Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Where have i indicated that ignorance is an excuse in law in my statements???
failing to do your homework is ignorance; so no need to complain 'ukimegewa'
Where have i indicated that ignorance is an excuse in law in my statements???
Na pia kosa laweza kuwa si lako kama ulidanganywa kuwa hakukuwa na ndoa kabla japokuwa you were suppose to do your homework kujua background ya partner wako...........
In relation to DOWANS,hii ni drama,walijuana status zao na bado wakafunga ndoa ya pili batili........:disapointed:
Where have i indicated that ignorance is an excuse in law in my statements???
Ng'wanangwa, ICC kwenye uamuzi wake, haikuangalia uhalali wa parties to contract, but subject matter ya contract, kuwa jee contract ni halali?hapo kwenye red&bold: tupe evidensi
Mkuu Mkandara,Mzee Mwanakijiji,
Mkuu kwanza habari za masiku, nimechungulia hapa na kukuta hiki kitu imenibidi niuvue ukimya wangu.
Hakika Tanzania tunaibiwa vibaya sana kiasi kwamba haop tuliowachagua hawaonyeshi uchungu hata chembe na wapo radhi kuipindisha sheria kwa manufaa ya wachache waliowaweka madarakani..
Kwanza kabisa hili sii swala la ndoa na wala mimi sielewi nbdoa hii (mkataba unahalalishwa vipi?.. Ikiwa Dpowans wamerithi mkataba wa Richmond inaonyesha wazi kulikuwa na makubaliano baina ya Richmond na Dowans kufikia kiwango za mauziano.. Hapa Tanesco hawapo kabisa na hata kukubali uhamishaji wa mkataba huo toka Richmond kwenda Dowans haukufikia kuhalalishwa iwe ktk vyombo vyetu vya bunge au vinginevyo..
Sasa maada mkataba wenyewe ni ule ulohamishwa toka Richmond binafsi sioni uhalali wa Watanzania kubebeshwa mzigo ambao kisheria kama navyofikiria mimi Dowans kaingizwa mkenge na Richmond hivyo kama kuna kuvunjika kwa mkataba kabla hata Dowans hawajaanza kazi nadhani ni jukumu la Richmond kuwalipa Dowans na sio Tanesco wala Watanzania..
Na kama ungekuwa ni ktaba mpya basi hapo tunaweza zungumza vinginevyo...Pia wahusika wote ni lazima wafikishwe mahakamani ule mhimili wa pili Mahakama ufanye kazi yake pasipo kuingiliwa..
Mkuu Mkandara,
Tujipe pole wale wote tunaomuzwa na kadhia hii na natunguliza pole zaidi kwa sababu pesa tutalipa.
...
5. Wa kufikishwa mahakamani ni kina nani wakati karibu wahusika wote ni wanafanya tuu kazi ya mabwana wakubwa?. Kama Kagoda imesajiliwa hapa hapa na kila kitu ni hapa hapa na account zao ziko hapa hapa wameshindwa kuwachukulia hatua yoyote huku kila kitu kiko wazi, kuanzia pesa alichukua nani, zikaingizwa account ya nani na benefisharies ni kina nani, leo itakuwa Dowans ya Cyprus tena Off Shore Company?.
Slaa anaweza kulijibu vizuri zaidi.
Pasco, una maanisha kuwa ndo maana waswahili wanasema kitanda hakizai haramu:disapointed:Mkuu Mkandara,
Tujipe pole wale wote tunaomuzwa na kadhia hii na natunguliza pole zaidi kwa sababu pesa tutalipa.
1. Kisheria mkataba wa Tanesco na Dowans ni halali, kwa sababu Mkataba wa Tanesco na Richmond ni halali kwa vile sheria yetu haikatazi kampuni kuingia mkataba wa kweli na kuleta mashine kweli.#
2.Kitendo cha Richmond kushindwa kuzalisha umeme, kiliuvanya mkataba ile uwe voidable na kilitosha kuuvunja mkataba wa awali, lakini Tanesco hawakuuvunja, kama ilivyo sheria ya voidable marriage, bali Tanesco walikubali kuurisisha kwa Dowans na Dowans wakazalisha umeme, hivyo kuikorect ile voidabilitiy ya mkataba wa mwanzo na kuufanya mkataba kuwa umetekelezwa.
3. Baada ya Tanesco kupata umeme, jenereta bado zipo, huwezi kuibuka na kudai Dowans sio halali kwa vile Baba yake Richmond hakuwa halali. Hata katika ndoa, mkeo akikuzalia mtoto ambaye unahisi sio wako, chukua hatua ndani ya miaka miwili, ikipita bila wewe kuchukua hatua zozote, usisubiri kula mafao yake na ndipo baadae usewe mwana sio wako, sheria haikulindi, na mtoto kisheria ni wa kwako utake usitake na huruhusiwi hata kupima DNA kwa vile ulijua na hukuchukua hatua.
