Ndoa yangu iko njia panda, nifanyeje?

Ndoa yangu iko njia panda, nifanyeje?

Kuna uwezekano mkeo akawa limbukeni au amejiona sasa anaweza kuwa kila kitu bila wewe. Ingawa stori yako ni upande mmoja, uwezekano wa kukudhuru ni mkubwa hasa kama anatoka kwenye makabila yanayojulikana kwa tabia hiyo. Muhimu kaa ufikiri na umuite umpe ukweli wa moyoni bila vitisho wala kugusia kuwa unataka kuachana naye. Akijua kuwa una mpango huo atakuwahi na kukuharibia maisha. Ningekuwa wewe ningebadili usimamizi wa mali kiasi cha kupunguza kipato chake. Ningeweza hata kujaribu kumpunguzia hiyo biashara nikimpa somo kuwa kukaa nyumbani ni jambo muhimu. Kama anakunyima chakula cha bwana basi kuna kidudu mtu ambaye ameishamuingia. Fanya utafiti ujue kiburi chake kinatoka wapi ili ujue jinsi ya kupambana naye. Waweza kuanza ku-diversify miradi yako ili kuanza kukusanya nguvu mpya in case if anything happened. Nadhani kwa leo haya yanatosha mwanangu. POLE SANA KWA YANAYOKUKUTA.

Father of us all lol umemshauri vizuri sana. Lakini nitoe ushauri kwa wanaume wote; mke kwa asili aliumbwa kuwa msaidizi wa mwanaume siyo kwamba yuko chini yake no ila companion wake. Wana compliment character na siyo ku-substitute...Makosa ya wanaume wengi hasa wenye mapenzi mazito yasiyo na akili ni kugeuza functioning zao; yaani kichwa kuwa body na body kuwa kichwa. Tukichukulia concept ya kichwa na mwili; ni kuwa kichwa hakiwezi kufanya kazi bila mwili na mwili usio na kichwa haupo ni maiti.

Then mume hatakiwi hata siku moja kushindwa kuongoza nyumba yake kama kichwa no mater anampenda mke kiasi gani...Hapo kwenye hii ndoa ukimsoma huyo mwanaume alishindwa kum-manage mke wake mapema sana tangu awali...Huwezi mkabidhi mkeo pesa eti yeye akupangie matumizi unakaribisha roho ya baal kwenye familia. Ila pia huwezi kumficha mkeo pato na matumizi yako then it means una maintain role ya ubaba kusimamia nyumba huku ukimhisisha mkeo 100% katika maamuzi yote ya kifamilia. Pia ni kosa kutokujua matumizi na mapato ya mkeo maana kama wewe ndiye mume na wewe umemshirikisha vyote vipi yeye asikushirikishe vya kwake? Huyo siyo mke basi ni kitu kingine.

Uzoefu wangu katika kusuluhisha ndoa ni kuwa wanawake wengi kwa jinsi walivyoumbwa wasipo simamiwa vizuri na waume zao wanavuruga ndoa na mfano mzuri ni huyu mwathirika hapo...Wanaume kwakukosa maarifa wakidhani ni upendo kumbe ni kukosa kujua nini maana ya kuwa kichwa wanawaacha wake zao mpaka wanakuwa wameenda beyond repair katika ndoa.

Nini cha kufanya? Hapo kwanza tubu kwa Mungu wako kwa kukosa mbele zake na kushindwa kusimamia nyumba yako maana hiyo iko clearly stated kwenye neno la Mungu kama ni mkristo ni dhambi tena kufuru mbele ya Mungu ndiyo maana ndoa imeenda kubaya pamoja na baraka zote Mungu alizowajalia. Then ukishaomba msamaha omba kibali mbele ya Mungu na hekima ya jinsi ya kuirudisha ndoa yako. This time kuwa mkweli endelea kumpenda mkeo lakini chukua jukumu la kumweleza unavyotakiwa ku manage nyumba....Onyesha seriousness bila kuomba huruma ya mtu yeyote maana it is your responsibility....Mkeo kesha kusoma anajua wewe ni weak person so usipochukua msimamo wa kiume utaathirika. Atajidai kukutishia lakini weka msisitizo wa kiume uone ataamua lipi huku ukiendelea kuomba wisdom ya Mungu na msaada wake ili urudishe nidhamu nyumbani.
 
Mwanangu Ame nakuunga mkono ingawa si katika yote uliyosema. Ndiyo maana kwenye ushauri wangu niliongelea suala la upande mmoja wa stori. Ni vizuri kuwa umeliona hili. Nadhani mhusika atautumia ushauri wako vilivyo.
 
Njo nikupe unyumba.

Hiv ni nan atakuvulia chup baada ya kumkejel, kum2c na ku2mia maneno makali. Hizo hacra zako zitakupoteza coz cku zote hazjeng.
Ni haki ya mmwanamke kugawana mal na mumewe hata km hana mali coz anakupikia na kuku2nza unapata nguv ya kwenda kufanya kaz. Ushaur wake ni nguv kaz tosha ya kukuwezesha kuchuma mal. Amekuzalia wato na ume du nae huwez rudsha thaman yake wala kumlipa hata tirion c ki2. Kaen mbali kwa muda wa mwez m1 hapo kila m2 atajua umuhmu wa mwenzie. Mana unaweza muona m2 mzigo af akiondoka ndo unaona thaman yake.
 
Mie mwaka wa 11 sasa nshanyimwa unyumba, ikitokea nimefanya ni Kwa kubaka Na fujo flan, 4 years back nilijirusha Na small house, ebanaee nikifika Kwa small house kila kitu unafanyiwa, Yaani unajihisi bukheeeeeri , small house akapata ujauzito, small house akashinikiza nimtose wife nijoin kwake, hilo sikuliafiki kutokana Na staha yangu mbele ya jamii, lakini small house hakujali Hilo, akalianzisha la kulianzisha ebanaee moto uliniwakia mbaya, aliniendesha kama game la watoto, akinitishia kunipeleka Kwenye magazeti ya shigongo kuniblack.. Aisee nilikooma, alinipelekesha hadi nikajuuuuta kwanini nilijitafutia kadhia ile, Leo nimekula butu, sitaki mwanamke wala big house tena, maisha yakisha kukataa Kwa viumbe hawa vumilia tu, Kwani fedha nini bwana, Kwani K Nini bwana, just biological organs, Achana nayo.. Piga kavu tu..
 
Kama kuna sehemu ambazo mimi binafsi nashindwa kuchangia lolote ni hapa,dah pole sana kwa yote na naomba usali ili mungu akupe suluhisho la ndoa yako
 
KUHUSU KUGAWANA MALI
Mali lazma mugawane, na madeni benki pia munagawana ulikuwa haujui?
Hata leo ukifa madeni yako atakabithiwa yeye, ulikuwa haujui?
Ndio mfahamishe mkeo munagawana mali na madeni pia.
kwa mfano muna vyumba 2, thamani yake milion 30
Mashamba 2 thamani yake milion 10
Magari thamani yake milion 30
Jumla milion 70
Madeni benki milion 26.
Jumla munamiliki 96 milion mali na madeni.
Mkeo atapata milion 35 mali na milion 13 deni. Na wewe hivo hivo.
Ama munauza mali munafuta deni kwanza.
Milion 70-deni 26 milion= milion 44 kinachobaki.
44 gawanya kwa watu 2=22million kila mtu

Mie nimesomea law kidogo.

Kwa maandishi yako yaonesha kweli unamnyanyasa. 1) Kwa sababu unamiliki nyumba na magari na unayo kazi. unajiona upo juu kuliko mkeo, pengine kauli unayotumia kwa mkeo sio nzuri. Hasira zako ni hasara kwako na kwake.

