Ndoa yangu haina amani

Ndoa yangu haina amani

Nakushauri usiwaze kuusu wanao mkeo wala wazazi wako usipokuwa makini kuna magonjwa nyemelezi yanakuja mbele yako ambayo ni afya ya akili, presha, vidonda vya tumbo na mengine mengi ama mkoa katafute maisha sehemu nyingine kosa ulilofanya ni kuacha kulinda kile ulichokuwa nacho mkononi nenda mbali kapiganie maisha yako mke kashapata wakumpa furaha ninngumu sana kukuelewa tena angalia furaha yako zaidi kufa kwaja Ila usikubali kufa kinyonge ivyo kabla hujazeeka . Go out broo and find money

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
HIVI GUYS NI WAPI MNAFELI???

WAPI MNAKWAMA NDUGU ZANGU???

KWANN MNAKUA IVI LAKINI???

KWANN HAMNA UANAUME ???

WHY?? YAAAN UUZE NYUMBA YA WATOTO WAKO????

YAANI UUKIMBIE MJI WAKO ULOUJENGA KWA JASHO LAKO????

ET MIAKA KUMI, ALAFU NIWE NA FARAJA.. UNADHAN MAISHA NIKM RAMAN YA NYUMBA????

JE UKIENDA HUKO ALAFU USIFANIKIWE HIYO MIAKA YOTE KUMI??

NDO URUDI UKUTE KESHAZALISHWA ???

AU MNAONGEAGA TU KUPIGISHA WATU STORI???

HIVI KUNA WANAUME MNARUHUSU MATESO YAWAPATE NAMNA HII???

NIKISEMA NIWATUSI ,MNASEMA NAWALUGHA MBAYA.

MNATIA HASIRA SANA!!!!

NIKWAMBA HAYO NI MADAWA NDO MNAFANYIWA ????

MNAKERA SANA MAZEEE, MNAKERA MNOOOOO, YAAN MNANYANYASWA NA WANAWAKE , WANAWAKE MLOWAOKOTA MAHALI, UKAMUOA, UKAMPA HESHIMA, AKAONEKANA MWANAMKE, UMAPA MRADI, ET KISA UMEKWAMA NAYEYE KAINUKA NDO BASI AKUTESE ??????
Ni vizuri ungempa ushauri nini afanye, kuliko kumlaumu na kumshangaa tu. Wanaume hatufanani
 
Sasa hapo mkuu c hakuna wa kuolewa sayari ya dunia
Bro wapo tena wengi tu, tena sayari hii hii sasa we jichanganye maana ndoa ni familia yako ya baadae kama unatafuta tako watakuhujumu
 
We kuondoka ndio anachotaka kuliko kitu chochote kwa sasa anakunyanyasa ili ufikie hali ya kukata tamaa uza baadhi ya thamani za ndani kama zipo za pesa ndefu kidogo then komaa na biashara.

Au kama vipi mwambie asepe kwao akuachie nyumba na watoto hutakosa namna ya kuishi.

Halafu we jamaa wa mkoa gani sisi ni watu wabaya sana mwanamke hanaga sauti kwetu kamwe tena nyumba umejenga mwenyewe? Thubutu kabila langu mimi huyo angesepe hata akiondoka na watoto aende tu. Anyway ni asili tu ya kwetu.

NB:usiniulize kabila langu Nyerere alikataza
Hata la kwetu.

Yaani mwanamke niliyrmuoa Mimi aniambie eti hajapika??

Achilia mbali sijui bange zingine??

Nitamla aisee
 
Nenda mkuu, kama unakuja huku nilipo nitakupa accomodations kwa miezi sita
 
Ukweli nimechoka nahitaji kusafiri mbali na nyumbani kwangu kila mtu aishi maisha yake maana tunakaa muda wote kama mtu na mke mwenza.

Ndoa yangu ina miaka 5 tuna watoto 2. Nilikuwa nafanya Biashara vizuri nikafanikiwa kujenga nyumba ya Familia na kumfungulia wife biashara naye ili asinitegemee kila kitu.

Bahati mbaya biashara yangu ikayumba nikawa nakomaa nayo ila yeye muda wote ni kunikatisha tamaa niachane nayo.
Nikapata dharura ya kusafiri kwanda mkoani kwa wazazi nikamwacha kijana.

Huku nyuma wife akamsonga songa kijana mwisho Biashara yangu ikafugwa nikapigiwa simu na wife kijana anaingiza hasara nimefunga.

Niliporejea home uzi ni ule ule anataka niachane nayo. Kweli nikaamua kuachana nayo kwani kodi ya pango iliisha na pia palifugwa wateja wangekuwa wametuhama zaidi hivyo nikilazimisha naweza tengeneza hasara na madeni
nikahitimisha kufunga Rasmi.

Niko zangu home najipanga kutafuta mishe ya kufanya wife ndiye mwenye kazi ndiye kila kitu kinacho husiana na hela. Manyanyaso yakaanzia hapa,
kelele, kupangiwa anachotaka.

Jumamosi ya ngao jamii kati ya Simba na Yanga niliomba Elfu mbili tu nikakae kwenye kibanda umiza niangalie mechi nilitolewa nje.

Siku hiyo nilishinda home kuna kazi nilikuwa nafanya. Nilichoka kweli,
basi nikajirudia zangu home saa 18:00 kujilalia saa tatu na nusu akawa anaingia. Alipofika akanyosha moja kwa moja kitandani. Nikauliza “wife hupiki?” maana njaa inauma. Akasema sipiki na sijakununulia chochote tutakula kesho. Kila nikimwongelesha kimya basi kuepusha shari nikakaa kimya nikalala japo usingizi wa tabu uchovu + njaa + mawazo

Kuanzia siku hiyo ni kununiwa hakuna kusemeshana. Nimewaza niuze nyumba nipate mtaji naona ugumu biashara zikigoma.

Wazo langu kwa sasa kwa sababu sina thamani kwake niondoke nikatafute maisha mbali ata miaka 10 ili nipate amani na faraja. Nahofia nitakufa bure na mawazo naye abaki na amani yake anilelee tu wanangu.
"Jumamosi ya ngao jamii kati ya Simba na Yanga niliomba Elfu mbili tu nikakae kwenye kibanda umiza niangalie mechi nilitolewa nje"............haha acha kupenda gaji kibanda umuza ni buku, tu uliomba 2000 ya nini? Ndomaana alikushutukia.hahahaha mayanyaso ya wanawake yasikie tu.
 
Wale mnaojifanya wazungu...wapenzi ya tamthilia...unaishi na mkeo una mchekea chekea...mimi hapo angetembelea kipigo heavy siku mbili ndani
 
Ukweli nimechoka nahitaji kusafiri mbali na nyumbani kwangu kila mtu aishi maisha yake maana tunakaa muda wote kama mtu na mke mwenza.

Ndoa yangu ina miaka 5 tuna watoto 2. Nilikuwa nafanya Biashara vizuri nikafanikiwa kujenga nyumba ya Familia na kumfungulia wife biashara naye ili asinitegemee kila kitu.

Bahati mbaya biashara yangu ikayumba nikawa nakomaa nayo ila yeye muda wote ni kunikatisha tamaa niachane nayo.
Nikapata dharura ya kusafiri kwanda mkoani kwa wazazi nikamwacha kijana.

Huku nyuma wife akamsonga songa kijana mwisho Biashara yangu ikafugwa nikapigiwa simu na wife kijana anaingiza hasara nimefunga.

Niliporejea home uzi ni ule ule anataka niachane nayo. Kweli nikaamua kuachana nayo kwani kodi ya pango iliisha na pia palifugwa wateja wangekuwa wametuhama zaidi hivyo nikilazimisha naweza tengeneza hasara na madeni
nikahitimisha kufunga Rasmi.

Niko zangu home najipanga kutafuta mishe ya kufanya wife ndiye mwenye kazi ndiye kila kitu kinacho husiana na hela. Manyanyaso yakaanzia hapa,
kelele, kupangiwa anachotaka.

Jumamosi ya ngao jamii kati ya Simba na Yanga niliomba Elfu mbili tu nikakae kwenye kibanda umiza niangalie mechi nilitolewa nje.

Siku hiyo nilishinda home kuna kazi nilikuwa nafanya. Nilichoka kweli,
basi nikajirudia zangu home saa 18:00 kujilalia saa tatu na nusu akawa anaingia. Alipofika akanyosha moja kwa moja kitandani. Nikauliza “wife hupiki?” maana njaa inauma. Akasema sipiki na sijakununulia chochote tutakula kesho. Kila nikimwongelesha kimya basi kuepusha shari nikakaa kimya nikalala japo usingizi wa tabu uchovu + njaa + mawazo

Kuanzia siku hiyo ni kununiwa hakuna kusemeshana. Nimewaza niuze nyumba nipate mtaji naona ugumu biashara zikigoma.

