Ndoa Yangu

Ndoa Yangu

hahahahaha ni bora hii ni hadithi sidhan kama kiuhalisia wanaume wako hivi, yan mtu ushajua kua mkeo anachepuka na bado humuachi kwa talaka loh one is from mars

Mapenzi mama, mapenzi ni kitu kingine... Wapo wanaume wa hivi hapa hapa chini ya jua.. Mtu anampenda mwenye chongo ila anaona kama kengeza...
 
ningependa kama kuna wenye ndoa zao humu watupe stori zao tupate kujifunza
 
Poleni na arosto jamani tuvumilie tu mwenyewe nina kimuhemuhe kujua nn kitajiri sjui mama ake one kafa yarabbi sijui ndoa ya rose na one itakuaje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom