nimekumiss pia.
watu wanafiki ila ukweli bado mechi za njee zipo
ahaaaaaa. sasa nimefahamu kwa nini kisukuma chako kiko vile
Hivi ku-cheat ndo nini eti?? mwallu, Heaven on Earth nitafurahi sana nikijua hili neno!!Nilishawahi kuwa cheater, sasa nimestaafum nakula pensheni
Naomba kuja kula pensheni na wewe Mwenyekiti wa #TeamBazazi !!!!!!!!!! :hungry: :hungry:
kigezo cha watoto ndo huwa kinaniumiza sana ila kama amuna watoto tembeza tu bara barani kama pipipi
.....weeee, temea pembeni... Ukianza huachi!!!
we ushatembeza kote?
Hivi ku-cheat ndo nini eti?? mwallu, Heaven on Earth nitafurahi sana nikijua hili neno!!