Ndoa yangu haina amani

Ndoa za siku hizi ni mashaka matupu! Wewe ni mmoja kati ya wengi wanaopambana na kifungo kinachoitwa ndoa..mbaya zaidi wengine hawasemi wako busy kuomba,kusali na kufunga! Waliofurahia ndoa walikua ni wazazi wetu enzi hizo..siku hizi wengi wanavumiliana tu.

Mkuu usiuze nyumba! Halafu dizaini kama unamuogopa hivi..hebu kuwa mwanaume kaka..au tayari kashakuboost? Mara moja moja tia makofi,mtie mabanzi..wapuuzi sana hawa viumbe..sasa namna hiyo kesho mambo yametulia ukitafuta goma lako pembeni ukijilia "kipira" ataanza tena kulalamika..
 
Mke wako mjinga yaani kahakikisha kaua biashara yako ili awe na dharau hivyo daah

Badala ya kuiuza jaribu kuitumia kukopea sehemu yoyote kwa pesa yenye dhamani sawa na hio nyumba ili hata ukishindwa kurudisha mkopo watakuuzia wao bila mkeo kuleta tafrani. Kwa sasa huwezi kuiuza atakupa matatizo makubwa
Ili akopee hiyo nyumba signature ya mkewe inahitajika, unahisi mkewe atasahini??
 
Mkuu soma uzi vizuri mwenyewe ana wazo la kuuza nyumba afanye biashara so ana uhakika wa kuweza kuiuza nyumba ndo maana nikatoa ushauri akopee badala ya kuiuza
Hapo kwenye kuuza anawez tumia nguvu akauza mkuu,, ila kwenye kukopa procedure ziko strict zaid anawez akaambiwa hiyo nyumba kwa Sababu ndo wanayoishi haiwezekan kuwekwa dhamana ama ikahitajika signature ya huyo mke wake.
 
Ndiyo maana tunapigana sana vikumbo na waliopo kwenye ndoa kwenye nyumba za wageni.

Imekuwa rahisi kumpata mke wa mtu kuliko hata mchumba wa mtu.

Ndani hapakaliki si Me wala Ke wanatafuta faraja nje.

Mnatutisha Mazee!
Ndoa yangu inateketea

Ndoa yangu changa inataka kuniua


 
Back
Top Bottom