Ndoa yangu ipo ICU !dah

Ndoa yangu ipo ICU !dah

mkuu to be honesy kila nikifikiria hii road naumiaga sana na niombe niwe imara kwa hili
Kuna siku nilikuta vyakujipimia ngoma anavyo..niliishiwa pozi kumuuliza nilisubir tupo outing tukiwa tume refresh nikamuuliza angependa tukapime sote maana nilikuta kachukua hatua mwenyew maana sijajua kama either mimi nilisababishia ahofie au yeye tu mwenyewe aliniuliza umeaza lin kupekua vitu vyangu..nikachoka
Anapigwa na watu ambao baadae anakuja kuambiwa kua wana ngoma.
 
Dah wadau ngoja nipumzike
Mana natype nalia natype nalia
Yan kama mtoto vile
Jf bwana unaweza kuta wewe huna mke Wala hujawahi oa.Umetoka kujisomea umechoka.Ukatengeneza uzi watu wajishughulishe.Kama kweli hongera kwa uvumilivu.
 
Pole sana kiongozi
Wengi tunapitia/tumepitia uko lakini kosa kubwa tunalofanyaga ni kuchelewa kigundua mabadiliko ya mwanzo ya tabia za wake zetu.

Na tunapokuja kugundua tunashindwa kuchukua hatua mapema
Mm sidhan kama kuna mama anaeweza kukaa mbali na wanawe.

Ndio mana mm sion sababu ya kusubiri ad neno "tuachane"lianzie kwa mwanamke,ukiwai kumwambia tuachane ata kama alikua na mpango huo lazima roho imuume na ndio mana roho inakuuma sababu umewaiwa.

Nakushauri beba wanao achana nae japo najua ipo siku atarudi analia.

Mungu akutie nguvu.
 
Pole sana mkuu lakini Mungu ni mwema atatenda ebu itisha kikao cha wazazi wote mjaribu kuongea ...Upendo uvumilia
 
Neno
20181019_233148.jpg
 
Jf bwana unaweza kuta wewe huna mke Wala hujawahi oa.Umetoka kujisomea umechoka.Ukatengeneza uzi watu wajishughulishe.Kama kweli hongera kwa uvumilivu.
Kwakua nimeanza ku adopt kukubaliana na hali halis baada ya kutiwa moyo na wadau
Naomba usinisababishie ban
 
BROTHER POLE SAAANA! NA MUNGU AKUTANGULIE....

NACHOWEZA SEMA JUU YA HILO NI KWAMBA..... UNATAKIWA KUTAMBUA VIZURI NAFASI YAKO NA WAJIBU WAKO KAMA MWANAUME KADRI YA MAAGIZO YA MUNGU....... NAFIKIRI UMEJISHUSHA SANAA KTK HILO.... MWANAMKE WAKO WA NDOA ANAINGIA KTK UASHERATI/UZINZI NA BADO UNAMVUMILIA, ISITOSHE AMESHAKUONESHA KILA ISHARA KUWA HANA HAJA NA WW ILA UNAKOMAA NAE..... WANAWAKE WANA UWEZO MKUBWA WA KUMCONTROL MWANAUME KIMWEMKO AMBAYO NDIO SECTOR KUU YA MAISHA.......NDIO MANA PIA WANAUME TUNAKUFA HARAKA.....

MWANAUME NI KICHWA KWA MAANA YA KIONGOZI, SS UKISHAONA HAYUPO TAYARI TENA KUONGOZWA PAMOJA NA JITIHADA ZA MSINGI BASI UJUE KABISA HUYO SI TAIFA LAKO TENAAA...

USHAURI WANGU:

1)
KAMA UNA IMAN THABITI KABISA KWA MUNGU MUUMBA KILA KITU, STICK IN PRAYERS KWA IMAN KABSAAA NA WALA USIJIHUSISHE NA NJIA ZAKE KABSA..... MPE UHURU ILA ULALE NAE KAMA DADA YAKO AU HAMA CHUMBA....... THEN MAJIBU UTAYAPATA SOON.

