Baada ya kuona vilio vingi Naomba nitoe maelekezo kwa wanaume wenzangu kwa wanawake mnaotaka kuoa
1. Kamwe usioe mwanamke mwenye chembe za ufeminist
2. Jua tabia za mama wa msichana unaetaka kumuoa kwa sababu mama wa msichana ndio msichana mwenyewe kama mama anapiga urabu, anachiti binti yake hataacha hizo tabia za mama
3. Tambua mazingira/familia aliyokulia binti ndani na nje kama familia ina tabia ovu ndugu yangu utaoa mwovu tu
4. Usioe mwanamke uliyemsomesha au umetumia gharama kubwa kupata/kuteka moyo wake
5. Usioe binti ambaye kwao yeye ndio anasauti akisema kitu mji wao unarespond
6. Usioe binti anaependapenda vikoba sijui sakosi sijui bla bla zingine
7. Usioe binti aliye na marafiki wengi wa kiume au anaejulikana sana, kamwe usioe binti anakunywa pombe na usijidanganye kuwa nikimuoa atatulia
8. Usioe binti anaekaa sana kwenye mitandao au kujua na kufuatilia sana habari za udaku, mara Paula sijui diamond amelala na nani ana gari fulani nk nk kumbuka kwa kiasi kikubwa tabia ya mkeo ndio itakuwa tabia za watoto
9. Usioe binti anaevaa vibaya na asione shida yoyote apitapo mtaani
10. Usioe mwanamke anaependa out au tabia za ushindani, pia usipishanishe umri mkubwa kati yako na binti
Jana Mama kasema sisi tunachangia mbegu tu mengine tuwaachie
NILIYOYASEMA HAYO BASI NA WEWE MWANAUME UWE NA TABIA NZURI
NB, Ukitaka ndoa yako idumu basi oa mwenye tabia za kufanana na wewe ( kama wewe ni mlevi, mzinzi, kibaka, bangi, mpole, mwadilifu nk nk oa mwenye tabia hizo hizo hapo mtadumu milele.
Asante ( neno langu sio sheria)