Ndoa zetu...

Ndoa zetu...

Mambo ya ndoa ni magumu sana...Salute kwa wale waliodumu miaka miiiingi miiiingi!
 
Ujumbe murua kabisa lkn wataelewaaaa . Gharama ya kucheat ni kubwa mno kuliko faida .

Watu huwa hawalijui hilo hasa wanaume maana anaweza akalusikiliza kwa makin maumivu alokupa na atasema sitorudia cku 2 nyingi saana kama wamelogwaaa na aliyewaloga kafa.
 
cheaters
Unaweza ukawa na mtu ukakuta unampenda kiasi akafika 80% ya mahitaji yako na 20% hatimizi maybe coz hatupo perfect 100% ku-cheat ndo kunapoanza unakuwa bize kuisaka hiyo 20% ambayo hana mwisho wa siku unakuwa umepoteza 80%..... tafakali chukua hatua
 
Kwa research yangu ndogo.
kati ya me na ke wanaokufa sana ni wanaume na chanzo ni lifestyle yao ikichangiwa na vitu kama cheating na nyumba ndogo
magonjwa kama bp.stroke na cancer hayana visababishi vya kibiologia kama virus na bacteria chanzo chake kikuu ni human behavior ,lifestyle na social relation so nnacho taka kusema tabia za kucheat na nyumba ndogo zina madhara mengi kwa mhusika ikiwepo msongo wa mawazo na stress ambavyo ni chanzo kikuu cha stroke,cancer,pressure na urcels so men WATCH OUT OR U WILL END UP WITH THOSE PROBLEMS
 
Mi nlishawahi kufanya kautafiti kangu binafsi, nikagundua kwamba ni kweli wanaume wengi wanatoka nje ya ndoa na kikubwa hasa kinacho wasukuma ni tamaa za miili yao tu ila wanawake nao wamo sana tu ila wanawake ni wasiri sana huwezi jua wanafanya kimya kimya na kwa umakini mkubwa sana no msgs no kufatanafatana ni kukutana na kumegana kila mtu anarudi kwao tena mapemaaa.

Naamini mpaka mwanamke ametoka basi ameshindwa kabisaaa ingawa wengine ni hulka yao coz mwanaume akipata pembeni anasahau kabisa majukum yake hata aliyenaye anamuona dada yake tu....
 
Back
Top Bottom