2)
ACHANA NAE CHUKUA WANAO LEA BAADA YA KUJADILI JAMBO HLO NA WAZAZ NA WADAU WENGINE WA NDOA YENU ILI UISHI KWA AMAN FROM THERE..........

NOTE:
UVUMILIVU BAADA YA JITIHADA UNA KIKOMO CHAKE...... UKIZIDI UTAKUFA MAPEMA SANA BROTHER.

MAISHA YAKO NA WAJIBU WAKO HAPA DUNIAN KADIRI YA UUMBAJI WA MUNGU NI MUHIMU SANA ZAID YA MTU AU KITU....................................... . SO BROTHER I WISH U ALL THE BEST.
Mkuu
Nashukuru sana
Kwa sasa natype hii la kwanza ndo linalo endelea nimehamia seblen room nimemwachia...
Mana nilikua room awali akaanza kulia sana mana sijamsemesha kitu tangu jana ..akawa anajisemesha hajatembea na hao watu anawa entertain koz wanatokaga vompany nisipokuwepo na alizoea sijui mie nikatoka room nimekuja seblen..akanitumia watsapp njoo ulale room ntalala yeye ataenda kwa dada
Nikajawaza ile hasira ya kutaka kumzibua mana namjua akianzaga kujishusha ni guilty inamtafuna na kuna jambo ananificha
Moro huku mimi bado mgeni sina dhamana sana polisi ingekua dar naita defender nakumwambia aseme ukwel lasivyo nikalazwe central kwa kumkamua
So nimemblock chap natafuta usingiz zangu isitoshe alivyorud jion tulipishana mda kidog mie nikaaga ndp nimerud mida si mirefu
Hapo kwenye namba mbili
Nasubir xmas hii tutakuwa dar ndo tutakaa na familia na hapo ndo tutakapohitimisha kila kitu
aniachie wanangu sitaki hata amlee mmoja
Yan saiz naomba tu Mungu anijalie mke bora mbelen
 
Bro ita wazazi mje muongele swala ilo ila ukiwa na ushahidi juu ya matatizo yake, ukiona imeshindikana kubadilika piga chini endelea na maisha yako, always i believe " things happen for a reason" inawezekana ikawa ni heri kwako, let her go. Muda mwingine wanawake huwa wanadanganyika sana kwa sababu ndogondogo hadi unashindwa kuelewa kuwa huyu mtu anautashi wa kufikiria kweli
 
1) Mtafute anayekumegea umueleze ukweli kama ataridhia muachie aendeleze gurudumu.
2)kaa kiume usilie lie utapigwa makofi one day .
3) Ita wazazi plus viongozi wa dini msuluishe ikishindikana bwaga manyanga we sio wa kwanza kuachwa
Mkuu ninalia kwasababu i am emotional on my own way
Ila nina imani sana kwasababu nina hofu na Mungu
Kipigo nilichompa siku moja sikuile alijua huyu mtu ni muuaji kabisa
Sijawahi piga mwanamke maishani mwangu ila nilikamata redhand chats na mtu ambaye nilishawahi kataza nk
Inshort alilazwa namimi nikasota segerea wiki...mana ali mess up my trust big tyme na hata nilivyotoka naye alivyotoka aliomba msamaha kwakua yeye alizingua na mimi nili admit kwamba ilikua kama i was possessed mana nakumbuka namsaga tu mabanzi na kumtupia kabati chini..
Pale ndo nilipoamin watu wanaua kwa kutokusudia
Ever since acha nionekane fala acha niwe mpole ila i will never hit a woman ever mana segerea nimekaa wiki na imagine milele endapo angekufa wanangu nk
Inshort nimeokolewa kiroho sana mana napitia mambo naona kama mafunzo maishan
Huyu akisema asepe safar hii namuomba aniachie watoto mbele ya ndugu zangu
najua hawez kataa offer hi mana kama anajua hawez kuseto anaogopa kukaa namimi
 
