Ndoa ya nitonye na sweetylady imevunjika rasmi

Ndoa ya nitonye na sweetylady imevunjika rasmi

Huwezi kufanya maamuzi tunajua sweetlady amekulisha kitu imenata kwenye kichwa huwezi kutoka wewe!
Hahahaha! Anapumzika tu ila hapa panaitwa mtakuja, asipoyaoga atayanywa!

We mwanaume gani ananiacha afu anataka mwanae baba angu amsaidie kulea?
 
Last edited by a moderator:
Acha kumsumbua mpenzi wangu a.k.a mjane wangu lol
Ila kuachwa kubaya sweetlady the
Yan hapa Kipipi akija tu nakumwaga kama mzigo
Hahahaha! Yani hapa sijaachwa Erickb52, anatikisa kiberiti tu lol! Huku PM ndio usiseme Mungi ananifariji balaa, Mr Rocky ameahidi kutangaza ndoa ila mie nimemwambia asubiri kwanza nitonye anikabidhi talaka yangu hehehe! Kuachwa kunauma we acha tu. Hapa najikaza kutabasamu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom