Ndoa yangu ipo ICU !dah

Mkuu umeandka nini hiki, au umetoka Kulala??
 
Mkuu umeandka nini hiki, au umetoka Kulala??
 
Na speed hii ya maisha unamshauri jamaa akapoteze miaka 3 anasubiri mtu?!! Aacha utani mkuu.
 
Yaani nikisikia hizi habari mawazo ya kuoa yanazidi kutokomea kusikojulikana
 
Pole sana Mkuu! Victims tupo wengi. Achana nae kabisa, chukua mwanamke mwingine ili utulize moyo kidogo. Ukilazimisha uhusiano mwishoni utakufa au kufanya jambo la kukugharimu maisha. Ukiumizwa na huyu chukua mwingine ndo maisha.
 
Mimi sijaoa lakini ninaweza kusema kwamba kama upande wa mapenzi kati yenu umeshindikana, basi mkae mkubaliane namna ya kulea hao watoto na kama makubaliano hayatawezekana basi jikaze tu mlee hao watoto kwa pamoja.
 
Leo nimeamini kwamba kuoa & kuzaa na 'wrong person' ni mtihani sana
 
Wewe una stress halafu hujui! Wewe mwenyewe unalialia hapa kwamba ushafanya kila unachoweza ila umegonga mwamba halafu ghafla unataka kudai move yeyote utakayochukua utashinda? Ingekuwa hivyo si ungeshashinda na hizo moves zako? Wewe kubali hii ngoma nzito, maji yamezidi kimo. Na huyo mwanamke anakupanda kichwani kwa sababu ya hizi unazoita strategies na moves. Utakuja kuuawa kwa sababu unaleta mikakati mireeefu kwenye jambo ambalo hadi sasa hivi linaonekana liko wazi kwa karibia kila mtu humu!

Kama ni msomaji wa JF angalia hata wanawake huwa wanapenda kuteteana lakini hapa kwako karibia wote wanakwambia unapotea.

Inawezekana kweli wewe ushakuwa teja Kama alivyosema NANDERA na hata zifike kurasa 100 huwezi kuelewa kama alivyosema snowhite.

Inaonekana umekuja hapa ili upewe maneno ya faraja uendelee na mkeo. Well, endelea na mkeo mkuu kwani nini bana.
 
Huu ndio uanaume mkuu ila jamaa anazingua sana sijui bado ana moyo wa kivulanaa[emoji21]
 
Kamata chick mtaani amalize kiu yako usihangaike na mwanamke asiyejali feelings zako
 

Ila pole sana mkuu
 
Muache,ukimng'ang'ania atakuja kusababisha uuawe hata na wanaume ambao yeye atawaambia unambana.Kua makini ndugu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…