BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
Mechi za nje hazina maana
Zinaishia kuleta maumivu na kutoaminika
Zinaishia kuleta maumivu na kutoaminika
Hivi ku-cheat ndo nini eti?? mwallu, Heaven on Earth nitafurahi sana nikijua hili neno!!
Karibu sana charminglady tufurahi katika ulimwengu huu wa raha
Mwanangu hapa inahitajika tafsida!hahaa dady ushajua maana ya hilo neno au bado tafsiri inahitajika
Asante yawezekana nimekengeuka??basi nitapenda kufahamishwa juu ya neno hilo.tafsida ni neno linalotumika kupunguza ukali wa neno jingine
mfano:badala ya neno ''kufa'' unatumia kuaga dunia
Somo zuri hili.
Natamani sote tulielewe na kufanya hiyo analysis kabla ya kuamua ku cheat!!!!
Katika ndoa zetu siku hizi ni kweli wanaume ndio wanaoongoza kwa kutoka nje ya ndoa zao????na ni kweli kwamba wanaume ndio wanaoumia zaidi pale wanaposikia mke wake anacheat katika ndoa?naombeni maoni yenu wadau
hebu tufanye experiment ndogo tu, mme atoke akacheat na mke pia atoke akacheat cku hyo hyo, halafu baada ya tendo kwa kila wasisafishe sehemu za siri then warud nyumban kila m2 aonyeshe mwenzake sehemu za siri! je nani ataumia? hapo ndo huwaga mm naumia kwamba yawezekana unaingia chumvini kumbe unasafisha manii ya mme mwenzako kwa ulimi wako....hasiraaaaaa