Wazo langu kwa sasa kwa sababu sina thamani kwake niondoke nikatafute maisha mbali ata miaka 10 ili nipate amani na faraja. Nahofia nitakufa bure na mawazo naye abaki na amani yake anilelee tu wanangu.
Je,ulipokuwa vizuri kiuchumi umewahi kumnyanyasa?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Kuna wale wanawake waajiriwa wa mama samia na wewe ukute kazi zako ni za kusimama simama, sasa maliza siku kazi haieleweki ndo utajua mwanamke alivyo.

Mwanamke sio mtu wa kumtegemea sana, hasa ukiwa katika hali tete mke hata awe na ajira yake, yupo radhi akatoe mchango wa 300k wa harusi ww asikupe kitu hata kama unauhitaji na kile unachokitafuta ni cha kwenu wote. Hela ya kwake ni yake ila ya kwako ipo kwenye bajeti ya matumizi, kula mavazi na kila kitu.

Laiti kama wanawake wangekuwa wao ndio wanaume na sie tukawa wanawake, tungeishi kwa shida sana humu duniani kwa hiyo mioyo yao ilivyo.

Ndio mana mwanaume mwenye tabia za kike kike huwa ni mtu mbaya sana
 
Baada ya kuona vilio vingi Naomba nitoe maelekezo kwa wanaume wenzangu kwa wanawake mnaotaka kuoa

1. Kamwe usioe mwanamke mwenye chembe za ufeminist
2. Jua tabia za mama wa msichana unaetaka kumuoa kwa sababu mama wa msichana ndio msichana mwenyewe kama mama anapiga urabu, anachiti binti yake hataacha hizo tabia za mama

3. Tambua mazingira/familia aliyokulia binti ndani na nje kama familia ina tabia ovu ndugu yangu utaoa mwovu tu

4. Usioe mwanamke uliyemsomesha au umetumia gharama kubwa kupata/kuteka moyo wake

5. Usioe binti ambaye kwao yeye ndio anasauti akisema kitu mji wao unarespond

6. Usioe binti anaependapenda vikoba sijui sakosi sijui bla bla zingine

7. Usioe binti aliye na marafiki wengi wa kiume au anaejulikana sana, kamwe usioe binti anakunywa pombe na usijidanganye kuwa nikimuoa atatulia

8. Usioe binti anaekaa sana kwenye mitandao au kujua na kufuatilia sana habari za udaku, mara Paula sijui diamond amelala na nani ana gari fulani nk nk kumbuka kwa kiasi kikubwa tabia ya mkeo ndio itakuwa tabia za watoto

9. Usioe binti anaevaa vibaya na asione shida yoyote apitapo mtaani

10. Usioe mwanamke anaependa out au tabia za ushindani, pia usipishanishe umri mkubwa kati yako na binti

Jana Mama kasema sisi tunachangia mbegu tu mengine tuwaachie

NILIYOYASEMA HAYO BASI NA WEWE MWANAUME UWE NA TABIA NZURI

NB, Ukitaka ndoa yako idumu basi oa mwenye tabia za kufanana na wewe ( kama wewe ni mlevi, mzinzi, kibaka, bangi, mpole, mwadilifu nk nk oa mwenye tabia hizo hizo hapo mtadumu milele.

Asante ( neno langu sio sheria)

Hiyo namba 5 ni mimi kabisa
Basi sitoolewa
 
Mkuu fanya juu chini jaribu kuyumbisha hiyo biashara anayofanya mkeo ili wote muwe sawa na muanze upya.
Hiyo huenda ikasaidia.
mkuu wew una roho, ngumu mno sa madogo watasomaje na kulaje??
 
Mkuu fanya juu chini jaribu kuyumbisha hiyo biashara anayofanya mkeo ili wote muwe sawa na muanze upya.
Hiyo huenda ikasaidia.
asiyumbishe ,ila achukue kiasi kwenye hiyohiyo biashara ili aanzishe kitu kingine maana hiyo ni sawa na backup ya familia anahakinayo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom