WanaJf mpooo.Katika pitapita zangu niliwahisikia juu ya utamaduni ambao ulikuwa unataka mama wa kwenye familia Fulani atoke alete mtoto nje ya ndoa ili kujihami na laana ambayo inawezaathiri uzao wa mume halali wa ndoa hivyo kuufanya uzao wa nje ku takeover kama ikitokea kuna laana inayokuwa imeathiri uzao wa mume wa ndoa.Nadhani huita ndagu(wanasema kama laana ikiwa inawafuatilia watoto wale wa kwenye ndoa haiwezi wakumba hao wakuja)
Inasemekana mama mzazi wa upande wa mke anawezampa mwanae mwongozo kwa siri kwamba afanye juu chini afanikishe huu mpango for de safety of her family.
Wenye uzoefu na hili darasa please tujue mambo ya tamaduni