Na kama ungekuwa na mwanamke mwenye akili zenye vumbi, husinge miliki vyote hivo. Kama unabisha endelea kujiona kidume chenye mali na msimange na kumnyanyasa mkeo kwa sababu ya kazi yako na mali. Basi bora muache na tafuta nyumba ndogo ukajione mwenyewe, mkataa pema pabaya panamwita. Kakumwagilia maji na kukupaka mavuta wewe, pamoja na watoto wako, mpaka ukastawi ukakomaa na matunda yamezaa mengi, Mungu ambariki huyo mwanamke mwema na mvumilivu. hapo kuna jasho lake na nguvu zake, kwa vyovyote vile. Kama unataka kufanya dhurma mungu atakulani hapa hapa duniani.

UNYUMBA
Hakuna mwanamke yeyote atakaeweza ama kujiskia kutoa unyumba kwa mwanamme mnyanyasaji.
Na hao jamaa wameona wewe ndio mtu mbaya, ndio maana wanaungana na mkeo.
 
hapo anko n kumtaftia mkeo mwnzie hcho kbur ktaisha, sa hv ana jeur ya kuwa peke yake
 
Pole sana bro, ila kwa mambo yanayowapata kwenye ndoa labda ndio kigezo cha vijana wengi huishia kubakia mabachela
 
dah kaka hilo suala ni zito sana ila ninachokushauri kwanza achana na suala la nyumba ndogo pili baadha ya wanawake wakishaanza kugusa vijipesa kidogo roho zinaanza kuwabadilika hawafikirii pale mlipotoka hilo jambo mimi naishi nalo ila la kwako liko gumu zaidi endelea kuvuta subra punguza hasira kumbuka muda ambao ushaupoteza kumbuka muda ambao umekaa ktk ndoa ni muda mrefu kumbuka watoto mlio zaa ingawa una mtihani mgumu ila suluhu si kumuacha ila kama yeye atadai talaka iyo mbali ila mimi nakushauri usimwache pole sana kaka.
 
weka hapa madai ya mkeo, vinginevyo kama yote hayo anayafanya bila sababu basi mpeleke apimwe akili.
 
Nahitaji ushauri wenu wanaJF,
Ndoa yangu ina umri wa miaka 21 na mimi mwenyewe nina umri wa miaka 46. Katika ndoa yetu tumejaliwa kupata watoto 3. Mke wangu yeye ni mjasiria mali (siwezi kusema ni mama wa home) kwani anasimamia vijimiradi vya familia na mimi nimwajiriwa wa seriakli. Katika maisha ya ndoa mimi kama baba nimejenga nyumba 2, nina usafiri mzuri magari 3, nina mashamba 2 ya nguvu na vimifugo kidogo si haba. kati ya hivyo vyote hakuna senti iliyotoka mfukoni mwa wife. Nyumbani kama mnavyofahamu kuna facilities za kumuwezesha wife aihudumie familia kwa urahisi, kule kitchen kila kifaa cha kurahisisha mapishi kipo.

Sikilizeni tatizo lilipo, kama mnavyojua sahani zikikaa pamoja lazima zigongane, sasa ikitokea kutoelewana wife hawajibiki kwa maana sipikiwi chai, hakuna kusimamia mafundi na vibarua wataachwa wachakachue wapendavyo, achilia mbali tendo la ndoa ambalo lazima nisahau. Kaenda mbali ndugu kawaambia ninavyomnyanyasa nao bila kuuliza wameungana naye. mambo hayo ni karibu miaka 5 na zaidi hakuna maelewano ndani ya nyumba. Labda nijisemee na mimi, kweli najijua nina hasira lakini pamoja na hayo kwa miaka yote hiyo 21 ya ndoa sijawahi kunyosha mkono kumpiga wife, kurudi nyumbani usiku sio tabia yangu, sina mtoto wa nje wala small house na sijawahi lala nje hata siku moja. Nilikuwa nikipokea mshahara namkabidhi, then naomba hela ya matumizi lakini yeye hela inayopatikana kwenye vijimradi vyetu sijui inatumikaje.

Hatua tulizochukua kujaribu kupata muafaka, sisi wenyewe tumekaa several time hakuna kusikilizana ikabidi tushirikishe family friend tunakaa kidogo yanajirudia, ndugu wa pande zote wamejaribu hakuna muafaka, Hali iliyopo sisi wenyewe hatuwezi tena kuyamaliza ingawa ndio tulikuwa na dhamana ya kuyamaliza.

Nipeni ushauri, ni-sacrify kila kitu niondoke zangu? maana naona uchungu eti tugawane mali wakati najua nina madeni bank kwa ajili ya mali hizo ambapo yeye hakuchangia achilia mbali usemi wa sasa hivi kwamba mali ya ndoa ni ya wanandoa wote. Nitafute small house maana tunda nimeshanyimwa takribani mk2 sasa. Nisiwachose, maoni yenu tafadhali

Pole sana mkuu,ila usikate tamaa,endelea kuipigania ndoa yako,kumbuka

1. Kumpa mwanamke kila kitu,ie mshahara,miradi,jikoni kumejaa mazagazaga n.k....bado haitoshi kumpa yeye furaha ya kukujali na kukupa unyumba.....
2. Kufungulia miradi kibao,kujenga na kumpa majukumu ya kusimamia mafundi bado haitoshi kaka......
3. Kwa hasira zako ambazo umekiri ndio weakness yako,pengine umewahi mtamkia maneno ya kinyanyasaji kutokana na machungu ya kukosa tendo la ndoa....
4. Kwa kuwa hana hata senti aliyowekeza kwenye miradi hiyo,maneno mabaya unayomtolea unapokasirika....yanamfanya akuchukie na kujiona hana thamani tena kwako na kwa familia yenu kwa ujumla....
5. Pengine humpi nafasi ya kuchangia mawazo yake kwenye mambo mbalimbali mfanyayo,na umemfanya kama wa kutumwa tu..."nenda huku,kafanye hiki,......nenda kule kapeleke hiki"...lazima ajione out of place!

ushauri
1. Mpunguzie majukumu,apate muda wa kupumzika ili aweze kuwaza mapenzi yenu
2. Mpe nafasi ya kutoa mchango wa mawazo,yaliyomazuri yafanyie kazi na kumpongeza,tena kwa zawadi za hapa na pale.
3. Andaa like a short leave....mtoke wawili tu...mwende nje ya mji....kama siku 2 au 3...huko mkumbushiane mazuri ya enzi hizo....ongeeni tofauti zenu bila kugombana,pangeni upya mwenendo wa miradi yenu yote na SEX LIFE YENU,acha ubahili......hebu bembeleza kwa mara nyingine kaka,.................................sasa pesa unatafuta za nini,TENGENEZA NDOA YAKO!
4. Punguza au jifunze kukontroo hasira zaka kaka yangu...neno likishatoka halirudi....sumu ya neno ni kali kuliko ya nyoka.......
mwangwi wake hujirudia rudia akilini kila wakati,mfano..umemtamkia..."wewe mwanamke useless kabisa"......kila wa kati sentensi hii itajirudia rudia akilini mwake.

5. Mwonyeshe kuwa bado unampenda kama vile mlivyoanza,tena na zaidi....nendeni kwenye ibada pamoja,mwonyeshe ni jinsi gani bado unamuhitaji maishani,si kwa kulea watoto tu bali "WEWE NDIO UNAMUHITAJI ZAIDI",watoto walikuja kama zawadi tu.

6. Au pengine ana tatizo la kiafya,mkikaa kwa kuelewana atakueleza,au alisikia umetembea na mdada mwingine hivyo HAKUAMINI TENA KIAFYA, yote hayo utayajua mkipata wasaa wa kuongea kama wapenzi.