Miaka ya nyuma nilikutana na upuuzi kama huu. Mwanamke ni malaya harafu anamdomo balaa. Mimi sio mnywaji wa pombe lakini siku hiyo, nilikunywa pombe nilivyorudi nyumbani nikachukua begi langu la nguo na hati ya nyumba, nikaondoka zangu.
kilichofuata nakijua
 
Mmm mkuu pole sana ila nakushauri kwa manufaa yako ww na watoto wako itisha kikao na cha wazazi pande mbili na kama umeamua kwa moyo wote kumuachamuache huyo mkeo kachanganywa na mambo ya kishua kishua ,pia angalia magonjwa mkuu nakihisi mwaaache aende mungu atakupa mke mwengine

umemshauri vizuri sana!

siku maumivu yakipungua atafurahia maamuzi haya na ataishi kwa furaha maishani.

naamini Mungu atamtia nguvu na kumuepusha na haya matatizo!

ila wanawake😭😭walituzaa tu lakini ni kiumbe cha ajabu sana duniani!
 
Kosa alilofanya Adamu bustanini Eden ni kumuacha Eva peke yake ....hakujua kama shetani angekutana nae wakapiga story. Naona linajirudia hata kwako mkuu....kama ulishawai chepuka tubu na uanze kuiombea ndoa yako kila siku nna Imani Mungu atakusaidia na kukunusuru. Nawakilisha Concoo
 
Kama we ni mkiristo kunaa maneno matakatifu yanatukumbusha , MTU asimuache Mke wake ila kwa habari ya uzinzi/uasherati na uchawi, unaweza kumuacha. Binafsi naweza kuvumilia maidhaifu yoyote ya Mke wangu ila suala LA kuzini nje ya ndoa SIWEZI KUMVUMILIA. Pole sana ndugu yangu.
 
mkuu to be honesy kila nikifikiria hii road naumiaga sana na niombe niwe imara kwa hili
Kuna siku nilikuta vyakujipimia ngoma anavyo..niliishiwa pozi kumuuliza nilisubir tupo outing tukiwa tume refresh nikamuuliza angependa tukapime sote maana nilikuta kachukua hatua mwenyew maana sijajua kama either mimi nilisababishia ahofie au yeye tu mwenyewe aliniuliza umeaza lin kupekua vitu vyangu..nikachoka
daah kumbe ndoa ilishaga kufa siku nyingi hivi!

Hawa watu wanapenda sana privacy za namna hii!

Mungu atuongoze ambao hatujaoa sio siri kama kusalitiwa na demu tu mtu anakonda sijui nyie mliocheza kwaito na michango mkawatoza watu!
 
Kama we ni mkiristo kunaa maneno matakatifu yanatukumbusha , MTU asimuache Mke wake ila kwa habari ya uzinzi/uasherati na uchawi, unaweza kumuacha. Binafsi naweza kuvumilia maidhaifu yoyote ya Mke wangu ila suala LA kuzini nje ya ndoa SIWEZI KUMVUMILIA. Pole sana ndugu yangu.

natamani upitishwe utaratibu wa kuachana utakaotangazwa siku wanandoa wanapofungishwa ndoa!

mkitaka kuachana mnawaalika watu mliowaalika ya harusi na makitchen paty na masendofu wanafika baadae mchungaji anawasomea wageni na ndugu sababu za kuachana then mnatawanyika kwa amani kabisa!
 
Dah wadau ngoja nipumzike
Mana natype nalia natype nalia
Yan kama mtoto vile
Dah...kikawaida mwanaume mbongo huishi miaka 55 akiwa active....miaka 23 ya mwanzo huwa ni ya kutafuta ujuzi...miaka 7 huwa ya kuchezacheza tu...10 huwa ya kujijenga kiuchumi na kijamii...15 nyingine ya kujiandaa ukichoka....Sasa sijui mwanaume wewe una miaka mingapi?
 
Back
Top Bottom