Mgonga Like
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 1,255
- 1,661
Hahahaha ndio kitu pekee ulichoonaMwaka mzima huu umemgegeda 15 times tu???!!!
Hahahaha ndio kitu pekee ulichoonaMwaka mzima huu umemgegeda 15 times tu???!!!
Mkuu pole sana. I know kwako sio rahisi kukubaliana na ukweli. Nadhan unaamin kuwa huyo mwanamke hawez kuku cheat na ndo maana ulivogundua ulikaribia kumuua, sasa hii ya sasa inataka kukutoa roho kabisa. Hutaki kuamin kuwa mkeo hakutaki tena na hawez kuishi na ww tena.Mkuu ninalia kwasababu i am emotional on my own way
Ila nina imani sana kwasababu nina hofu na Mungu
Kipigo nilichompa siku moja sikuile alijua huyu mtu ni muuaji kabisa
Sijawahi piga mwanamke maishani mwangu ila nilikamata redhand chats na mtu ambaye nilishawahi kataza nk
Inshort alilazwa namimi nikasota segerea wiki...mana ali mess up my trust big tyme na hata nilivyotoka naye alivyotoka aliomba msamaha kwakua yeye alizingua na mimi nili admit kwamba ilikua kama i was possessed mana nakumbuka namsaga tu mabanzi na kumtupia kabati chini..
Pale ndo nilipoamin watu wanaua kwa kutokusudia
Ever since acha nionekane fala acha niwe mpole ila i will never hit a woman ever mana segerea nimekaa wiki na imagine milele endapo angekufa wanangu nk
Inshort nimeokolewa kiroho sana mana napitia mambo naona kama mafunzo maishan
Huyu akisema asepe safar hii namuomba aniachie watoto mbele ya ndugu zangu
najua hawez kataa offer hi mana kama anajua hawez kuseto anaogopa kukaa namimi
Huyo mwanamke hakuhitaji dhahiri kwa sasa ila naamini kulingana na umri wake kadanganyika sehemu mpaka anakuona sio kitu sio lolote ila ukimuacha tu akili itamrudi ila itakuwa too late atajutamkuu to be honesy kila nikifikiria hii road naumiaga sana na niombe niwe imara kwa hili
Kuna siku nilikuta vyakujipimia ngoma anavyo..niliishiwa pozi kumuuliza nilisubir tupo outing tukiwa tume refresh nikamuuliza angependa tukapime sote maana nilikuta kachukua hatua mwenyew maana sijajua kama either mimi nilisababishia ahofie au yeye tu mwenyewe aliniuliza umeaza lin kupekua vitu vyangu..nikachoka
Kama ulichoandika ni kweli basi ninayo sababu ya kukuona ni kijana mstahamilivu na mwenye hekima. Nina uhakika hili litapita salama na maisha yenu yatasonga mbeleDah wadau ngoja nipumzike
Mana natype nalia natype nalia
Yan kama mtoto vile
Ndoa ndoa ndoa......
Tangu Jiwe aingie madarakani watu wanalalamika maisha magumu.
Kawaida kwenye changamoto nyingi ukiweza kuzitatua au kuwa na suluhisho unaweka bei ya kutatua na unapiga hela.
Kuna changamoto nyingi sana kwenye ndoa na sio kila mtu anataka au yuko tayari kuvunja ndoa yake kwa namna moja au nyingine......
Akili yangu inanituma kufanya kitu..... ambao hawajaoa na kuolewa wanatamani ndoa ila kiuhalisia hawatamani ndoa wanatamani harusi ndo maana ndoa inakufa baada ya miaka michache tuu tangu wale kiapo.
Akili yangu imenipotea suluhisho la ndoa, ila kwa kuanza nataka nianze na wanaotamani harusi tuba inaanza kabla hawajafanya kiapo au kufunga ndoa.
Ntaisajili rasmi hiyo huduma na itajulikana kama Kasie Matata Co.
Coming Soon, stay tuned wateja wangu.
Mtoa mada pole umepata nyingi, mie nakufariji tuu...... wapende wanao kama hujawahi kupenda. Nguvu na akili yako ihamie kwa watoto. Tuamia muda wako mwingi kuwa na wanao, wapelekwe shule Fanta nao homework nenda nao mahali pa michezo cheza nao waogeshe walishe kabla ya kulala sema nao asubuhi uwahi kuwaamsha. .... be a unique father..... hutojutia in five years to come. Angalia, usijaribu kuyapet nafasi mawazo ya yawezekana hao watoto si wako. .... hata ikiwa sio kiuhalisia wekeza kwa wanao ndo ulichobakiwa nao.
Kuhusu mkeo sina la kusema.
K' Matata.
Naomba nilifanyie kazi hili
Huku nikianza na sala ya toba
Aise,hapo unamloga. Ila,sikatai ni mawazo tu. Unajua,binadamu ni mpana sana. Tena sana. Na ujue,mtu anapoamua kuweka mambo yake hapa,mazito kiasi hicho,lazima kuna jambo.Mmm mkuu pole sana ila nakushauri kwa manufaa yako ww na watoto wako itisha kikao na cha wazazi pande mbili na kama umeamua kwa moyo wote kumuachamuache huyo mkeo kachanganywa na mambo ya kishua kishua ,pia angalia magonjwa mkuu nakihisi mwaaache aende mungu atakupa mke mwengine
Mmm mkuu pole sana ila nakushauri kwa manufaa yako ww na watoto wako itisha kikao na cha wazazi pande mbili na kama umeamua kwa moyo wote kumuachamuache huyo mkeo kachanganywa na mambo ya kishua kishua ,pia angalia magonjwa mkuu nakihisi mwaaache aende mungu atakupa mke mwengine
All these are very alarming statements. Sio za kupuuzia hata kidogo.Yaani wanawake wote hawa nchi hii bado unalazimisha penzi kiasi hicho? Yaani umemkuta mkeo ana vifaa vya kupimia ukimwi bado unalazimimsha eti kisa watoto? Yaani mkeo analetwa na gari eti alikua outing bado unalazimsha kuishi nae..... Yaani mkeo anakwambia umuache bado unalazimisha......Daahh subiri magonjwa sasa maana hakuna namna ..