Ndoa yangu iko njia panda, nifanyeje?

Ndoa yangu iko njia panda, nifanyeje?

Pole sana,ugonjwa wa mapenzi unauma sana coz hauna dawa,zamani walikuwa wanalalamika sana wanawake lkn nowdaiz wanaume inawatokea,mm nimekuelewa sana lkn c kila mwanamke ni limbukeni kama huyo mkeo(sorry to say zis)imeniuma sana 21yrs watoto unao unahangaika kutafuta nn?mmejaribu kuongea na watu mbalimbali,na ndugu pia hataki kubadilika walisema u cnt force a donkey to drink water,amekumbwa na pepo wa ngono huyo,muite mwambie hujamfukuza na kama uamuzi wake bado ni huo sana,akijiskia kurudi kwa masharti ya kupima sana anakaribishwa,ukisoma bible kuna jamaa alimuoa changu na kuzaa nae watoto,changu akatoka na kuondeleza uzinzi jamaa akamsusa,Mungu akamwambia yule ni mkeo ww pekee ndo unaweza kumbadilisha nenda kule aliko beba na hela kuna jamaa kalala nae kamlipe hela mchukue mkeo!kibinadam wa sasa ni ngumu sana,pole mnoooo
Yatima,
Srce ijamkosea kihivyo, kusema kukaa pamoja uwezekano wa kutofautiana upo ni kweli can you imagine 21 yrs ya ndoa lazima mtofautiane nyakati fulani ila inategemeana mnatofautiana kwa jambo linye ukubwa gani.

Omba yasikufike, utalilia siku iendelee bila giza kuingia ili ukae nje ya nyumba bila kurudi home
 
dah kaka hilo suala ni zito sana ila ninachokushauri kwanza achana na suala la nyumba ndogo pili baadha ya wanawake wakishaanza kugusa vijipesa kidogo roho zinaanza kuwabadilika hawafikirii pale mlipotoka hilo jambo mimi naishi nalo ila la kwako liko gumu zaidi endelea kuvuta subra punguza hasira kumbuka muda ambao ushaupoteza kumbuka muda ambao umekaa ktk ndoa ni muda mrefu kumbuka watoto mlio zaa ingawa una mtihani mgumu ila suluhu si kumuacha ila kama yeye atadai talaka iyo mbali ila mimi nakushauri usimwache pole sana kaka.

Chebi,
Ni kweli small house may be can't be a good option, but sometime can. Fikiria huna raha na jasho lako and then age is running fast, wewe utafurahi lini??:? you know at 40 is where life begins to many of us achilia mbali wale wamaotoka kwenye familia zenye uwezo, sasa ndugu yangu ukijaribu kusema mwenzangu hilo si lenyewe basi miezi hakuna kuongea. Nashukuru, kweli mtu asijeakabeza JF kuna msaada mkubwa nimeshaupata ingawa mtu inabidi uwe makini sana kwani ndani ya jmvi hili kuna feminists wao wanashauri kulingana na interest zao, kuna immature people hana hatas mke ushauri wake utauona na kuna mature people ambao they don't want to base to any side na hiyo ndiyo maana yangu, ni jue je tatizo ni mimi au la, Thanks my brother.
 
KUHUSU KUGAWANA MALI
Mali lazma mugawane, na madeni benki pia munagawana ulikuwa haujui?
Hata leo ukifa madeni yako atakabithiwa yeye, ulikuwa haujui?
Ndio mfahamishe mkeo munagawana mali na madeni pia.
kwa mfano muna vyumba 2, thamani yake milion 30
Mashamba 2 thamani yake milion 10
Magari thamani yake milion 30
Jumla milion 70
Madeni benki milion 26.
Jumla munamiliki 96 milion mali na madeni.
Mkeo atapata milion 35 mali na milion 13 deni. Na wewe hivo hivo.
Ama munauza mali munafuta deni kwanza.
Milion 70-deni 26 milion= milion 44 kinachobaki.
44 gawanya kwa watu 2=22million kila mtu

Mie nimesomea law kidogo.




Kwa maandishi yako yaonesha kweli unamnyanyasa. 1) Kwa sababu unamiliki nyumba na magari na unayo kazi. unajiona upo juu kuliko mkeo, pengine kauli unayotumia kwa mkeo sio nzuri. Hasira zako ni hasara kwako na kwake.

Na kama ungekuwa na mwanamke mwenye akili zenye vumbi, husinge miliki vyote hivo. Kama unabisha endelea kujiona kidume chenye mali na msimange na kumnyanyasa mkeo kwa sababu ya kazi yako na mali. Basi bora muache na tafuta nyumba ndogo ukajione mwenyewe, mkataa pema pabaya panamwita. Kakumwagilia maji na kukupaka mavuta wewe, pamoja na watoto wako, mpaka ukastawi ukakomaa na matunda yamezaa mengi, Mungu ambariki huyo mwanamke mwema na mvumilivu. hapo kuna jasho lake na nguvu zake, kwa vyovyote vile. Kama unataka kufanya dhurma mungu atakulani hapa hapa duniani.

UNYUMBA
Hakuna mwanamke yeyote atakaeweza ama kujiskia kutoa unyumba kwa mwanamme mnyanyasaji.
Na hao jamaa wameona wewe ndio mtu mbaya, ndio maana wanaungana na mkeo.

Somoe,
Duuuuu! ngoja nivute pumzi, kwanza nikushukuru kwa upembuzi wako, somoe don't you see that unanikandamiza?? don't you know that we men tunaanza kutaabika kwa kutungwa sheria gandmizi dhidi ya wanaume, najua huenda wewe ni mmama lakini mimi sijali mali bali heshima yangu, kama nimeweza kufanya hayo yote for 21 yrs kwani sikujua kama kuna small house,kama maelezo yangu umeyaelewa basi ndiyo hayo. sikutaka kumlaumu yeye bila kusema weakness zangu na daima nitazisema then watu wapime nataka kujua who is a ghost between us. Pamoja na hasira zangu mimi ni mtu wa kukaa na kujiuliza pale ninapokosea naombA MSAMAHA but ladies of today kaka duuu! waone hivyo hivyo. Otherwise I like your analysis and comments as well
 
Mie mwaka wa 11 sasa nshanyimwa unyumba, ikitokea nimefanya ni Kwa kubaka Na fujo flan, 4 years back nilijirusha Na small house, ebanaee nikifika Kwa small house kila kitu unafanyiwa, Yaani unajihisi bukheeeeeri , small house akapata ujauzito, small house akashinikiza nimtose wife nijoin kwake, hilo sikuliafiki kutokana Na staha yangu mbele ya jamii, lakini small house hakujali Hilo, akalianzisha la kulianzisha ebanaee moto uliniwakia mbaya, aliniendesha kama game la watoto, akinitishia kunipeleka Kwenye magazeti ya shigongo kuniblack.. Aisee nilikooma, alinipelekesha hadi nikajuuuuta kwanini nilijitafutia kadhia ile, Leo nimekula butu, sitaki mwanamke wala big house tena, maisha yakisha kukataa Kwa viumbe hawa vumilia tu, Kwani fedha nini bwana, Kwani K Nini bwana, just biological organs, Achana nayo.. Piga kavu tu..

Tamko,
Thnx, if things will persist I will opt the same. Mali ni kitu kidogo sana ukilinganisha na image ya mtu kwenye jamii na kuhusu K, K is K even our mother have them ahahahahhahaa.O hooo I appreciate your advice
 
Kabla hujamlaumu sana mkeo hebu kwanza orodhesha mabo uliyonayo ambayo unadhani yanaweza kumuudhi mkeo. Mara nyingi tabia ya mtu dhidi ya mtu mwingine ni response ama reaction kutoka upande wa pili. maana yangu ni kuwa wewe unaweza kuwa ni chanzo cha tabia ya mkeo. kwa mfano sasa hivi umeanza kutaka kuonyesha tabia uliyosema kama reaction kwa tabia ya mkeo kwa hiyo mkeo anakujengea tabia hiyo. Siku moja jaribu kutumia friendly approach kama vile joke umulize mkeo baadhi ya mambo ambayo huwa hayapendi na wewe umweleze mambo ambayo huwa hayakufurahishi. Kabla ya kwenda popote ufumbuzi unao mwenyewe. njia hii ikishindikana ujue kuna kidudu mtu behind your wife labda ndugu/rafiki anamchochea au ana kadogoo kanamsaidia mawazo
 
Somoe,
Duuuuu! ngoja nivute pumzi, kwanza nikushukuru kwa upembuzi wako, somoe don't you see that unanikandamiza?? don't you know that we men tunaanza kutaabika kwa kutungwa sheria gandmizi dhidi ya wanaume, najua huenda wewe ni mmama lakini mimi sijali mali bali heshima yangu, kama nimeweza kufanya hayo yote for 21 yrs kwani sikujua kama kuna small house,kama maelezo yangu umeyaelewa basi ndiyo hayo. sikutaka kumlaumu yeye bila kusema weakness zangu na daima nitazisema then watu wapime nataka kujua who is a ghost between us. Pamoja na hasira zangu mimi ni mtu wa kukaa na kujiuliza pale ninapokosea naombA MSAMAHA but ladies of today kaka duuu! waone hivyo hivyo. Otherwise I like your analysis and comments as well


Ulitaka upendelewe tena kaka angu? hukumu inaangalia situation. SITUATION inasema unavijimali na umemchoka mkeo kwa vile mume ishi miaka mingi pamoja. Na wewe una nia au tamaa ya kuwa na mwengine.


Ndio nyie munao sema mke wangu hajui kupika, munatafuta nyumba ndogo inayojua kupika, wakati umekula chakula cha mkeo miaka 21, leo hii tena umuone hajui kupika?

Faham miaka 21 iliopita mulipendana na hukuona kasoro zake, na yeye hakuona zako, leo upendo umeisha ndio unaona kasoro zake, na yeye anaona zako. ohh hawezi hiki na hafanyi kile, unamuona mazingaombwe ghafla?

Kama ulikuwa hujui basi ndio inakuwaga hivo watu wawili wakishi miaka mingi pamoja, wengine wanagawana vyumba, mpaka na mali lakini wanaishi nyumba moja, na wanazeeka pamoja na kulea wajukuu pamoja unafikiri kwako tu?.

Kwa vile unataka kupima who is ghost, basi watu watakuona ghost ni wewe. Unapenda power na controll kuliko upendo na amani. Unafkiri ukiacha mke na watoto na kudil na nyumba ndogo ndio utapata heshma?
Kwaiyo unaweza kua mtu ili upate heshma?

Kwakweli mie sijakuelewa unachotaka, unataka heshma, unataka nyumba ndogo, unataka kuachana na mkeo, au unataka kujua who is ghost? Unataka mali musigawane?

Nafikiri hata huyo mkeo mvumilivu kuwa na mume hasie jua anataka nini, unataka vingi kwa wakati mmoja, una mstress her too much.
 
mmh,hapa nashindwa cha kuchangia,ngoja nijifunze kupitia wengine
 
Mambo mengine ngumu kuchangia ila
sasa mpo wawili utasemaje mali za kwako??ni zenu wote mgawane mali,madeni kama imefikia huko
ila kwa upande wangu ni ngumu wanandoa wa 21 yrs kuachana labda peaneni likizo tu isatasaiidia ila kuachana mhhh
 
Back
Top Bottom