4. Mpaka leo, mpaka kesho, hakuna sheria, taratibu wala kanuni kwa mikataba yoyote individual kufikishwa bungeni, ukiondoa mikataba ya kimataifa ambayo hufikishwa kwa ajili ya kuridhiwa tuu (ratification).
5. Wa kufikishwa mahakamani ni kina nani wakati karibu wahusika wote ni wanafanya tuu kazi ya mabwana wakubwa?. Kama Kagoda imesajiliwa hapa hapa na kila kitu ni hapa hapa na account zao ziko hapa hapa wameshindwa kuwachukulia hatua yoyote huku kila kitu kiko wazi, kuanzia pesa alichukua nani, zikaingizwa account ya nani na benefisharies ni kina nani, leo itakuwa Dowans ya Cyprus tena Off Shore Company?.
Mzee Mwanakijiji, mkataba wa ndoa ndio mkataba pekee katika ya mikataba yote ambao unaweza kuingia kwa hiari, lakini kamwe huwezi kuuvunja kwa hiari, ni mahakama pekee ndio yenye mamlaka ya kuuvunja tena ikiridhishwa na sababu. Pia ndio mkataba pekee ambao hauna haki ya ku huishwa!.
Mikataba mingine yote, mnaingia kwa hiari, na mnaweka vifungu vitakavyopelekea mkataba huu kuvunjika pamoja na haki ya ku huishwa kwa mkataba husika.
Kwa hiyo kisheria, ndoa ya serikali na Richmond inahuishwalika kihalali kwa paende mbili kuridhia bwana mpya au bibi mpya. Kwa mujibu wa mkataba ule, ulikuwa kama ndoa ya Ki Hindu kwa Bwana ni Richmond na serikali ya Tanzania ndio iligeuzwa bibi, lakini kikawaida, anayalipa mahari ndio huwa bwana, na anayelipiwa ndio huwa bibi.
Anayelipa mahari ndio hupanga anataka nini, (Tanesco) na kumtogoza bibi (Richmond), ukimwambia unataka nini, naye hupanga bei, mkikubaliana ndoa kufungwa kama ilivyofungwa.
Mkataba na masharti ya mkataba ilikuwa ayatayarishe bwana, Tanesco, lakini kutokana na kubabaika na uzuri wa sura, bwana akamwachia bibi ayatengeneze na yeye akabakia, kutia mkono tuu akiamini ni mapenzi ya dhati.
Baada ya ndoa kufungwa, licha ya Bibi Richmond kushindwa kutoa huduma, na hapa ndipo kwenye moja ya vipengele vywa kumalizika ndoa hiyo kwa amani, kama Bibi Richmond, angekubali kui consumate hii ndoa lakini rigwaride likamshinda, angekuwa na haki ya kuomba talaka na mkawanya mali mliochuma kwenye ndoa yenu.
Lakini ndoa hii ya Tanesco na Richmond, haikuwahi kuwa consumated, hivyo inageuka ni void ab-initio yaani ndoa imefungwa lakini hakuna ndoa, kinachotakiwa kufanyika ni kwenda mahakamani ili mahakama iibatilishe ndoa ile. Baada ya Richmond kushindwa kutimiza masharti, na bwana alistahili kurudishiwa mahari yake, au wangekubaliana kila mmoja kuubeba msalaba wake.
Cha ajabu badala ya bwana Tanesco kuomba kuibatilisha ndoa, bibi Richmond akakiri kwa bwana, kuwa ndoa imemshinda, ila atamletea mwanamke mwingine Bingwa kuikamilisha ndoa ile, na mwanamke bingwa ndio Dowans na bwana hata kabla hajaulizwa na kukubali, mzazi wa bwana, Tanesco, ambaye ni serikali, akamlazimisha mwanae, amkubali mwanamke mpya na ndoa ikahuishwa na ikaendelea.
Ingekuwa ni ndoa ya kweli, hakuna ku huishwa, lakini ndoa ya kimkataba, uhuishwaji huu ni halali, ndio maana ICC ikazingatia kuwa mkataba ule ni halali.
Mzee Mwanakijiji, na wengine wote mnaoitakia nchini yetu mema, tutajadili na kujadili lakini kwa mkataba ule niliouona humu, tumefungwa mikono na miguu, hatuna pa kutokea, pesa zile ni lazima tulipe, tupende, tusipende, vingevyo viongozi wetu wajivike ujasiri kama wa Nyerere na kusema, " to hell with ICC", hao wawekezaji na waondoke tuu, watuachie madini yetu, tutayachimba hata kwa kucha, na almasi zetu tutachezea bao!.
Mzee Mwanakijiji, mkataba wa ndoa ndio mkataba pekee katika ya mikataba yote ambao unaweza kuingia kwa hiari, lakini kamwe huwezi kuuvunja kwa hiari, ni mahakama pekee ndio yenye mamlaka ya kuuvunja tena ikiridhishwa na sababu. Pia ndio mkataba pekee ambao hauna haki ya ku huishwa!.
Mikataba mingine yote, mnaingia kwa hiari, na mnaweka vifungu vitakavyopelekea mkataba huu kuvunjika pamoja na haki ya ku huishwa kwa mkataba husika.
Kwa hiyo kisheria, ndoa ya serikali na Richmond inahuishwalika kihalali kwa paende mbili kuridhia bwana mpya au bibi mpya. Kwa mujibu wa mkataba ule, ulikuwa kama ndoa ya Ki Hindu kwa Bwana ni Richmond na serikali ya Tanzania ndio iligeuzwa bibi, lakini kikawaida, anayalipa mahari ndio huwa bwana, na anayelipiwa ndio huwa bibi.
Anayelipa mahari ndio hupanga anataka nini, (Tanesco) na kumtogoza bibi (Richmond), ukimwambia unataka nini, naye hupanga bei, mkikubaliana ndoa kufungwa kama ilivyofungwa.
Mkataba na masharti ya mkataba ilikuwa ayatayarishe bwana, Tanesco, lakini kutokana na kubabaika na uzuri wa sura, bwana akamwachia bibi ayatengeneze na yeye akabakia, kutia mkono tuu akiamini ni mapenzi ya dhati.
Baada ya ndoa kufungwa, licha ya Bibi Richmond kushindwa kutoa huduma, na hapa ndipo kwenye moja ya vipengele vywa kumalizika ndoa hiyo kwa amani, kama Bibi Richmond, angekubali kui consumate hii ndoa lakini rigwaride likamshinda, angekuwa na haki ya kuomba talaka na mkawanya mali mliochuma kwenye ndoa yenu.
Lakini ndoa hii ya Tanesco na Richmond, haikuwahi kuwa consumated, hivyo inageuka ni void ab-initio yaani ndoa imefungwa lakini hakuna ndoa, kinachotakiwa kufanyika ni kwenda mahakamani ili mahakama iibatilishe ndoa ile. Baada ya Richmond kushindwa kutimiza masharti, na bwana alistahili kurudishiwa mahari yake, au wangekubaliana kila mmoja kuubeba msalaba wake.
Cha ajabu badala ya bwana Tanesco kuomba kuibatilisha ndoa, bibi Richmond akakiri kwa bwana, kuwa ndoa imemshinda, ila atamletea mwanamke mwingine Bingwa kuikamilisha ndoa ile, na mwanamke bingwa ndio Dowans na bwana hata kabla hajaulizwa na kukubali, mzazi wa bwana, Tanesco, ambaye ni serikali, akamlazimisha mwanae, amkubali mwanamke mpya na ndoa ikahuishwa na ikaendelea.
Ingekuwa ni ndoa ya kweli, hakuna ku huishwa, lakini ndoa ya kimkataba, uhuishwaji huu ni halali, ndio maana ICC ikazingatia kuwa mkataba ule ni halali.
Mzee Mwanakijiji, na wengine wote mnaoitakia nchini yetu mema, tutajadili na kujadili lakini kwa mkataba ule niliouona humu, tumefungwa mikono na miguu, hatuna pa kutokea, pesa zile ni lazima tulipe, tupende, tusipende, vingevyo viongozi wetu wajivike ujasiri kama wa Nyerere na kusema, " to hell with ICC", hao wawekezaji na waondoke tuu, watuachie madini yetu, tutayachimba hata kwa kucha, na almasi zetu tutachezea bao!.[/QUOTE]
Mkuu Pasco umeelezea kwa ufasaha sana lakini as long as wote tumeshasikia kwamba huu ni mpango wa watu watatu wa hapahapa kwetu kujianda na uraisi 2015 inabidi tuwe majasiri kama ulivyosema.,,ANGALIA HAPO KWENYE RED" tuone kama wawekezaji wataondoka!!!!!
Bila kumtaja Dr.Slaa hupati usingizi. Una kazi kweli kweli. Msg. sent na umeelewa kwa ujumla. Tunashukuru kwa hilo. Lingine????
Mkuu wangu tatizo letu sisi Watanzania ni kubuni kila kitu kulingana na sheria hali hatufahamu kilichotokea haswa... chunguza vizuri utaona kwamba Dowans na Richmond walipeana mke (Tanesco) pasipo mke kujua ukweli hadi siku ya unyumba..Mkuu Mkandara,