7. Hivi kaka,kabla hujamuoa, ulimtongoza tena ukiwa humjui,leo umeishi naye miaka 21 unashindwa pa kuanzia kweli?.....KAZA BUTI!

dah...21 years???ngoja namie nichukue experience manake ya kwangu ina miaka miwili....!!
 
yangu ina miaka 8,yaani kama tumeoana jana hivi......vijimambo havikosekani ila lazima mmoja awe chini wakati fulaniili kivipitisha na kutengeneza furaha upya......Mungu akiwatangulia, kila jambo ni jepesi.
 
Huyo kashikana ushoga na mwanamke anayemwonea wivu. huyo nwanamke kamzidi akili. anamuingiza shimano bila kujua.
Ushauri wangu. mwambie achague "kulinda ndoa au kuvunja ndoa!" wala usimpe maelezo marefu just hayo maneno matano na usiyafafanue. tell her at the calmest mood you can achieve!! atajitafakali amekosea wapi. na ataanza kujirudi taratibu!!
 
Miaka mitano kwa mfarakano si mingi angalia mda mlokaa kwa amani, ukisepa kuelekea kwa nyumba ndogo ni tatizo kwa watoo. Kaa tena usichoke zungumza tena, "ukitafuta nyumba ndogo naye hawezi kukosa kidumu" kitatumia hivyo vi mradi vyko maana hakina uchungu navyo.Mungu ni mkubwa atawasaidia.
 
Njo nikupe unyumba.

Hiv ni nan atakuvulia chup baada ya kumkejel, kum2c na ku2mia maneno makali. Hizo hacra zako zitakupoteza coz cku zote hazjeng.
Ni haki ya mmwanamke kugawana mal na mumewe hata km hana mali coz anakupikia na kuku2nza unapata nguv ya kwenda kufanya kaz. Ushaur wake ni nguv kaz tosha ya kukuwezesha kuchuma mal. Amekuzalia wato na ume du nae huwez rudsha thaman yake wala kumlipa hata tirion c ki2. Kaen mbali kwa muda wa mwez m1 hapo kila m2 atajua umuhmu wa mwenzie. Mana unaweza muona m2 mzigo af akiondoka ndo unaona thaman yake.

Anyway, sijui kama umenielewa, nia yangu sio kugombania mali,mali kwangu si kitu, kitu kwangu ni kumaintain familia, mali kwa uwezo wa Mungu alionipa naweza kupata zaidi ya hapo, suala is to maintain my marriage and protect my image in my community. si taki ukiruka njia, labda ikibidi, I will quit
 
Miaka mitano kwa mfarakano si mingi angalia mda mlokaa kwa amani, ukisepa kuelekea kwa nyumba ndogo ni tatizo kwa watoo. Kaa tena usichoke zungumza tena, "ukitafuta nyumba ndogo naye hawezi kukosa kidumu" kitatumia hivyo vi mradi vyko maana hakina uchungu navyo.Mungu ni mkubwa atawasaidia.

Kiloleni ni kweu,
thanks for your advise
 
Huyo kashikana ushoga na mwanamke anayemwonea wivu. huyo nwanamke kamzidi akili. anamuingiza shimano bila kujua.
Ushauri wangu. mwambie achague "kulinda ndoa au kuvunja ndoa!" wala usimpe maelezo marefu just hayo maneno matano na usiyafafanue. tell her at the calmest mood you can achieve!! atajitafakali amekosea wapi. na ataanza kujirudi taratibu!!

Papa D,
Its true, kuna rafiki yake wa karibu ambaye kila jambo anamshirikisha wakati yeye kwake si shwari hilo lawezekana. I will make my best in solving this evilact, God I hope is with me
 
yangu ina miaka 8,yaani kama tumeoana jana hivi......vijimambo havikosekani ila lazima mmoja awe chini wakati fulaniili kivipitisha na kutengeneza furaha upya......Mungu akiwatangulia, kila jambo ni jepesi.

