natural nidhamu