Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,584
- 17,526
Usiwe kigang'anizi. Wanawake (mkeo) mapenzi yao ni all about feelings. Zikikata hata umfanyeje hawezi kuinjoi.Mkuu a marriage is a shield against all odds...
Afu isitoshe huyu ni mkewangu sio mwanamke tu
We achana naye mwache aishi maisha yake. Kwanini uwe kikwazo kwa maisha ya mwenzio eti kisa ndoa?;?!
Kakukimbia Dar, ukamfata Moro, why this?
Watoto wappo na utawakuta.
Ukiendelea kugang'ania utayiliwa sumu ufe umpishee.
Kusema kweli, we ni bonge la boya. Mkeo analetwa na gari 15mins unawachungulia tu?;?! Tena usiku? Wamelewa? Na wewe mkeo alijua haupo?
Kwani vioo vya gari bei gani?!?!!
Zuzu saaana.
Mkeo eti anakwambia usiwe unachunguza vitu vyake nawe unasema samahani, kenge kweli. Vittu vyake vyenu??
Yaani nna hasira utadhani me ndo babako.
Kulialia ni ujingaa.
BAADA YA KUSOMA POST HII. MPIGIE/MWAMBIE HUYO MWANAMKE KUANZIA LEO SIO MKEO, NI MZAZI MWENZIO.
NAJUA UNAOGOPA KISA ULIMZOEA, ULIVOZOEA KUWA NAYE, NDIVYO UTAKAVYOZOEA UPWEKE.
NB: BAADA YA KUACHANA NAE, USIKURUPUKE KUJIINGIZA KWENYE MAHUSIANO MAPYA WALA KUNYWA POMBE, KOMAAA NA MAUMIVU MPAKA UHISI KUFA, HUO NDO UANAUME