Kwa yaliyonifika sitapuuzia ushauri wa mtu ila nachuja naona watu wengine is more jokes or inexperience advice or immature opinion. Asante kaka kwa ushauri wako
 
Pole sana mkuu,ila usikate tamaa,endelea kuipigania ndoa yako,kumbuka

1. Kumpa mwanamke kila kitu,ie mshahara,miradi,jikoni kumejaa mazagazaga n.k....bado haitoshi kumpa yeye furaha ya kukujali na kukupa unyumba.....
2. Kufungulia miradi kibao,kujenga na kumpa majukumu ya kusimamia mafundi bado haitoshi kaka......
3. Kwa hasira zako ambazo umekiri ndio weakness yako,pengine umewahi mtamkia maneno ya kinyanyasaji kutokana na machungu ya kukosa tendo la ndoa....
4. Kwa kuwa hana hata senti aliyowekeza kwenye miradi hiyo,maneno mabaya unayomtolea unapokasirika....yanamfanya akuchukie na kujiona hana thamani tena kwako na kwa familia yenu kwa ujumla....
5. Pengine humpi nafasi ya kuchangia mawazo yake kwenye mambo mbalimbali mfanyayo,na umemfanya kama wa kutumwa tu..."nenda huku,kafanye hiki,......nenda kule kapeleke hiki"...lazima ajione out of place!

ushauri
1. Mpunguzie majukumu,apate muda wa kupumzika ili aweze kuwaza mapenzi yenu
2. Mpe nafasi ya kutoa mchango wa mawazo,yaliyomazuri yafanyie kazi na kumpongeza,tena kwa zawadi za hapa na pale.
3. Andaa like a short leave....mtoke wawili tu...mwende nje ya mji....kama siku 2 au 3...huko mkumbushiane mazuri ya enzi hizo....ongeeni tofauti zenu bila kugombana,pangeni upya mwenendo wa miradi yenu yote na SEX LIFE YENU,acha ubahili......hebu bembeleza kwa mara nyingine kaka,.................................sasa pesa unatafuta za nini,TENGENEZA NDOA YAKO!
4. Punguza au jifunze kukontroo hasira zaka kaka yangu...neno likishatoka halirudi....sumu ya neno ni kali kuliko ya nyoka.......
mwangwi wake hujirudia rudia akilini kila wakati,mfano..umemtamkia..."wewe mwanamke useless kabisa"......kila wa kati sentensi hii itajirudia rudia akilini mwake.

5. Mwonyeshe kuwa bado unampenda kama vile mlivyoanza,tena na zaidi....nendeni kwenye ibada pamoja,mwonyeshe ni jinsi gani bado unamuhitaji maishani,si kwa kulea watoto tu bali "WEWE NDIO UNAMUHITAJI ZAIDI",watoto walikuja kama zawadi tu.

6. Au pengine ana tatizo la kiafya,mkikaa kwa kuelewana atakueleza,au alisikia umetembea na mdada mwingine hivyo HAKUAMINI TENA KIAFYA, yote hayo utayajua mkipata wasaa wa kuongea kama wapenzi.

7. Hivi kaka,kabla hujamuoa, ulimtongoza tena ukiwa humjui,leo umeishi naye miaka 21 unashindwa pa kuanzia kweli?.....KAZA BUTI!

Jendalujeje
I like your analysis on the matter, it's true nina hasira sitaki kumponda mwenzangu na yeye anajua hilo, kuhusu kutoka kazi yangu ni ya kusafiri sana mikoani huwa mara nyingi tunaondoka wote, lakini mwenzangu jamani haelekei ukimwambia yanayohusu familia na mustakabali mzima wa familia, na yale ninayoona ni kero. Kaka nimependa ulivyoliona tatizo hili mengi ume-hit ukweli maana nikikasirika na hasa ninapoona blander nakemea vikali labda hilo
 
Back
Top Bottom