NANDERA
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 2,023
- 2,492
mkuu kuanzia uhusiano wetu yeye ndo alikomaa tuwe serious(kipind hiko alikua anatoka kwenye uhusiano na mimi nilikua nipo nipo tu)nilikua namkwepesha nakuwa nae karibu sana kwasabab nilielewa maybe ni maumivu aliyotokea nayo..basi kiutani utani kweli niliamua kudate nae maana nilikua nampenda pia -nilimpenda awali nikajenga ukaribu nae nilivyogundua anapitia a break up nikapunguza mazoea apite salama ila yeye akazidisha eventually tukadate
Kwenye mahusiano alikua sio mtu wa vizinga
Yani huyu mwanamke hela sio kipaumbele ila ana ujana nahisi hajafanya bado ndo anapigania sana afanye kwa
tehe... mbona unamtetea sana? Usije ukawa teja lake. Yeye ndiye anayejua kwa nini anafanya vituko. Hayo mambo ya kuwa anafanya ujana kwani yeye ndo wa kwanza kuolewa "mdogo"? Au wewe ni mkubwa sana kwake mpaka unakuwa na hisia hizo? Hakuna kinachohalalisha ubazazi katika ndoa ila kama unadhani anasumbuliwa na ujana basi mwachie nafasi; akimaliza na akili ikishamkaa sawa umpokee mwendelee. Ni uamuzi sahihi kama "assumption" yako ni sahihi.
