Pengine ukute na watoto sio wakeunaona huwezi ku move on,
sababu memories za mkeo kuchepuka ziko still vivid,
trust me bro
wengi wamepitia hayo na wamepita salama
uchungu is understandable but time is the best healer....
Naona different emotions kwako,sad,angry, guilty
hio ni normal
ni mechanism ya ku deal na tatizo kama lako
Watoto wangebaki na mama yao,ila kama yuko irresponsible fanya jitihada uwachukue,sio upoteze mke na watoto..,
pole sana..
Kwahiyo mkuu utamvumilia mpaka lini sasa? Ameshakwambia anataka muachane huwezi kumforce aendelee Na wewe.Mkuu a marriage is a shield against all odds...
Afu isitoshe huyu ni mkewangu sio mwanamke tu
Kweli mkuu mateso Kama hayo kwenye ndoa ndio yanaua wanaumeMkuu Wewe ni mwanaume shupavu sana..Hongera sana mke wako angejua amepata lulu asingeichezea.
Kiukweli ningekua Mimi ningeshaachana nae long time Ago!! Sitaki shida mimi kisa mwanamke ndo maana wanaume wengi wanafariki kabla ya wakati kwa mambo kama haya.
Mimi kukushauri Naomba Uachane nae ili awe huru Mara nyingi watu kama hawa Dunia ndo huwa inawafunza. mpe uhuru anaoutaka wewe sepa kafanye yako Akija siku maisha yamempiga Mfungie vioo kabisa usije ukamwonea huruma.
Oh NO!!Dah wadau ngoja nipumzike
Mana natype nalia natype nalia
Yan kama mtoto vile
Dah kiukweli mie nina wasifu kama wa mtoa mada, nina moyo wa kusamehe sana na mzito kuvunja mahusiano ila too bad sie ndio aina ya vidume tunaosumbuliwa sana na wanawake! Unakuwa very gentle ila unapata mtu asiejua ana nini ukimuacha anakuja kulia lia very lately!Mkuu Wewe ni mwanaume shupavu sana..Hongera sana mke wako angejua amepata lulu asingeichezea.