Ndoa ya kilokole, jamani mnafeli wapi wapendwa?

Ndoa ya kilokole, jamani mnafeli wapi wapendwa?

Sasa kama mavituzi hanipi!!
Amekuwa gogo au tofali af kamchepuko kana vitu balaa kwa nn nisiende kwa kamchepuko nikale vitu vizur mana ata uwanjan mchezaji akichoka anaekwa pemben mwingine anachkua nafas yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini ndoa sio mpira weweee
Labda kama upo kwenye dini ya kuoa wake 4
Ila kwetu Sisi wakristo NI mmoja mpaka Yesu arudi
 
Kwa maneno yako nazidi kuthibitisha kuwa ulokole sio kumjua Mungu zaidi bali ni kuzificha dhambi na kuishi maisha ambayo kiuhalisia sio yako na ndivyo walokole wengi wanavyoishi, bora wewe unaeyaishi haya na umekubali ila wengine wanaficha sana. Najua hainihusu ila walokole wengi wanafake life sana.
Me nasema hivi tendo la ndoa labakia pale pale
Wether umeokoka au la
Nimekwambia Mungu ananyeshea mvua na kuchomozea jua waliookoka na wasiookoka na wapagani pia
Sasa kwanini tendo la ndoa liwe la wasiookoka Tu??
Me nimeokoka pale pale na ndoa yangu nailinda Kwa staili zote, ilimradi sizini nje ya ndoa yangu, ntabinuka mpaka Mbinguni🏃🏃🏃🏃
Cc: Smart911 mahondaw KENZY 50thebe Extrovert
 
wewe umeokoka?
una fanya uzinzi na mtu aliye okoka?
umejuaje mapenzi ya walokole?
unakulaga chabo?
kama wenzako wanaridhika kwa hilo wewe ina kuuma nini?
fuata yako walokole wachie na yao, UVCCM sijui mnakwama wapi
I love Jesus.

Sorry Mtumishi. Don't take it personal . We are just playing here

Hata Mchungaji Dan Mgogo huwa anaongea vitu Kama hivi.

Sorry Sana bro if Ur offended
 
Mwache bwana aongee anachokijua
Na wewe ongea unachokijua basi Kaka WA chadema
 
I love Jesus.

Sorry Mtumishi. Don't take it personal . We are just playing here

Hata Mchungaji Dan Mgogo huwa anaongea vitu Kama hivi.

Sorry Sana bro if Ur offended
Upo very wise, kumbe it was kind of joke pia kukumbushia walokole wwakatie viuno waume zao na pia wawape staili zote pamoja na doggy stail na kwamba siyo dhambi so long wame-oana, hapo upo sahihi!

WAlokole, hivyo viungo KU na ME mvitumie vyema, pitisha hata masikioni so long as mwenza anaskia raha na kusisimka, vinginevyo angebaki kwa wazazi wake lakini aliona hana mtu wa kumkuna akaja kwako, mambo ya STAILI ZA WAMISHENARI HATUTAKI
 
Missionary style hiyo ilikuwa unatumika enzi za Pontyo WA Pilato..

The best style ni Ile ya kuitwa "NYERERE KATOKA LONDON".

Ni hatari, katerero arudi shule akasome
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom