Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
sweetlady ujue Mr Rocky ni hatari........... weka mbali na watoto
Last edited by a moderator:
Afu wewe nilikuambia ndoa yangu ikivunjika na yako haiko salama pia. Jiandae
we nae... usije ukamchujisha swahiba wangu.
Hata yeye ndo anapenda coz mambo ya kugandana km kumbikumbi ni ya vijana
Mwaaa! Mwaaa! Mwaaa! Vibabu vyote tupa kule!
Afu wewe nilikuambia ndoa yangu ikivunjika na yako haiko salama pia. Jiandae
Hehehehehe! Na wewe you are free to go baba! Mie pia umenichosha na hiyo tabia yako ya kulala machimboni miezi 6!
Narudi.
Hujapona baba amkatrina
Hahahaha! Utajua mda ukifika, we jishaue!We unadhani ndoa yangu na Lily Flower ni kama yenu imeungwa ungwa kwa superglue
Jiandae kumrudia.Sikuamini siku sweetlady ananiacha na kwenda kwa nitonye....
Roho iliniuma sana ila kina Bishanga.. Blaki Womani....erickb52... Filipo...na Mr Rocky walihakikisha unaniacha na kuungana na nitonye.
Nilitoa maangalizo sana juu ya sweetlady alivyo
Ona sasa nitonye nae yamemkuta
Mie kwa sasa nimetulia tulii na wife material wangu.....
Ugua pole nitonye....
Hehehehehe! Wakiambiwa watoke wenye wife material na wewe utatoka? Hebu pisha kule na mashauzi yako!Sikuamini siku sweetlady ananiacha na kwenda kwa nitonye....
Roho iliniuma sana ila kina Bishanga.. Blaki Womani....erickb52... Filipo...na Mr Rocky walihakikisha unaniacha na kuungana na nitonye.
Nilitoa maangalizo sana juu ya sweetlady alivyo
Ona sasa nitonye nae yamemkuta
Mie kwa sasa nimetulia tulii na wife material wangu.....
Ugua pole nitonye....
masharobaro watakuacha solemba