Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,989
- 5,066
Mwanaume kukaa unalia kisa mwanamke anakusumbua ni ujinga kwa kiwango kilichopitiliza.
Ningekuwa nilishaoa mke mwingine siku nyingi Sana.
Wanawake wako wengi Sana na wengine hawataki hata hivyo vinaitwa vyeti vya ndoa.
Ndio maana wazee wetu walikuwa wanaoa mke zaidi ya mmoja. Inapunguza uzinguzi Kama huu.
Ndugu yangu mkeo keshapata wa kumkuna Tena Ni mume wa mtu.
Muache uone Kama naye ataendelea.
Huwa inatokea hivyo kwa Sababu anakuwepo wa kumtunza. Asipokuwepo tu na sie huwa tunakula Kona maana majukumu yote unaachiwa wewe