Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 21,855
- 27,023
Unajibu leo umesoma tarehe hii habari ni ya lini?Ushauri wangu ni hivi, kwakuwa analilia talaka wewe nenda mahakamani kafungue ombi la utengano. Sio talaka. Likikubaliwa wewe potea rudi Dar kaendelee na maisha mengine.
Nadhani kosa ulilolifanya ni kuhamia Morogoro ili kumtimizia anachokitska. Haikupaswa wewe kuhamia huko tena kwa kazi yenye mshahara mdogo kuliko uliyokuwa unaifanya awali.
Sio muda wa kulaumiana, ila kama ukiishindwa option A, basi fanya hii option B. Ondoka rudi Dar na umwambie wazi. Pia uwaambie na hao wenye mahusiano naye kuwa wawe makini na mke wako (hawataendelea naye). Atafanya uhuni kwa miaka miwili tu ila hataweza kutoboa watatu
Umekurupuka!